Le Mtuz this is Too Low for You

Le Mtuz this is Too Low for You

lara 1..wanaweza kupatana..wema na aunty waligombana pia mbona sasa wako poa?
there is a chance kwa wao kupatana..unless wawe kweli walichukuliana huyo clement
Hawapatani mileleeee its a done deal!
 
Last edited by a moderator:
Le Mutuz ni kirusi jamii ya trojan--kikiingia kwenye PC yako sio rahisi kukiondoa. Mkuu Le, ni lini hasa utakuwa? Why are you getting involved in such a nasty feud? Even if you're still chronological immature, just pretend to be miniaturely mature! Unatia aibu sana kwa kweli ndugu yangu.
 
Le baharia kanichekesha Instagram eti angeambiwa yeye ni mbaya angekosa usingizi
afadhali kaambiwa shida yake ni kitambi tu hivo atakishughulikia
ha ha ha hapa ndo sionagi umuhimu wa kigezo cha umri kwenye ndoa
unaeza kuwa na mtu mzima ila ni mzigo, tena zigo la misumari hata kulibeba huwezi....

aiseeeeh!!!!! ze BIG ze head Ze BIG ze akili.......

ila hili ameongea point kwa mbali.
 
huyu jamaa ni multi purpose, ana degree "mbili" na bado NYC alikuwa dereva wa track tu.

Bongo sasa hivi ana kampuni karibu sita hizo ndio sauti za umeme the big show big time.

@ upanga sea view kwa baba.

Nani aliokudanganya wenye degree kazi zao ni ofisin na madereva hawatakiwi kuwa na degree ?

Kazi ni kazi ilimradi inamlipa kwan alikuwa anakuomba pesa za kula?

Wabongo bhana kwa kuchagua kazi
 
ulikuwa kwa yule demu wa ifm eti unasolve kesi now upo kwa wema against kajala yani we jombaa nyapu zitakukili

Mkuu!! Mbona kitu alichokifanya lemutuz pale ifm ni cha kiungwana sana, yule binti alidhalilishwa kiasi kwamba alikuwa hataki hata kutoka nje!!! Imagine kama ingemtokea dada yako, bado ungemlaumu lemutuz kwa kumchukulia hatua mdhalilishaji???
 
Bado sijaona shida ya Le Mutuz kwan kaongea uongo?? I think siasa ina uwanja mpana pia, mbona hao wasanii wanatumiwa katika kampeni zao?? Mwacheni aongee yake ya moyoni
 
Nani aliokudanganya wenye degree kazi zao ni ofisin na madereva hawatakiwi kuwa na degree ?

Kazi ni kazi ilimradi inamlipa kwan alikuwa anakuomba pesa za kula?

Wabongo bhana kwa kuchagua kazi

ni wapi niliposema le mutuz alikuwa ananiomba pesa? dandia treni usidandie watu.

kila mtu anachaguwa kazi anayopenda au inayoendana na level yake, kama wewe huchagui kazi ya kufanya basi ubongo wako una matatizo.
 
Inaonekana una details za ndani..kabisa....kajala mbona kahojiwa anataka yaishe? Ya tuico umefikiaje?

Kajala ni mnafiki!! Akiwa kwenye media anasema yaishe ili aonekane si mshari na mtu mwema!! Lakini ukimkuta sehemu za starehe na shosti zake, matusi na kejeli anazoporomosha kuhusu wema huwezi kuamini..
 
Kusaidiwa na mtu sio sababu ya kumnyenyekea na kukosa uhuru wa kusema utakalo, huo ni utumwa, kama mtu alijitoa kiroho safi kisiwe kibali cha kujigeuza Malaika. Kama noma na iwenoma...
 
Le mutuz kasema ukweli mtupu! Mungu niepushe na uropokaji wa mambo ya watu mie! I smell a FEUD!

"You don't understand. I coulda had class. I coulda been a contender. I coulda been somebody, instead of a bum, which is what I am, let's face it. I was just NOT

wewe huyu
 
Back
Top Bottom