Le Baharia amuonya Diva Loveness

Le Baharia amuonya Diva Loveness

Sawa baba tunyoshe tu,basi angalau tafuta wardrobe manager khaaaaaaa...........
IMG_20160522_120218.jpg

- Mimi sio Fashion Designer mimi ni Social Media King nasafiri kikazi kuripoti live, like nilipokuwa Lagos, Dubai, Nairobi na Johannesburg kilichonipeleka sio ubishoo ila kazi sawa hahahahahaahhahaah U know, like unaona hii pic ni jana wakati tunarudi from MWanza na the King of Pop

le Mutuz
 
- hahahahahahaha ni kweli maana si nilianza kuku pimp wewe naomba useme na bei niliyokuuzia na niliikuuza kwa nani au unasemaje? maana ungejuaje kama sikuanza kukuuza wewe kwanza hahahahahahahahahah, hapo ni ofisini kwangu downtown Bongo Tancot House 3rd Fl unajua Mwanaume kazi kwanza hahahahaha, karibu naweza kukupatia ajira you never know hahahahaha

le Mutuz

Been at your office ma nigga!

You killin' it!
 
Le akili Kubwazzz, You know mzee wa wabebezz wakarezz. Sijui why so much hate kwa akili mingiz!?!? The guy is aight hana tatizo na mtu.
Kachagua lifestyle inayo mfaa, elimu ipo pia. Give him a little space.
Kuhusu age hizo ni namba tu.
 
IMG_20160522_120218.jpg

- Mimi sio Fashion Designer mimi ni Social Media King nasafiri kikazi kuripoti live, like nilipokuwa Lagos, Dubai, Nairobi na Johannesburg kilichonipeleka sio ubishoo ila kazi sawa hahahahahaahhahaah U know, like unaona hii pic ni jana wakati tunarudi from MWanza na the King of Pop

le Mutuz
Sawa baba lakini siunajua tena appearance matters ghafla ghafla mtu aweza fikiria wewe ni chokoraa
 
Najiuliza baba yake Lemutuz au hata wadogo zake wakisoma hizi comment zake za kipuuzi na kujisifia kwa mambo ya kijinga wanajisikiaje..! Watakuwa wanapata uchungu mkubwa sana. Anaweza kuwa anafanya japo la kawaida ila kwa umri na maadili ya mtanzania ni upuuzi mkubwa na fedheha kwa familia.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Najiuliza baba yake Lemutuz au hata wadogo zake wakisoma hizi comment zake za kipuuzi na kujisifia kwa mambo ya kijinga wanajisikiaje..! Watakuwa wanapata uchungu mkubwa sana. Anaweza kuwa anafanya japo la kawaida ila kwa umri na maadili ya mtanzania ni upuuzi mkubwa na fedheha kwa familia. Wewe unafikilia kwanini mzee nyerere alisema kama John yupo basi namrudisha kadi ya chama so usishangae mbwebwe za le bebezi

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Title yako ingeitwa Le mutuz ataka kufufua kipindi cha "cheichei shangazi "kama radio tanzania
 
- hahahahaha ndio nimerudi U know nilikuwa MWanza for JEMBEKA FESTIVAL hapa ni back stage na KING OF POP IN EAST AFRICA Super Mega Star Diamond, unajua ilikuwa safari ya kikazi zaidi for Vodacom Tanzania so nimerudi now eti bado kuna ishu hapa? Yaani huajataja jina lako wala picha ila unauliza umri wa usiowajua? hahahahahahaha

le Mutuz
You look so ridiculous and you don't even know it,idiot
 
- kwa hiyo chokoraa sio binadam? hahahahahaha hizi ndio akili tunazokutana nazo kwenye Great Thinkers inasikitisha sana

le Mutuz
wewe great thinker gani,na elimu yako ya kuunga unga,baba yangu kaniambia Kwiro Sec form four ulitoka na zero option iliyobaki ukaamua kuwa seaman
 
Najiuliza baba yake Lemutuz au hata wadogo zake wakisoma hizi comment zake za kipuuzi na kujisifia kwa mambo ya kijinga wanajisikiaje..! Watakuwa wanapata uchungu mkubwa sana. Anaweza kuwa anafanya japo la kawaida ila kwa umri na maadili ya mtanzania ni upuuzi mkubwa na fedheha kwa familia.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

- jana hiyo wakati wewe unaandika majungu na matusi sisi tulikuwa tunakula bonge la kiss from Clouds FM Super Star Diva kwenye Birthday BAsh lake Hilton Masaki, pole sana fanya kazi kijana ule batazzz ama sivyo utaishia kulilia lilia wanaume huku JF hahahahahahaha ona hiyo U know

le Mutuz
 
wewe great thinker gani,na elimu yako ya kuunga unga,baba yangu kaniambia Kwiro Sec form four ulitoka na zero option iliyobaki ukaamua kuwa seaman

- Huwezi kuwa na Elimu ya kuunga unga ukaitwa Mliman UDSM kutoa speech kwa wasomi, ndio maana wewe hujawahi kuitwa na wala hautakuja kuitwa huko maana hakuna mtu mwenye elimu ya ukweli anayeweza kujficha kwa majina ya bandia na kutukana watu asiowajua ni lazima awe juha kama wewe hahahahahahahahahahah Mliman au UDSM unaitwa kama una akili kubwa na unatumia jina na picha yako kamili kama mimi hahahahahahahah

le Mutuz
 
You look so ridiculous and you don't even know it,idiot

- Ona wabebezz wa ukweli wanavyozimikia huyu ni Super Star Singer Baby Madaha jana ndio maana ya Big Celebrity, wewe hakuna anayeweza hata kukualika haujulikani wala sio Star au Celebrity hii bash jana ilikuwa for Celebs only, hahahahaha halafu hata picha lako hauna mvuto ona wabebezz wa kileo tunakula nao batazzz hahahahahahaha U know

le Mutuz
 
- Huwezi kuwa na Elimu ya kuunga unga ukaitwa Mliman UDSM kutoa speech kwa wasomi, ndio maana wewe hujawahi kuitwa na wala hautakuja kuitwa huko maana hakuna mtu mwenye elimu ya ukweli anayeweza kujficha kwa majina ya bandia na kutukana watu asiowajua ni lazima awe juha kama wewe hahahahahahahahahahah Mliman au UDSM unaitwa kama una akili kubwa na unatumia jina na picha yako kamili kama mimi hahahahahahahah

le Mutuz
Unatema cheche W. J. Malecela jmos tukutane leaders...uknow[emoji13] [emoji3] [emoji3]
 
- Ona wabebezz wa ukweli wanavyozimikia huyu ni Super Star Singer Baby Madaha jana ndio maana ya Big Celebrity, wewe hakuna anayeweza hata kukualika haujulikani wala sio Star au Celebrity hii bash jana ilikuwa for Celebs only, hahahahaha halafu hata picha lako hauna mvuto ona wabebezz wa kileo tunakula nao batazzz hahahahahahaha U know

le Mutuz
Wonders will never cease-yaani wewe una mvuto kwa hiyo ukikaa uchi kwenye mirror kubwa unajiona una mvuto?
 
Hii thread ingeandikwa na akina sisi eitherr ningekula ban au ingehamishiwa chit chat....JF buaana
 
Back
Top Bottom