Le Mtuz this is Too Low for You

Twende mbele turudi nyuma kumtolea mtu Mil.13 ambaye sio ndugu yako inataka Moyo kwa kweli kwa hili Wema big up sana,,Kajala sasa hivi hizi bata zote angezisikia Behind bars wangempeleka Sabuni na pedi tu. Shukrani muhimu kwakweli hata km mtu ana mapingufu yake jiulize ukoo mzima walishindwa kumtolea hiyo hela.

TENDA WEMA NENDA ZAKO USINGOJE SHUKRANI.
SHUKRANI YA PUNDA NI MATEKE.
 
Hii ni comment ya kitoto kabisa.
Hebu twambie kosa lake kwenye habari ni niini?
 
mkuu weka huyu kwenye ignore list upumzike.

huyo tayari halafu nimrweka na hawa.

kahtaan Ritz
User Name
Ignore List
To remove a user from your ignore list, un-check
the box associated with their name and click the
'Save Changes' button.
To add a user to the list, enter their name into
the empty text box and click 'Oka
 
Umenena stata mzuka. Kajala anatakiwa kufikiri sana kwenye hili. Wema si mkamilifu lakini Kajala alipaswa kumchukulia kama mzazi wake aliiye jitoa kwa hali na mali.

Kajala anatakiwa kujua undugu na Uzazi ni zaidi ya kushare Damu.
 
Last edited by a moderator:
Hili jamaa ni hovyo sijui hata mzee malecela kama ni mtoto wake huyu...mbona halina akili kabisa?
Mkuu Kigogo hebu nianbie kosa la Lemtuz kwenye hii habari.
 
Last edited by a moderator:
Kajala ni mnafiki!! Akiwa kwenye media anasema yaishe ili aonekane si mshari na mtu mwema!! Lakini ukimkuta sehemu za starehe na shosti zake, matusi na kejeli anazoporomosha kuhusu wema huwezi kuamini..


We ni shosti yake ?
 
Kuninyanyasa kisa ulinisaidia hyo haikubaliki......ukitaka Nikuabudu kisa ulinisaidia hakika utafeli
 
kulaaa gwaraaa mamylo ume ungea kitu cha muhimu sana sio wote wananywele nyeupe wanabusra
 
Niliposema funika kombe mwanaharam apite hukujua maana yake? Haya ngoja nikujuze wema hakutoa hiyo hela ya kumkomboa kajala ila wema alisimama kama kivuli tu upo hapo?
Umenena stata mzuka. Kajala anatakiwa kufikiri sana kwenye hili. Wema si mkamilifu lakini Kajala alipaswa kumchukulia kama mzazi wake aliiye jitoa kwa hali na mali.

Kajala anatakiwa kujua undugu na Uzazi ni zaidi ya kushare Damu.
 
Last edited by a moderator:
Kajala anajua hiyo hela nani kalipa so anajua atendalo sio makusudi.
Kuninyanyasa kisa ulinisaidia hyo haikubaliki......ukitaka Nikuabudu kisa ulinisaidia hakika utafeli
 
Busara tupu Le Mutuz!!! Hawa ni maneno ya busara toka kwa mtu mzima. Hajaandika matusi bali amelenga amani. Kilicho kichwani kwa watu wenye busara ni hicho hicho aluchoandika William. Msemo unasema Shukrani ya punda ni mateke!!!! Kwa kuwa tunaishi haitakuwa mwisho wa Kajala kufanya uovu maana anapenda vya mteremko. Na mumewe ali appeal so hatujui matokeo. Amanda Cox wa USA alifanya appeal akashinda kesi ya kuua!!! Leo hii hukumu ilipitiwa upya na upelelezi na kesi inaanza upya!!!! Wema alifanya wema ambao Kajala anaudharau. Mdharau mwiba mguu huota tende. Tusubiri.
 
Niliposema funika kombe mwanaharam apite hukujua maana yake? Haya ngoja nikujuze wema hakutoa hiyo hela ya kumkomboa kajala ila wema alisimama kama kivuli tu upo hapo?

Hata kama ya kuhongwa ni yake pia,,,we unaweza ukahongwa hiyo hela na usiitoe vilevile kumlipia mtu.
 

nasikia zile pesa sio wema alitoa..wema alipewa tu aziwakilishe mahakamani, mtoa pesa yuko na kajala sasa hivi wanakula bata tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…