Le Baharia amuonya Diva Loveness

Le Baharia amuonya Diva Loveness

Haha haha a leo nimeona katupia picha akiwa kwenye FastJet anaelekea zake Johannesburg.
Halafu anakuambia kama kawaida am super humbled u know....
Lol
Teh Teh huwa nikimuona ana niongezea siku yani.....
 
Nilikuwa nasubiri aseme ni kipindi cha watoto, mwanangu ningempeleka fasta. Ningekosa muda ningemtuma Benny au Kaboom kama siyo Heaven Sent kumpeleka dogo akajifunze mbinu za kuwa Super Billionea akili Kubwa Digrii tatu zote za US.

Na tena angemlink na Super Billioneas (super moguls). Ila hiki cha mapenzi dah sijui itakuwaje. Nifah itabidi ulete mrejesho day one kikiruka hewani.
Teh teh..Msaga sumu amemkalia kohoni sana Le Akili kubwa..Hicho kipindi kianze tu aisee niwe namaliza siku yangu vizuri
 
Teh teh..Msaga sumu amemkalia kohoni sana Le Akili kubwa..Hicho kipindi kianze tu aisee niwe namaliza siku yangu vizuri

Nadhani jamaa atatoa mbinu ya kuwa connected na Wabebs!

Ila isiwe kuishia kupiga nao picha tu.
 
Nilikuwa nasubiri aseme ni kipindi cha watoto, mwanangu ningempeleka fasta. Ningekosa muda ningemtuma Benny au Kaboom kama siyo Heaven Sent kumpeleka dogo akajifunze mbinu za kuwa Super Billionea akili Kubwa Digrii tatu zote za US.

Na tena angemlink na Super Billioneas (super moguls). Ila hiki cha mapenzi dah sijui itakuwaje. Nifah itabidi ulete mrejesho day one kikiruka hewani.
Hahaha mimi msaga sumu namgawa tu bure, sijui anawazaga nini jamani khaaaa
 
Hahahahaha

Le akili kubwaz
Le baharia
Le 3 degrees

Huyu jamaa anakipaji kikubwa sana cha kuimba na live band. Kuna siku nilimuona anapiga kilingala, amemeza kikongo vizuri mno. Mabilionea wa Congo wote marafiki zake...
 
Jamaa anajituma anafanya kazi sana tumtie moyo kwa jitihada zake anazoonyesha.
I'm super hambled u know!
 
Kesi yake na Florah Mvungi imeishia wapi?? Mana naona matangazo ya kumtafuta Flora akajibu tuhuma oysterbay kwenye page yake ila sijaona mrejesho!
 
Niache kumsikiliza marry wa EAradio au kaka Muhamed j2 redio one nianze kumsikiliza baba yangu ambae alipaswa awe nyumbani akinufaika na mafao
Dah Kaka Mohammed zamani sana, kumbe bado anatangaza kile kipindi?
 
Back
Top Bottom