The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Aisee..Kwa mtazamo Naona ''watamuapproach" Mwijaku (the national disgrace) na ahadi kadhaa ya maokoto.
Jamaa alivyo hana mshipa wa aibu yaani atakubali na kufurahia hilo deal.
Tujiandae na matukio ya ajabu.
Nyau de adriz
Hivi ile skendo yake na wale mabinti mchaluko waliomfinya mwenzao iliisha vipi?Kwa mtazamo Naona ''watamuapproach" Mwijaku (the national disgrace) na ahadi kadhaa za maokoto.
Jamaa alivyo hana mshipa wa aibu yaani atakubali na kufurahia hilo deal.
Tujiandae na matukio ya ajabu.
Nyau de adriz
Huwezi kupata jibu niaminiKama Mwijaku anaweza kukutoa kwenye mada kuu, wewe ni mtu wa aina gani?
Mbona lishaanza ambapo machawa na mazwazwa kama Stivi Meng'enyu wanabwata na kuharishaa kwa midomo bila aibu!Kwa mtazamo Naona ''watamuapproach" Mwijaku (the national disgrace) na ahadi kadhaa za maokoto.
Jamaa alivyo hana mshipa wa aibu yaani atakubali na kufurahia hilo deal.
Tujiandae na matukio ya ajabu.
Nyau de adriz