Le Baharia amuonya Diva Loveness

Lol
Subiri kupokea Le Super Hawwwt Kiss kutoka kwa Le Billionaire u know....
 
Amekuacha mbali wewe na nani? Ni wapi umepata kibali cha kuongea kwa niaba yetu? Jiangalie vioffer vya Savanna visikutowe akili.
 
Endeleeni tu huku insta anafukuzana na watu wanamtukana na wanaomkashfu asije akahamia na huku
 
hii nchi ina mambo mengi eti kipindi cha watoto Mara kipindi cha mapenzi.
 
Amekuacha mbali wewe na nani? Ni wapi umepata kibali cha kuongea kwa niaba yetu? Jiangalie vioffer vya Savanna visikutowe akili.
Yani hata kwa hilo amekuacha mbali, yeye ni Zaidi ya wewe kimawazo, sabab kwake kutoa offer kwa Le Mbebezi sio kwamba kawaacha mbali le super Mmmbululazi kama wewe, kakuwacha kifikra, yeye angeandika line 2 kama hizo zako ningekuwa nimejifunza mambo mengi ya msingi, lakini wewe labda apite Mzee Yusufu, Khadija Kopa na Rihama wanaweza jifunza kitu hapo.
 
Hasara kwa familia yako, kama role mode wako ni Bill, basi pole muulize Neema Ngwilulupi.
 
Hasara kwa familia yako, kama role mode wako ni Bill, basi pole muulize Neema Ngwilulupi.
Ni kama wewe ulivyo Role Model wa Riyama na Malkia wa Mipasho Khadija kopa, Mie nikitaka kuamsha ubongo wangu kuhusu maisha huwa naenda pekenyua IG yake katika 10 ntapata 6 yakunifungua macho au masikio, We kwako mpaka sioni cha kujifunza, bali unazidi nifundisha umbea ati nikamtafute Neema Ngwilulupi aendelee kunipotezea mdua kuongelea maisha ya mtu mwengine ambae wakati huo yuko anaangalia maisha yake. labda funguka Zaidi unaweza nibadilisha mtazamo.
 
Hicho cha watoto ndo kingemfaa zaidi!
Heshima kwako,
Kwanza naomba kujua jinsia yako.

Ila
Sema ujue nini?
Jamaa anawanyima raha sana.
Mnatamaaaani kuwa kama yeye sema maskini ya Mungu hilo haliwezekani ndo mnaishia kumchafua mitandaoni daah.
 
Naomba unieleweshe mkuu maana naona nazeeka vibaya. 'Last mass' ndo nini
 
Mtu akishakuwa kwenye payroll per post unadhani ana muda hata wa kuhakiki anachoandika? Hawa wanaonunuliwa vitecno kuja kuleta upambe kwenye social media ni kichefuchefu tupu.
Hahaa amefafanua lakini au ndo kulishwa matangopori?
 
Duh Leo umemtoa knockout mtu hapa kula like zangu Za kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…