Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kati ya UTANI na MATUSI,
Kuna KENGE na kuna MIJUSI,
Kuna MATOPE na KINYESI.
Mpango mkakati na mpango kazi
kusimama na kusimamisha
kuzimia na kufa
kicheko na tabasamu
ukweli na uongo
bawacha na bavicha
mke na hawara
mimi na wew
Mchepuko na njia kuu.
Mchepuko na njia kuu.