Le Mtuz this is Too Low for You

Uzee mwisho Msata, mjini wote baby. Mwacheni Le Mutuz ajichanganye na babies wenzake
 
kama Wema siyo superstar tutajie wewe superstar ni nani? pili kama Wema hakulipa zile pesa je ni wewe ndio ulilipa?
Watu midomo mirefuuu wakati mahakamani kwenya 13m wote waliufyata mkia!
 
Yupo Jumuiya ya wazazi halafu pia ni mjumbe wa UVCCM?

Lazima atakuwa na kipaji maalum cha kubadilika umri huyu.

huyu jamaa ni multi purpose, ana degree "mbili" na bado NYC alikuwa dereva wa track tu.

Bongo sasa hivi ana kampuni karibu sita hizo ndio sauti za umeme the big show big time.

@ upanga sea view kwa baba.
 
Le mutuz ana watoto tayari so ni mzazi halali!

Na kijana wa miaka zaidi ya hamsini hapohapo.

Kweli mjini hamna wazee.

Ila mimi kila akiposti in ALL CAPS kama a village pastor ambaye kaiona keyboard kwa mara ya kwanza I will be on his case.

Anatuaibisha.
 
Watu midomo mirefuuu wakati mahakamani kwenya 13m wote waliufyata mkia!

kuna dogo alileta thread hapa mmu kuomba msaada wa elfu sabini tu ili afanye mtihani wa qt basi sarakasi zake siyo mchezo.

kama siyo busara za King'asti na babu Dc basi yule dogo asingekuwepo kwenye orodha ya watahiniwa.

halafu anatokea mtu na govi lake unamdhiaki mtu aliyetowa cash money million 13? only in Tanzania.
 
Last edited by a moderator:
Na kijana wa miaka zaidi ya hamsini hapohapo.

Kweli mjini hamna wazee.

Ila mimi kila akiposti in ALL CAPS kama a village pastor ambaye kaiona keyboard kwa mara ya kwanza I will be on his case.

Anatuaibisha.

Kadi lakela kliniki mnalooo? People talk a lot of stuffs but it doesnt mean they are true! Dadayake mwenyewe Dr. Mwele inawezekana hana hio 50!
 
Ndo maana nilisema kama baba aliitwa mhuni na MWALIMU basi yeye lazima atakuwa kibaka. Hya jionee mwenyewe
 
!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kadi lakela kliniki mnalooo? People talk a lot of stuffs but it doesnt mean they are true! Dadayake mwenyewe Dr. Mwele inawezekana hana hio 50!

calculation za umri wa mtu ni rahisi sana ukijuwa mwaka alioanza shule primary.

huyo mwenzako rika lake ni kina Joseph kusaga, chukuwa hiyo sampling utapata jibu.
 
duuh ni aibu kwa zee zima kujihusisha ba bf za watoto tena wakike.....ata kama ulicho sema ni cha kweli
 
Kadi lakela kliniki mnalooo? People talk a lot of stuffs but it doesnt mean they are true! Dadayake mwenyewe Dr. Mwele inawezekana hana hio 50!

Hahaa,

Nikafikiri wewe ndiye unalo unakuja kutuonyesha.

Whatever the age, there is an intrinsic conflict of interest, almost an incestuously repulsive intrusion, in one being in both UVCCM and wazazi.

If at all that is the case and not just JF banter.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…