Teh Teh huwa nikimuona ana niongezea siku yani.....Haha haha a leo nimeona katupia picha akiwa kwenye FastJet anaelekea zake Johannesburg.
Halafu anakuambia kama kawaida am super humbled u know....
Lol
Teh Teh....wangeliweka kwenye kipindi cha mapishi...
Teh teh..Msaga sumu amemkalia kohoni sana Le Akili kubwa..Hicho kipindi kianze tu aisee niwe namaliza siku yangu vizuriNilikuwa nasubiri aseme ni kipindi cha watoto, mwanangu ningempeleka fasta. Ningekosa muda ningemtuma Benny au Kaboom kama siyo Heaven Sent kumpeleka dogo akajifunze mbinu za kuwa Super Billionea akili Kubwa Digrii tatu zote za US.
Na tena angemlink na Super Billioneas (super moguls). Ila hiki cha mapenzi dah sijui itakuwaje. Nifah itabidi ulete mrejesho day one kikiruka hewani.
Kama Babu....!Hicho cha watoto ndo kingemfaa zaidi!
Hahahah...
naona unamtengenezea mwanao njia bora za kupata breakfast Double tree hilton...
Teh teh..Msaga sumu amemkalia kohoni sana Le Akili kubwa..Hicho kipindi kianze tu aisee niwe namaliza siku yangu vizuri
Hahaha mimi msaga sumu namgawa tu bure, sijui anawazaga nini jamani khaaaaNilikuwa nasubiri aseme ni kipindi cha watoto, mwanangu ningempeleka fasta. Ningekosa muda ningemtuma Benny au Kaboom kama siyo Heaven Sent kumpeleka dogo akajifunze mbinu za kuwa Super Billionea akili Kubwa Digrii tatu zote za US.
Na tena angemlink na Super Billioneas (super moguls). Ila hiki cha mapenzi dah sijui itakuwaje. Nifah itabidi ulete mrejesho day one kikiruka hewani.
Kwani Le akili kubwa uwa anaishia kupiga picha tu?..Nadhani kuna wengine anawatafuna tehNadhani jamaa atatoa mbinu ya kuwa connected na Wabebs!
Ila isiwe kuishia kupiga nao picha tu.
Kwani Le akili kubwa uwa anaishia kupiga picha tu?..Nadhani kuna wengine anawatafuna teh
Lemutuz mikwara mingi sanaKesi yake na Florah Mvungi imeishia wapi?? Mana naona matangazo ya kumtafuta Flora akajibu tuhuma oysterbay kwenye page yake ila sijaona mrejesho!
Dah Kaka Mohammed zamani sana, kumbe bado anatangaza kile kipindi?Niache kumsikiliza marry wa EAradio au kaka Muhamed j2 redio one nianze kumsikiliza baba yangu ambae alipaswa awe nyumbani akinufaika na mafao