Le Baharia amuonya Diva Loveness

Duuu! Kwa hiyo baba swalehe na mapenzi wapi na wapi! Hiyo radio itapoteza mvuto fasta
 
EXTRA LIVE TALK: Nikija page ya kumi wote nawashitaki cybercrime gadem! I mean sio kwa madongo haya, kipindi cha watoto? Lakini ngoja watoto kwa kingereza si wabebez? basi poa, nitatangaza, i'm humbled you know? Love you mingi!
 
Le baharia atangaze kipindi cha watoto?
 

- asmaa80, please ni check kwenye my number 0717618997 nikurushie vocha ya Tsh. 20,000 maana unatisha U know nakupenda lov u more baby!!, nilikuwa safarini Dodoma on vodacom with Diamond na Mafikizolo ndio maana nilikuwa sijaiona hii U know lov U mingi sana!!

le Mutuz Nation
 

What's crackin' ma nigga?
 
ha ha ha ha Asante sana kaka kwa offer. love u more, pole na safari.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 







- Hahahahahahaha Msaga Sumu U know you rock it maaan, hahahahaha Diva is my best friend U know Sunday tulikuwa Hilton Double Tree at batazzz batannn, hii post nilikuwa sijaiona cause nilikuwa Dodoma on Vodacom trip with Mafikizolo from South Africa na Diamond unajua vodacom ni one of my client at my Social Media Company, na Ijumaa nitaruka tena to Mwanza for vodacom tena for Diamond na NEyo from US at the show la JEMBEKA FESTIVAL Jumamosi.

- I am humbled na this post cause forget about FACTS in it cha muhimu ni it is good for my business maana mtu haupo unatajwa tu kufumba na kufumbua pages 6 na 10,000 viewers that is the real meaning ya Celebrity and I love it hakuna bad wala good publicity it is publicity tena free of charge U know, ukipata nafasi ni check nikurushie vocha ya Tsh. 20,000 maana you deserve it huwa unanipa super promo sana hapa and I love it!!

- I said before na ninasema tena as long as unachangia topic zangu tena kwa majina ya bandia in any Social Media ujue unacheza muziki wangu cause unanisaidia kufahamika tu ila hupunguzi anything in my life unaniongezea tu, maana naona kuna wanaotoka mapovu poleni sana itakusaidia nini mimi navuta pesa na nakula maisha na super wabebezzz U knpow tena super mtindizi U know, guys relax hapa unaishindana na 3 Degrees moja ya Belgium na Mbili za USA, mtu umesoma KWa Mtogole U know utashindana na mimi utaniweza wapi le mburulazzzz hahahahahaha halafu umeona Jumamosi nilikuwa UDSM kutoa speech wewe mpaka unakufa hutaitwa hata Shule ya Mtogole kutoa Speech mazafantazzz hahahahaha U know!1

le Mutuz Nation
 
kwa hiyo utakuwa mtangazaji wa watoto?

swissme
 
Le mutuz kwenye ubora wake, le super genius akili mingi [emoji41]
 
Le mutuz kwenye ubora wake, le super genius akili mingi [emoji41]

Mwambie ukweli tu jamani!? Akili zipi hizo sasa? Angekua na age ya kina belle 9 angalau au Ben Paul ungesema kijana anajituma,.... Hapa unamuitaje sasa
 
Haaaaaaaaaa eti mazafantaz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…