Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Mtu anaeweza kuuwa na kusingizia watu kesi kwasababu ya tamaa za madaraka hapaswi kuaminiwa wala kuungwa mkono hana akili kabisa huyo.
Lazima tuunge mkono kwa wapigania haki na uhuru ndio jambo la msingi sana tunapaswa kulifanya sisi kama taifa, tuweni waasi dhidi ya wauwaji na wale wenye tamaa za madaraka tuwapinge kwa nguvu zote.