Le Mtuz this is Too Low for You

huyu jamaa ni multi purpose, ana degree "mbili" na bado NYC alikuwa dereva wa track tu.

Bongo sasa hivi ana kampuni karibu sita hizo ndio sauti za umeme the big show big time.

@ upanga sea view kwa baba.

Hapo ndio maana namuita "Le Mtuz" badala ya "LE MUTUZ":smile-big:
 
Ndio unajifunza kuandika? unatafuta umaarufu kwangu? unajuwa hata chembe kuhusu satanic? bado unanukia maziwa ya mama tafuta teenager wenzio wa kufanya nao rubbish argument kama hizo.
mkuu weka huyu kwenye ignore list upumzike.
 
Ndio unajifunza kuandika? unatafuta umaarufu kwangu? unajuwa hata chembe kuhusu satanic? bado unanukia maziwa ya mama tafuta teenager wenzio wa kufanya nao rubbish argument kama hizo.

haha,
little old trash,
i knw the beast more than you think
old dogs of your type patternskills are emptyset
argument kuhusu nini?
nanukia maziwa japo ni ya upande wa pili wa shilingi
 
Hakuna bifu kati ya hao watu, hilo mnaloliita bifu limetengenezwa na wao wenyewe na media ili wafanye biashara.Shigongo anauza magazeti na wao wanapewa mgao wao. hio ni mbinu the so called celebrity wanatumia kupata pesa. ilitokea kwa Lady JD na Clouds...etc period
 

Kuwa mzazi kijanakuna uajabu gani? Bado sijaona la ajabu hapo!
 
Hili jamaa ni hovyo sijui hata mzee malecela kama ni mtoto wake huyu...mbona halina akili kabisa?

exactly you are a greatthinker hes dealing with woman and girls
cellebrities and collegues
in a fact of sex,and relationship inspiration
too old to spy and deal with ladies life
he should go and villages too
STUPID BRAINS CAN CONTROL BIG AGES Kigogo
 
Last edited by a moderator:
"You don't understand. I coulda had class. I coulda been a contender. I coulda been somebody, instead of a bum, which is what I am, let's face it. I was just NOT

wewe huyu
Hio quote na alikotiwa yupo hapo the waterfront! Au gramma kidogo inasumbua?
 
Hivi nani kasema 13ml zilitokana na wema? Mh jamani usilolikua ni kama usiku waa giza tukumbukr jambo moja tu huyu kajala alikuwa na mume wake ambaye mpaka leo anatumikia kufungo sasa ni mwanaume gani angesimama kusema anamtolea hiyo hela kajala ikiwa ni mke wa mtu? Basi ikatumika busara funika kombe mwanaharamu apite.
 
Sasa kosa lake liko wapi? Kwani kuwa mwana siasa kuna mzui kutoa ushauri kwa rafiki zake.

Na mbona katoa ushauri mzuri tuu kwa kajala? Yani kama hili ndio lina kufanya kuandika too.. Low basi sidhani kama unaelewa maana yake.

Huu pia ni uwanja wake na ana blog na hizo habari za wasanii huwa ana ziandika.

Kwanza ni Mpongeze kwa kutoa ushauri mzuri sana.

Duu huyu Kajala ana moyo mgomo, nilitegemea amchukulie wema kama ndugu au mzazi kwa nafasi aliyo nayo kwake na hata haitokuja kusahaurika kwa alichomtendea.

Kajala amka Wema ni zaidi ya ndugu kwako na mzazi,wote walikuacha lakini yeye alikupigania.

Hata kama kakusoa haiwezekani kuondoa umuhimu wake kwako.
 
Kwa hiyo unajaribu kusema Wema hana mchango kwenye hiyo hela?
Bila Wema ingetoka hata kama Wema anaongwa?
 
Baba lizima linaingilia ugomvi wa wanawake,

Ulitaka aingilie nani? We mwenyewe ambaye si baba lizima unaandika pumba, umeplay role gani kama kijana kusolve tatizo mpk mtu mzima asiingilie .old is gold muache le mutuz kwanza kasema ukweli tupu kwa mtu mwenye akili timamu na anayejua life ni nn. I'm out
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…