Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
1.le baharia kasem anafikilia kuoa,
2.mtangazaji kasem baharia ni tajiri mkubw,
3.amegundua divorce ni mungu alimp nafas ya kupumzka ,
4.ana mpenda rose ndauka na ana wish ange date nae ,,
5.ana ishi kwake ,,
6.haters wake ni maskini wanamchukia coz ana mafanikio ,
7.maisha yake ulaya aliishi apartment
8. ,hauzi na hajawahi uza ngada ,
9.ana degree 3 (all from europe)
10.ana mkumbusha sana makonda abt ajira kwa vijana
11.siku hizi ana akili sana so halii