Le Mtuz this is Too Low for You

Le Mtuz this is Too Low for You

Utumwa wa akili ni utumwa mbaya kuliko aina zote za utumwa,sawa Wema amefanya kitu cha kiungwana lakini haikua ndio iwe fimbo ya kumchapia mwenzie alikua anamfanya kama maid wake sasa kwa waliokua wanafuatilia trend yao ataelewa kwamba ilikua lazima wapishane njia na Wema inaonekana anapenda kua juu ya kila mtu ili anyenyekewe wanaweza akina Kadinda na Petit wengine wanachoka mapema,na uyu Le Mutuz need to grow up hizi mambo awaachie wavaa suruali za dada zao.
 
twende mbele turudi nyuma kumtolea mtu mil.13 ambaye sio ndugu yako inataka moyo kwa kweli kwa hili wema big up sana,,kajala sasa hivi hizi bata zote angezisikia behind bars wangempeleka sabuni na pedi tu. Shukrani muhimu kwakweli hata km mtu ana mapingufu yake jiulize ukoo mzima walishindwa kumtolea hiyo hela.

tenda wema nenda zako usingoje shukrani.
shukrani ya punda ni mateke.

cheka na watu wote muzamil katunzi.
 
Hivi nani kasema 13ml zilitokana na wema? Mh jamani usilolikua ni kama usiku waa giza tukumbukr jambo moja tu huyu kajala alikuwa na mume wake ambaye mpaka leo anatumikia kufungo sasa ni mwanaume gani angesimama kusema anamtolea hiyo hela kajala ikiwa ni mke wa mtu? Basi ikatumika busara funika kombe mwanaharamu apite.
hayo umesema wewe ila sisi tunasimamia tulichokishuhudia...mtu mtashi hawezi kusimamia kwa asichokiona. Hapa ni great thinkers hvyo heresy haina mshiko
 
Kumsaidia mtu then umfanye kama housgal wako huko si kumsaidia ni kumnunua, wema angekuwa mwema angemsaidia akamuacha aende zake... Kwani b4 walikuwa mashost kiasi hicho? Kule Segerea alikuwa anaendaga kama walivyokuwa wanaenda akina P funk, B12,Lamar na Marehemu Kanumba? ..

Kwanza huo ushosti ulioanza baada ya hukumu kamwe usingedumu coz Kajala alikuwa anafanywa mtumwa no way out.
 
Oohh eti alitoa clement...sawa ila kumbuka wema alikuwa pia anatumika kwa clement. Muda wake, hisia zake, papuchi yake n.k hatusemi kajala awe mtumwa ila angalau aoneshe moyo wa shukrani kwa kuonesha walau heshima. Kuonesha unafiki kwa media wakati anamsengenya wema daily na akina wolper si ishu.

tena mdogo wa kajala alifungua na account fake instagram ya kumtukana wema. Aligundulika siku alipojisahau na kutumia hyo account kujibu post ya kajala siku ya bday yake.
 
Well, what if he is shouting or wanted to shout?

Well that would be rather uncouth wouldn't it?

Then again who is to say certain unrefined elements are remotely beyond being repugnantly uncouth?

The trouble is dude does not even acknowledge he received the free possible lesson, that way at least we would know next time we see him going all caps like a village pastor firing away a holy ghost inspired sermon for the first time on a broken keyboard, we should take that as his regular manic depressive bouts of shouting.

Some of us would have read the piece, in the spirit of fairness, and possibly embrace his viewpoint.

But the all caps /shouting is driving us away.

I just hope he does not write his professional writings the same way.
 
afu anaandika kwa kujifaragua kuwa wema na kajala n rafk zake .wema na kajala ndo super stars gan.afu wema pesa hakutoa yeye ulisahau kusema.
BUT leo nimegundua kitu kwenye siasa article zako zinanisumbua sizipendi hazvutii ila huku tee una swag

alitoa wema mwenyewe hata kama alihongwa ila zilikuwa chini ya himaya yake so uamuzi wa kumlipia nia ushujaa wake binafsi..kama walipaji walikuwepo si wangemtolea walisubiria nini??...
 
Oohh eti alitoa clement...sawa ila kumbuka wema alikuwa pia anatumika kwa clement. Muda wake, hisia zake, papuchi yake n.k hatusemi kajala awe mtumwa ila angalau aoneshe moyo wa shukrani kwa kuonesha walau heshima. Kuonesha unafiki kwa media wakati anamsengenya wema daily na akina wolper si ishu.

tena mdogo wa kajala alifungua na account fake instagram ya kumtukana wema. Aligundulika siku alipojisahau na kutumia hyo account kujibu post ya kajala siku ya bday yake.

umeona enhh mamii,watu wanamlaumu wema ila hivi dunia ya sasa hela ilivyokuwa ngumu kutoa mil 13 sio kitu rahis,kajala akumbuke fadhila za wema walikuwepo wapi wakina wolper,penny na wengne kwa nini hawakutoa hzo hela??..utu kwanza kajala.
 
Well that would be rather uncouth wouldn't it?

Then again who is to say certain unrefined elements are remotely beyond being repugnantly uncouth?

The trouble is dude does not even acknowledge he received the free possible lesson, that way at least we would know next time we see him going all caps like a village pastor firing away a holy ghost inspired sermon for the first time on a broken keyboard, we should take that as his regular manic depressive bouts of shouting.

Some of us would have read the piece, in the spirit of fairness, and possibly embrace his viewpoint.

But the all caps /shouting is driving us away.

I, too, am a stickler for etiquette (among many other things). However, I've learned to accept some folks for who they are, Le Mutuz included. So to expect certain things from such people is akin to setting yourself up for disappointment.

Now, if I saw a similar lack of etiquette from the incomparable Mzee Mwanakijiji, the venerable Rev. Kishoka or the polymath, dean of debauchery, pontiff of all pontiffs (not sure how debauchery and pontiff can be in the same sentence:smile-big🙂 the one and only Kiranga wa Mkuranga, then, that would be cause for a major concern.

But him? Not so much!

I just hope he does not write his professional writings the same way.

He pens a weekly opinion piece in one of the dailies or weeklies, if I'm not mistaken. In them, most if not all etiquette is observed.

But then again that's a bit different because I reckon that at least nothing goes to print without the editor having a look-see.
 
You are far too kind, even if it is with backhanded compliments 🙂 .

Deep down, amidst the inculcated signature Kiranga sarcasm, the harsh put down, the apparent sheer disdain, there rings an ounce of pure concern and beneficial instruction that is rooted in a tradition as old and unimpeachable as dharma.

I reckon even Aeneas, when accompanied by his little son Ascanius as his family left Troy on the night of its sacking, should not have expected the little one to pace up with equal steps.

You do have the merit in that a certain degree of adaptability is much desirable in making life bearable.

This is why I sometimes find an Aurelian resignation to petty pedantics highly advisable, to the chagrin of certain grammarians, even as I could play Kifimbocheza my very self.

But it also must be observed that there are many, even discounting our mutual village idiot, who should stand to benefit from certain basic instructions.

Lest the bizarre pass for the norm due to want of rightful outrage.
 
Oohh eti alitoa clement...sawa ila kumbuka wema alikuwa pia anatumika kwa clement. Muda wake, hisia zake, papuchi yake n.k hatusemi kajala awe mtumwa ila angalau aoneshe moyo wa shukrani kwa kuonesha walau heshima. Kuonesha unafiki kwa media wakati anamsengenya wema daily na akina wolper si ishu.

tena mdogo wa kajala alifungua na account fake instagram ya kumtukana wema. Aligundulika siku alipojisahau na kutumia hyo account kujibu post ya kajala siku ya bday yake.
Mrembo by Nature huyu Kajala hana shukrani kabisa hakutakiwa kumfanyia Wema haya.
Wema alichukua mzigo wa wazazi wake na aka ubeba hata kama hela aliongwa kama wasemavyo wengine lakini kuitoa ilikuwa ni uamuzi wake.
Tuna jua Wema nae ana madhaifu yake lakini hayafanyi kajala kusahau kila kitu na kumchukulia adui yake.
 
Last edited by a moderator:
ulikuwa kwa yule demu wa ifm eti unasolve kesi now upo kwa wema against kajala yani we jombaa nyapu zitakukili

Ukute hapigi,anashika pembe tuu. Si unajua matatizo ya kuruka stage!!
 
Back
Top Bottom