Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Le baharia kanichekesha Instagram eti angeambiwa yeye ni mbaya angekosa usingizi
afadhali kaambiwa shida yake ni kitambi tu hivo atakishughulikia
ha ha ha hapa ndo sionagi umuhimu wa kigezo cha umri kwenye ndoa
unaeza kuwa na mtu mzima ila ni mzigo, tena zigo la misumari hata kulibeba huwezi....
Jifunze kuandika kwanza.
huyu jamaa ni multi purpose, ana degree "mbili" na bado NYC alikuwa dereva wa track tu.
Bongo sasa hivi ana kampuni karibu sita hizo ndio sauti za umeme the big show big time.
@ upanga sea view kwa baba.
ulikuwa kwa yule demu wa ifm eti unasolve kesi now upo kwa wema against kajala yani we jombaa nyapu zitakukili
aisee kama hujaelewa pita hivi na alerge NA UKOO WA PANYA staki murdercase nikakupa gunshot ya ubongo kaa mbali MADAFAKA
Jifunze kuandika kwanza.
Nani aliokudanganya wenye degree kazi zao ni ofisin na madereva hawatakiwi kuwa na degree ?
Kazi ni kazi ilimradi inamlipa kwan alikuwa anakuomba pesa za kula?
Wabongo bhana kwa kuchagua kazi
Inaonekana una details za ndani..kabisa....kajala mbona kahojiwa anataka yaishe? Ya tuico umefikiaje?
Dogo acha kutishia kujamba wakati una tumbo la kuhara, am too old for u son.
Usihangaike na huyo dogo mkuu , atakupaka mavi tu. hana adabu.
you better see far,you better stay far am too satanic for you old ,blink
basi ajikite huko jumlababukijana mbona hii ndo Le Mutuz anaiwezea zaidi kuliko mambo mengine ikiwemo siasa
Le mutuz kasema ukweli mtupu! Mungu niepushe na uropokaji wa mambo ya watu mie! I smell a FEUD!