LCD/ LED TVs zanzibar

LCD/ LED TVs zanzibar

Dumelang

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
3,204
Reaction score
5,710
nimesikia znauzwa cheap zile used, mliopo zanzibar nipeni taarifa, kwa bei na ukubwa, nahtaji kama reasonable, nifanye bizznec na nipate yangu.

msaada pls
 
Ni kweli mkuu vitu vya electronics Zenji ni cheap sana.
Ila kama unahitaji kwa ajili ya matumizi yako sikushauri ununue Tv used, kama ni kwa biashara, ni sawa.
Ingawa nasikia TRA huwa wanazingua sana kwenye mambo ya ushuru.
 
ahsante kwa msaada mkuu, lkn kwan huwa ni mbovu hizo used, msaada tena
 
ahsante kwa msaada mkuu, lkn kwan huwa ni mbovu hizo used, msaada tena
Huwa hazitabiriki ndugu yangu. unaweza ukanunua ukaka nayo muda mrefu sana au unaweza ukanunua isifike hata mwezi ikaharibika jumla.
 
Da! mm mwenyewe najipanga mwezi june nikachukue hiyo kitu zenj coz hata mi nilisikia kama ww. Kuhusu ushuru, pia nimesikia kila mzigo unaulipia 5000/= getini pale bandarini na kwenye meli kila mzigo unaozidi kg25 unaulipia 5000/=.

MWENYE UFAHAMU ZAIDI ATUPE
 
Back
Top Bottom