Ni kweli mkuu vitu vya electronics Zenji ni cheap sana.
Ila kama unahitaji kwa ajili ya matumizi yako sikushauri ununue Tv used, kama ni kwa biashara, ni sawa.
Ingawa nasikia TRA huwa wanazingua sana kwenye mambo ya ushuru.
Huwa hazitabiriki ndugu yangu. unaweza ukanunua ukaka nayo muda mrefu sana au unaweza ukanunua isifike hata mwezi ikaharibika jumla.ahsante kwa msaada mkuu, lkn kwan huwa ni mbovu hizo used, msaada tena