Lazima uupende mlo huu

Nasikia kwa wanawake wale wenye tatizo la ukavu wakati wa tendo ni dawa inaleta utelezi huko ikulu bamia na nyanya chungu
ngoja nilete maelezo ya hiyo dozi hapa

kumbe ndio maana da Chausiku anapenda kula nyanya chungu nishajua sasa duu asante sana da smile..
 

nimeipenda hiyo bamia salad..
 
hebu tuma hela ya kununua asali na wine (5 litres manake mashaallah, sasa ikiwa kichupa haitoshi)
nakungojea:A S 100:
ahaaa kibao kata ndo nini? nasikia ukichanganya na asali the uchambie wine kitu kinakuwa super balaa,hebu jaribu uje uniambie
 

Hii kitu ni tamu sana hata mbichi natupiamo tumboni tu!
 
:A S tongue: ooooohhh ghoshhhhh...Mautamu mate kujaa kwa domo. Kitu weka na udaga utapenda sana.
 
Hii ilikuwa menu yangu ya jana na ugali ..kweli lqazima uipende hii menu
 
Nazipenda sana ila kwa wanaume siku ukila jitahidi usile mpododo.Bamia haziwezi kusimamisha fimbo ya Musa.
 
hasa wanawake wajawazito coz inarahisisha wakati wa kujifungua hujikakamui sana, utashangaa mara chap mtoto huyo, hii ni kwa mujib wa mama yangu jaman.hasa ujauzito wa miez 7 na kuendelea
Asee inawezekanaaa!! Kumbe ndo mana sikupata shiiidaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…