matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,224
- 3,951
Safi sana mkuu, wahusika wa elimu wachukue ushauri wako mzee!
uko siriaz kweli rasta???
I mean unaamini kuna watu wa elimu Tanzania kweli wanaweza chukua ushauri mzuri na kuufanyia kazi!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana mkuu, wahusika wa elimu wachukue ushauri wako mzee!
Output yake imefanyiwa kazi
Output yake imefanyiwa kazi
Naunga Mkono hoja..but wasi wasi ni kama wa wachangiaji wengine..IMPLEMENTATION ya hizo findings!!!!!!Je tafiti za REPOA na taasisi zingine zinafanyiwa kazi?
shida si vyuo,tatizo ni utekelezaji wa matokeo ya utafiti!!!ukizingatioa pesa tulizonazo hakuna haja ya kuongeza galama za majengo badala yake vilivyopo viwezeshe kivifaa na wataalamu mwisho matokeo ya utafiti yafanyiwe kazi kwa kua utafiti ni mtambuka hivyo tunatakiwa kiuviendeleza vyuo tulivyokua navyo na ukumbuke moja ya malengo ya uanzishaji vyuo ni utafiti