Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Hahaha[emoji3]Huyo jamaa hamna kitu
Afadhali yake kuliko Mange.Huyo jamaa hamna kitu
Yeye ni spokeman wa CCM on social media
KivipAfadhali yake kuliko Mange.
Unataka kivip sasa?Kivip
Mkuu ndo alivosem yy mwenyew kwny hyo enterview[emoji3]Aliteuliwa lini na Kikao kipi cha CCM?
Kweli kabisa mkuu,upo sahihi,ila all in all jamaa anajua ku adjust yani wanapg stori na presenter kama wana umri sawaSTESHENI YA TAIFA IMEPANDA CHATI! SIJUI KAMA MILARD AYO ANAWEZA KUMPA AIR TIME KWENYE MILARD AYOO TV ILA TBC KAPATA! MAENDELEO HAYO
UZURI WA LE BAHARIA HAJALI AISEE INGEKUWA MIMI HUKU KUSEMWA NA MANGE NA JF NISINGEPATA NGUVU KWENDA KWENYE TBC TENA.NI MHENGA ALIRUKA KUISHI MAISHA YA UJANA NDIO ANAYAISHI MUDA HUUKweli kabisa mkuu,upo sahihi,ila all in all jamaa anajua ku adjust yani wanapg stori na presenter kama wana umri sawa
True,afu amegoma katu katu kutaja umriUZURI WA LE BAHARIA HAJALI AISEE INGEKUWA MIMI HUKU KUSEMWA NA MANGE NA JF NISINGEPATA NGUVU KWENDA KWENYE TBC TENA.NI MHENGA ALIRUKA KUISHI MAISHA YA UJANA NDIO ANAYAISHI MUDA HUU
AMEZALIWA MWAKA 1961 MANGE ALIPOST PASSPORT YAKE INSTAGRAM.WANAJUANA WALETrue,afu amegoma katu katu kutaja umri
Hata mie naishi kwangu [emoji23][emoji23]1.le baharia kasem anafikilia kuoa,
2.mtangazaji kasem baharia ni tajiri mkubw,
3.amegundua divorce ni mungu alimp nafas ya kupumzka ,
4.ana mpenda rose ndauka na ana wish ange date nae ,,
5.ana ishi kwake ,,
6.haters wake ni maskini wanamchukia coz ana mafanikio ,
7.maisha yake ulaya aliishi apartment
8. ,hauzi na hajawahi uza ngada ,
9.ana degree 3 (all from europe)
10.ana mkumbusha sana makonda abt ajira kwa vijana
11.siku hizi ana akili sana so halii
mtoto wa waziri mkuu mstaafu, kusoma na kukaa ulaya miaka 30, umezaliwa 1961 bado anakaa hotelini.kupanga kweli ni kuchaguaHata mie naishi kwangu [emoji23][emoji23]