mkonongo1938
JF-Expert Member
- Jan 22, 2016
- 1,990
- 2,398
Duuu! Kwa hiyo baba swalehe na mapenzi wapi na wapi! Hiyo radio itapoteza mvuto fasta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani hata kwa hilo amekuacha mbali, yeye ni Zaidi ya wewe kimawazo, sabab kwake kutoa offer kwa Le Mbebezi sio kwamba kawaacha mbali le super Mmmbululazi kama wewe, kakuwacha kifikra, yeye angeandika line 2 kama hizo zako ningekuwa nimejifunza mambo mengi ya msingi, lakini wewe labda apite Mzee Yusufu, Khadija Kopa na Rihama wanaweza jifunza kitu hapo.
- asmaa80, please ni check kwenye my number 0717618997 nikurushie vocha ya Tsh. 20,000 maana unatisha U know nakupenda lov u more baby!!, nilikuwa safarini Dodoma on vodacom with Diamond na Mafikizolo ndio maana nilikuwa sijaiona hii U know lov U mingi sana!!
le Mutuz Nation
ha ha ha ha Asante sana kaka kwa offer. love u more, pole na safari.- asmaa80, please ni check kwenye my number 0717618997 nikurushie vocha ya Tsh. 20,000 maana unatisha U know nakupenda lov u more baby!!, nilikuwa safarini Dodoma on vodacom with Diamond na Mafikizolo ndio maana nilikuwa sijaiona hii U know lov U mingi sana!!
le Mutuz Nation
Baada ya kituo cha redio cha Swahili fm kurusha matangazo yake ya majaribio na kuonesha mafanikio ya hali ya juu,yaani kuweza kusikika kwa usikivu mzuri mpaka maeneo ya Pretoria na Cairo wakati kilikuwa na mpango wa kusikika Morogoro pekee, atakayekuwa mtangazaji mpya wa kipindi cha mapenzi kutoka swahili fm ndg Lemutuz ametoa onyo kali kwa mtangazaji mwenzie wa show za usiku kutoka upande wa pili kuwa ajiandae kwa upinzani wa kiwango cha lami toka kwa gwiji ilo la mitandao.
![]()
Tulipomtafuta kutoa ufafanuzi wa suala hili alithibitisha "Yeah ni kweli mamen si unajua sasa napanua mitandao yangu,si unajua kihalisia mapenzi hayakuzaliwa Tanga bali yalizaliwa Mtera,yeah Le kipindizz litakuwa na wagen wa kila aina kuanzia Le supa mtindizz wenye ngozi laini kama cotton,super mogulzz and super billionez mpaka my super friend Makonda"
Kabla ya kupata nafasi hiyo bodi ya redio hiyo ilimshauri Le Baharia atangaze kipindi cha watoto cha saa nne asubuhi jmosi kutokana na uwezo wake wa kujichanganya na rika tofautitofauti kabla ya kufikia muafaka wa kubali kutangaza kipindi cha mapenzi.
Baba huyo wa watoto wawili anakuwa moja ya watu wachache sana duniani wa umri wake kuhost show kama hizo .

kwa hiyo utakuwa mtangazaji wa watoto?
- Hahahahahahaha Msaga Sumu U know you rock it maaan, hahahahaha Diva is my best friend U know Sunday tulikuwa Hilton Double Tree at batazzz batannn, hii post nilikuwa sijaiona cause nilikuwa Dodoma on Vodacom trip with Mafikizolo from South Africa na Diamond unajua vodacom ni one of my client at my Social Media Company, na Ijumaa nitaruka tena to Mwanza for vodacom tena for Diamond na NEyo from US at the show la JEMBEKA FESTIVAL Jumamosi.
- I am humbled na this post cause forget about FACTS in it cha muhimu ni it is good for my business maana mtu haupo unatajwa tu kufumba na kufumbua pages 6 na 10,000 viewers that is the real meaning ya Celebrity and I love it hakuna bad wala good publicity it is publicity tena free of charge U know, ukipata nafasi ni check nikurushie vocha ya Tsh. 20,000 maana you deserve it huwa unanipa super promo sana hapa and I love it!!
- I said before na ninasema tena as long as unachangia topic zangu tena kwa majina ya bandia in any Social Media ujue unacheza muziki wangu cause unanisaidia kufahamika tu ila hupunguzi anything in my life unaniongezea tu, maana naona kuna wanaotoka mapovu poleni sana itakusaidia nini mimi navuta pesa na nakula maisha na super wabebezzz U knpow tena super mtindizi U know, guys relax hapa unaishindana na 3 Degrees moja ya Belgium na Mbili za USA, mtu umesoma KWa Mtogole U know utashindana na mimi utaniweza wapi le mburulazzzz hahahahahaha halafu umeona Jumamosi nilikuwa UDSM kutoa speech wewe mpaka unakufa hutaitwa hata Shule ya Mtogole kutoa Speech mazafantazzz hahahahaha U know!1
le Mutuz Nation
Le mutuz kwenye ubora wake, le super genius akili mingi [emoji41]- asmaa80, please ni check kwenye my number 0717618997 nikurushie vocha ya Tsh. 20,000 maana unatisha U know nakupenda lov u more baby!!, nilikuwa safarini Dodoma on vodacom with Diamond na Mafikizolo ndio maana nilikuwa sijaiona hii U know lov U mingi sana!!
le Mutuz Nation
Le mutuz kwenye ubora wake, le super genius akili mingi [emoji41]
Haaaaaaaaaa eti mazafantaz