William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Sawa baba tunyoshe tu,basi angalau tafuta wardrobe manager khaaaaaaa...........
- hahahahahahaha ni kweli maana si nilianza kuku pimp wewe naomba useme na bei niliyokuuzia na niliikuuza kwa nani au unasemaje? maana ungejuaje kama sikuanza kukuuza wewe kwanza hahahahahahahahahah, hapo ni ofisini kwangu downtown Bongo Tancot House 3rd Fl unajua Mwanaume kazi kwanza hahahahaha, karibu naweza kukupatia ajira you never know hahahahaha
le Mutuz
Sawa baba lakini siunajua tena appearance matters ghafla ghafla mtu aweza fikiria wewe ni chokoraa
- Mimi sio Fashion Designer mimi ni Social Media King nasafiri kikazi kuripoti live, like nilipokuwa Lagos, Dubai, Nairobi na Johannesburg kilichonipeleka sio ubishoo ila kazi sawa hahahahahaahhahaah U know, like unaona hii pic ni jana wakati tunarudi from MWanza na the King of Pop
le Mutuz
Unajaza marafikiii,homee..utadhani unabalehe..[emoji23] [emoji23]Niache kumsikiliza marry wa EAradio au kaka Muhamed j2 redio one nianze kumsikiliza baba yangu ambae alipaswa awe nyumbani akinufaika na mafao
Sawa baba lakini siunajua tena appearance matters ghafla ghafla mtu aweza fikiria wewe ni chokoraa
Najiuliza baba yake Lemutuz au hata wadogo zake wakisoma hizi comment zake za kipuuzi na kujisifia kwa mambo ya kijinga wanajisikiaje..! Watakuwa wanapata uchungu mkubwa sana. Anaweza kuwa anafanya japo la kawaida ila kwa umri na maadili ya mtanzania ni upuuzi mkubwa na fedheha kwa familia. Wewe unafikilia kwanini mzee nyerere alisema kama John yupo basi namrudisha kadi ya chama so usishangae mbwebwe za le bebezi
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
You look so ridiculous and you don't even know it,idiot
- hahahahaha ndio nimerudi U know nilikuwa MWanza for JEMBEKA FESTIVAL hapa ni back stage na KING OF POP IN EAST AFRICA Super Mega Star Diamond, unajua ilikuwa safari ya kikazi zaidi for Vodacom Tanzania so nimerudi now eti bado kuna ishu hapa? Yaani huajataja jina lako wala picha ila unauliza umri wa usiowajua? hahahahahahaha
le Mutuz
wewe great thinker gani,na elimu yako ya kuunga unga,baba yangu kaniambia Kwiro Sec form four ulitoka na zero option iliyobaki ukaamua kuwa seaman- kwa hiyo chokoraa sio binadam? hahahahahaha hizi ndio akili tunazokutana nazo kwenye Great Thinkers inasikitisha sana
le Mutuz
Najiuliza baba yake Lemutuz au hata wadogo zake wakisoma hizi comment zake za kipuuzi na kujisifia kwa mambo ya kijinga wanajisikiaje..! Watakuwa wanapata uchungu mkubwa sana. Anaweza kuwa anafanya japo la kawaida ila kwa umri na maadili ya mtanzania ni upuuzi mkubwa na fedheha kwa familia.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
wewe great thinker gani,na elimu yako ya kuunga unga,baba yangu kaniambia Kwiro Sec form four ulitoka na zero option iliyobaki ukaamua kuwa seaman
You look so ridiculous and you don't even know it,idiot
Unatema cheche W. J. Malecela jmos tukutane leaders...uknow[emoji13] [emoji3] [emoji3]
- Huwezi kuwa na Elimu ya kuunga unga ukaitwa Mliman UDSM kutoa speech kwa wasomi, ndio maana wewe hujawahi kuitwa na wala hautakuja kuitwa huko maana hakuna mtu mwenye elimu ya ukweli anayeweza kujficha kwa majina ya bandia na kutukana watu asiowajua ni lazima awe juha kama wewe hahahahahahahahahahah Mliman au UDSM unaitwa kama una akili kubwa na unatumia jina na picha yako kamili kama mimi hahahahahahahah
le Mutuz
Unatema cheche W. J. Malecela jmos tukutane leaders...uknow[emoji13] [emoji3] [emoji3]
Wonders will never cease-yaani wewe una mvuto kwa hiyo ukikaa uchi kwenye mirror kubwa unajiona una mvuto?
- Ona wabebezz wa ukweli wanavyozimikia huyu ni Super Star Singer Baby Madaha jana ndio maana ya Big Celebrity, wewe hakuna anayeweza hata kukualika haujulikani wala sio Star au Celebrity hii bash jana ilikuwa for Celebs only, hahahahaha halafu hata picha lako hauna mvuto ona wabebezz wa kileo tunakula nao batazzz hahahahahahaha U know
le Mutuz
mimi ndio nasubiri wathamini mchango wakeHahahahaaaaaa
Hivi JamiiForums mnasubiri nini kumpa MSAGA SUMU tuzo ya heshima?
Sio kwa kutuchekesha huku.