Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku Le Mutuz akimdaka MSAGA SUMU atazaa nae.Ha ha ha diva a jiandae na upinzani wenye kiwango cha lami
Cc Nifah
LolYote tisa la 10 Nampa Salute Le mutuz jamaa kwa kutengeza ajira ukiacha hiyo Radioa ambae yeye ni shareholder, yeye kama yeye kwenye ofisi yake ana staff 2 au 3 hongera kaka, mana wengi wetu tunamponda, kumdhalilisha ila hata Mahouse girl tulokuwa nao hatujawapa mshahara tangu last mass, Kula 5 Le Mutuz, kiufupi ametuacha mbali mana sisi tunapoteza muda wa kumuongelea wakati yeye yuko buzy kutengeza pesa.. LE SUPER FORMULA YA KUTENGEZA MAISHA, I LUV YOU LEMUTUZ, LE SUPER STAR OF ALL COCIAL MEDIA! YOU KNOW KILA NIKIJA KWENYE PAGE YAKO YA IG NAJIFUNZA JAMBO.
Amekuacha mbali wewe na nani? Ni wapi umepata kibali cha kuongea kwa niaba yetu? Jiangalie vioffer vya Savanna visikutowe akili.Yote tisa la 10 Nampa Salute Le mutuz jamaa kwa kutengeza ajira ukiacha hiyo Radioa ambae yeye ni shareholder, yeye kama yeye kwenye ofisi yake ana staff 2 au 3 hongera kaka, mana wengi wetu tunamponda, kumdhalilisha ila hata Mahouse girl tulokuwa nao hatujawapa mshahara tangu last mass, Kula 5 Le Mutuz, kiufupi ametuacha mbali mana sisi tunapoteza muda wa kumuongelea wakati yeye yuko buzy kutengeza pesa.. LE SUPER FORMULA YA KUTENGEZA MAISHA, I LUV YOU LEMUTUZ, LE SUPER STAR OF ALL COCIAL MEDIA! YOU KNOW KILA NIKIJA KWENYE PAGE YAKO YA IG NAJIFUNZA JAMBO.
Amekuacha mbali wewe nani? Ni wapi umepata kibali cha kuongea kwa niaba yetu? Jiangalie vioffer vya Savanna visikutowe akili.
Yani hata kwa hilo amekuacha mbali, yeye ni Zaidi ya wewe kimawazo, sabab kwake kutoa offer kwa Le Mbebezi sio kwamba kawaacha mbali le super Mmmbululazi kama wewe, kakuwacha kifikra, yeye angeandika line 2 kama hizo zako ningekuwa nimejifunza mambo mengi ya msingi, lakini wewe labda apite Mzee Yusufu, Khadija Kopa na Rihama wanaweza jifunza kitu hapo.Amekuacha mbali wewe na nani? Ni wapi umepata kibali cha kuongea kwa niaba yetu? Jiangalie vioffer vya Savanna visikutowe akili.
ha ha ha ha Siku nikikutana nae lazima nimkimbilie nile Selfie.Lol
Subiri kupokea Le Super Hawwwt Kiss kutoka kwa Le Billionaire u know....
Hasara kwa familia yako, kama role mode wako ni Bill, basi pole muulize Neema Ngwilulupi.Yani hata kwa hilo amekuacha mbali, yeye ni Zaidi ya wewe kimawazo, sabab kwake kutoa offer kwa Le Mbebezi sio kwamba kawaacha mbali le super Mmmbululazi kama wewe, kakuwacha kifikra, yeye angeandika line 2 kama hizo zako ningekuwa nimejifunza mambo mengi ya msingi, lakini wewe labda apite Mzee Yusufu, Khadija Kopa na Rihama wanaweza jifunza kitu hapo.
Ni kama wewe ulivyo Role Model wa Riyama na Malkia wa Mipasho Khadija kopa, Mie nikitaka kuamsha ubongo wangu kuhusu maisha huwa naenda pekenyua IG yake katika 10 ntapata 6 yakunifungua macho au masikio, We kwako mpaka sioni cha kujifunza, bali unazidi nifundisha umbea ati nikamtafute Neema Ngwilulupi aendelee kunipotezea mdua kuongelea maisha ya mtu mwengine ambae wakati huo yuko anaangalia maisha yake. labda funguka Zaidi unaweza nibadilisha mtazamo.Hasara kwa familia yako, kama role mode wako ni Bill, basi pole muulize Neema Ngwilulupi.
Heshima kwako,Hicho cha watoto ndo kingemfaa zaidi!
Naomba unieleweshe mkuu maana naona nazeeka vibaya. 'Last mass' ndo niniYote tisa la 10 Nampa Salute Le mutuz jamaa kwa kutengeza ajira ukiacha hiyo Radioa ambae yeye ni shareholder, yeye kama yeye kwenye ofisi yake ana staff 2 au 3 hongera kaka, mana wengi wetu tunamponda, kumdhalilisha ila hata Mahouse girl tulokuwa nao hatujawapa mshahara tangu last mass, Kula 5 Le Mutuz, kiufupi ametuacha mbali mana sisi tunapoteza muda wa kumuongelea wakati yeye yuko buzy kutengeza pesa.. LE SUPER FORMULA YA KUTENGEZA MAISHA, I LUV YOU LEMUTUZ, LE SUPER STAR OF ALL COCIAL MEDIA! YOU KNOW KILA NIKIJA KWENYE PAGE YAKO YA IG NAJIFUNZA JAMBO.
Last Christmas ( X-MASS)Naomba unieleweshe mkuu maana naona nazeeka vibaya. 'Last mass' ndo nini
Okey asante mkuuLast Christmas ( X-MASS)
Mtu akishakuwa kwenye payroll per post unadhani ana muda hata wa kuhakiki anachoandika? Hawa wanaonunuliwa vitecno kuja kuleta upambe kwenye social media ni kichefuchefu tupu.Naomba unieleweshe mkuu maana naona nazeeka vibaya. 'Last mass' ndo nini
Hahaa amefafanua lakini au ndo kulishwa matangopori?Mtu akishakuwa kwenye payroll per post unadhani ana muda hata wa kuhakiki anachoandika? Hawa wanaonunuliwa vitecno kuja kuleta upambe kwenye social media ni kichefuchefu tupu.
Duh Leo umemtoa knockout mtu hapa kula like zangu Za kutoshaNi kama wewe ulivyo Role Model wa Riyama na Malkia wa Mipasho Khadija kopa, Mie nikitaka kuamsha ubongo wangu kuhusu maisha huwa naenda pekenyua IG yake katika 10 ntapata 6 yakunifungua macho au masikio, We kwako mpaka sioni cha kujifunza, bali unazidi nifundisha umbea ati nikamtafute Neema Ngwilulupi aendelee kunipotezea mdua kuongelea maisha ya mtu mwengine ambae wakati huo yuko anaangalia maisha yake. labda funguka Zaidi unaweza nibadilisha mtazamo.