Lazima mjue kutofautisha

Lazima mjue kutofautisha

Kufa na kufariki,
Kushiba na kukinai,
Kupenda na kutamani,
Kuzaa na kujifungua.
 
1. Harusi na ndoa
2. Kofia ya graduate wa PHD na wa Chekechea
3. Ukosefu wa ajira kwa aliyesoma na asiyesoma
 
Back
Top Bottom