Le Mtuz this is Too Low for You

tumeghairisha shughuri kwa muda maana tulipanga ifanyike uwanja mpya wa taifa ila kamati ya maandalizi imeona uwanja hautatosha bado tunachukuwa maoni kwa wale wanaojuwa wapi tunaweza kuwaweka wageni laki tatu.

Si afanye harusii ya kawaida mbwembweee za niniiii
 
Huyu akamjengejee nyumba mamake kwanza,mamake anakaa kwenye tembe kule tunduma
 
You guys dont know anything, alichomind kajala kwa nini wema alimpa papuchi uwoya kule A town amnyonye akati yeye alishajitolea kumsaga maisha yake yote? Truth be told ray na steve nyerere waliwafuma chooni wakajaropoka pale kwa mwanangema
 
Kumbeeee wanasagana wao halaf wanaonea wivu tenaa makubwaa
Sitakuja kushika k ya mwanamke mwenzangu mpaka nadedii aiseee
 
Kumbeeee wanasagana wao halaf wanaonea wivu tenaa makubwaa
Sitakuja kushika k ya mwanamke mwenzangu mpaka nadedii aiseee

Yeah walikuwa wanasagana baada ya hapo kajala akaona isiwe shida afterall hizo milion 13 anazilipa daily wema hana ubavu wa kutoa 13 milion mfukoni ukitegemea ile movie yake wahindi waliikataa kutokana na dau kubwa
 
Utovu naima kwa ahaliyo si tamati ya nadhama kwa hadhira.

Chonjo wajila, afaka fanaka, madaha si karaha, kimelea upingamizi kimbonelea cha wizi, kukosa meno si kukata fizi.

Kiada vipawa shawishi ya shauku, afriti yamkini kukithiri hiana.

Kiranga muda flani mnaboa,kukariri mambo yenu ambayo yapo nje ya mada.
 
Fasili mithaki si jinai, karabai zimesaki msambe kiza.

Kutawili penzi la tenzi si ushenzi, kukwea kisoi hasama tangu enzi.

brother hiki kiswahili?? ukiandika kiingereza inabidi dictionary iwe karibu na kiswahili tena kamusi inabidi ihusike kha!!!
 
Hahaha! Like the comment.
 
brother hiki kiswahili?? ukiandika kiingereza inabidi dictionary iwe karibu na kiswahili tena kamusi inabidi ihusike kha!!!

Majazi ya mkarama tuhuma, hata nuruze jua hupaziwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…