Le Mtuz this is Too Low for You

Le Mtuz this is Too Low for You

babukijana

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2009
Posts
14,478
Reaction score
18,341
@ LE MUTUZ SYSTEM LIVE STRAIGHT TALK!!:-

LEO I HAVE TO SAY SOMETHING KUHUSU VITA YA MY TWO SUPER FRIENDS SUPER STAR KAJALA NA WEMA SEPETU.


MIMI NI BAHARIA KWENYE UBAHARIA TUNA RULE NAMBA MOJA NAYO NI WE DO NOT BETRAY OUR FRIENDS NA HASA KAMA AMEKUSAIDIA UKIWA NA MATATIZO, NA BINADAM YOYOTE ULIYEMSAIDIA AKIWA KWENYE MATATIZO MAKUBWA AKAKUGEUKA AKIWA HANA SHIDA TENA SIO MTU WACHANA NAYE NI MSHENZI NA NI MNYAMA, NINASEMA HIVI REGARDLESS YA CHANZO CHA BIFU LAO, I HOLD KAJALA RESPONSIBLE KWA KUENDELEA KWA THIS CHILDISH BIFU DUNIA NZIMA INAJUA KUWA KAMA WEMA SEPETU HAKUMTOLEA ZILE MILLIONI 13 ANGEOZA JELA MPAKA LEO, MIMI NILIFIKIRI KILA KAJALA AKIKUMBUKA THAT ATAMUHESHIMU WEMA NA MAPUNGUFU YAKE HATA YAWE VIPI NA KAMA YAMEZIDI KIPIMO SI UNAMKWEPA TU LAKINI YOU REMAIN FRIENDS!!


- I MEAN THIS ONGOING FEUD INANISIKITISHA SANA KWA SABABU INAKUTOA UTU KAJALA NA KWA SABABU MBILI MUHIMU KWANZA WEWE NI MKUWBA KIUMRI KULIKO WEMA NA PILI AMEKUSAIDIA MAHALI AMBAPO HAKUNA MTU MWINGINE ANGEWEZA KUKUSAIDIA HAO UNAOWARINGIA SASA WALIKUWA WAPI SIKU ILE PALE MAHAKAMANI? I WAS THERE MACHO YALIKUWA YAMEKUTOKA MEKUNDU MACHOZI YANAKUMWAGIKA KAMA MVUA, AKAJA WEMA KUKUOKOA NA SASA NI YALE YALE SHUKRANI YAKO YA PUNDA!! JIRUDI MY SISTER MUOMBE MUNGU WAKO AKUSAIDIE UELEWANE NA WEMA HATA KAMA HAMUWEZI KUWA MARAFIKI LAKINI KUWEPO NA AMANI KATI YENU, MIMI SIMZIMIKII MTU YOYOTE ASIYE NA SHUKRANI NA KWENYE HILI NI WEWE HUNA SHUKRANI, SO BACK OFF!!,
JAMANI JIONI NJEMA!! -LE MUTUZ

NB
KUMBUKA WEWE NI MWANASIASA SASA UNAPOANZA KUHANGAIKA NA HAWA BONGO MOVIE TUNAKUA HATUKUELEWI,KWAKWELI SASA NAWAELEWA WALIOKUNYIMA KURA KILA MAHALI.
 
Le baharia kanichekesha Instagram eti angeambiwa yeye ni mbaya angekosa usingizi
afadhali kaambiwa shida yake ni kitambi tu hivo atakishughulikia
ha ha ha hapa ndo sionagi umuhimu wa kigezo cha umri kwenye ndoa
unaeza kuwa na mtu mzima ila ni mzigo, tena zigo la misumari hata kulibeba huwezi....
 
babukijana mbona hii ndo Le Mutuz anaiwezea zaidi kuliko mambo mengine ikiwemo siasa
 
Last edited by a moderator:
Sijaona tatizo la Le Mutuz hata kidogo na naunga mkono maoni ya le mutuz ila afanyie kazi ushauri wa Kiranga wa all caps ni kweli shouts.

Pia tujuwe kuna tofauti kati ya fact na opinion.
 
ulikuwa kwa yule demu wa ifm eti unasolve kesi now upo kwa wema against kajala yani we jombaa nyapu zitakukili
 
Namkalibisha le mutuz jukwaa la celebrity hizo ndio habari zetu.

Kuhusu siasa haziwezi hawaachie wenyewe.

Karibu jukwaa la celebrity le mutuz
 
NB
KUMBUKA WEWE NI MWANASIASA SASA UNAPOANZA KUHANGAIKA NA HAWA BONGO MOVIE TUNAKUA HATUKUELEWI,KWAKWELI SASA NAWAELEWA WALIOKUNYIMA KURA KILA MAHALI.

Le Mutuz siyo mwanasiasa ni mpiga kelele tu....
 
Back
Top Bottom