Le Mtuz this is Too Low for You

Le Mtuz this is Too Low for You

wema anapenda kunyenyekewa hamjiulizi mbona kila rafiki yake akiwa juu zaidi yake wanagombana?hata kama kamsaidia basi haina haja ya kumdhalilisha mwenzie ye kutwa na magazeti ya shigongo mbona kajala yupo kimya.
 
Utovu naima kwa ahaliyo si tamati ya nadhama kwa hadhira.

Chonjo wajila, afaka fanaka, madaha si karaha, kimelea upingamizi kimbonelea cha wizi, kukosa meno si kukata fizi.

Kiada vipawa shawishi ya shauku, afriti yamkini kukithiri hiana.
shikamoo kiranga.
I mc yuh!
 
Le baharia kanichekesha Instagram eti angeambiwa yeye ni mbaya angekosa usingizi
afadhali kaambiwa shida yake ni kitambi tu hivo atakishughulikia
ha ha ha hapa ndo sionagi umuhimu wa kigezo cha umri kwenye ndoa
unaeza kuwa na mtu mzima ila ni mzigo, tena zigo la misumari hata kulibeba huwezi....

umenchekesha sana
 
Yeah walikuwa wanasagana baada ya hapo kajala akaona isiwe shida afterall hizo milion 13 anazilipa daily wema hana ubavu wa kutoa 13 milion mfukoni ukitegemea ile movie yake wahindi waliikataa kutokana na dau kubwa

kama ndo hvo ana haki nashangaa watu wanamlaumu bila kuhangalia pande zote yani mwanamke mwenzako aku tomasa ningekuwa mimi pangechimbika hata kama angenitolea 20 milion
 
huyo tayari halafu nimrweka na hawa.

kahtaan Ritz
User Name
Ignore List
To remove a user from your ignore list, un-check
the box associated with their name and click the
'Save Changes' button.
To add a user to the list, enter their name into
the empty text box and click 'Oka

ni halali yako kumuadd Ritz kwenye ignore list yako,maana kile kipondo alichokuchapa ni cha karne siku izi ata adabu umeijua....umebaki kujikomba kwa Kiranga na W. J. Malecela na usipoangalia mwaka huu le mutuz atakupa mkasi maana inaonekana umemzimikia kichizi baba lile.
 
Last edited by a moderator:
ni halali yako kumuadd Ritz kwenye ignore list yako,maana kile kipondo alichokuchapa ni cha karne siku izi ata adabu umeijua....umebaki kujikomba kwa Kiranga na W. J. Malecela na usipoangalia mwaka huu le mutuz atakupa mkasi maana inaonekana umemzimikia kichizi baba lile.

katafute bwana mbele mimi si mfira.ji, kwanza jifunze kuchamba ndio ushobokee wanaume.
 
Last edited by a moderator:
Unaweza kuruka tu, si lazima kusoma kila post yangu.

Unaruhusiwa pia kuniweka kwenye ignore list usione chochote nitakachoandika.

Lakini usijaribu kunifinyia uhuru wangu wa kujinafasi hapa JF.


kahtaan said: Today 00:01
This message is hidden because
kahtaan is on your ignore list.
 
sasa wewe umebong'oa halafu unakata mauno unatupa ishara gani?

Umeamua kujisema tabia zako ukiona wanaume...aya endelea kuwakatia nyonga vidume,sema le mutuz mzee muhuni awezi kukuacha lazma akutafune mboga iyo.
 
matumbo Matola

Tafadhalini nawasihi turudishe majeshi na kuipa suluhu nafasi kati ya hii kadamnasi kama mtaona hili linafaa ndani ya mioyo yenu.

Ni ombi tu.
 
Last edited by a moderator:
matumbo Matola

Tafadhalini nawasihi turudishe majeshi na kuipa suluhu nafasi kati ya hii kadamnasi kama mtaona hili linafaa ndani ya mioyo yenu.

Ni ombi tu.

point noted, bado nina space kubwa ya ignore list kuadd more useless members.

Hii ndio permanent solution.
 
Last edited by a moderator:
hehehehe, shosti vipi? sijasoma hii thread ila hili chaka la michongoma naomba usilishupalie. bora ujisogeze kwa Paw tubanane, tena ana hela kama za tanzanite vile. wahiiiii achana na proof za kadi za kliniki. alizaliwa enzi za mjarumani hamna kadi wala kliniki, mama anakandwa tu na maji ya moto anashushia tangawizi kitu na boksi, lol🙂🙂🙂
Kadi lakela kliniki mnalooo? People talk a lot of stuffs but it doesnt mean they are true! Dadayake mwenyewe Dr. Mwele inawezekana hana hio 50!
 
Last edited by a moderator:
what is all this about? kwani si kajala aliji-tattoo jina sijui picha ya wema? lara 1, updates plz
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom