- hahahahahaha wamekupa ukiranja wa kuwaamulia watu hapa JF what to do? duh hahahahahahahaha
le Mutuz
Lini utarudi majuu u know ths time umekaa sana Tz ukaongezee the gademu ur fourth degree....hahahahahaha afu umeniblock kule inst fanya kuniblokuwa bs nimemic kuwaona mbebezzzzzz tofouttofaut in ur page Le akili Kubwazzzz u know...u love it hahahahahaha- Huwa siongelei watoto wangu kwenye Social Media never, so umekosea on that hahahahahahaha
le Mutuz
Ukiranja wa JF unisaidie nini mie Samaritan ambae hata sio mtu wa social media? Point yangu ilikua watu watakusingizia na kusema mengi juu yako yakiwemo ya ukweli na uongo, ndio maana nikashauri mengine unapotezea tu unaendelea na mipango yako...that was my point.
- Miaka 20 kwenye Social Media with my own Social Media Company kweli una cha kunishauri boss? Now aliyekupa nafasi ya kushauri watu humu JF ni nani mkuu? I mean nimekuambia this is a Social Media it is my music wewe hapa hata ucheze vipi huwezi kunishinda ila utaishia kunisaidia tu cause I live for this game, next time jishauri mwenyewe wachana na watu kama usiowajua ok na ambao hawajakuomba ushauri hahahahahah U know
le Mutuz
Lini utarudi majuu u know ths time umekaa sana Tz ukaongezee the gademu ur fourth degree....hahahahahaha afu umeniblock kule inst fanya kuniblokuwa bs nimemic kuwaona mbebezzzzzz tofouttofaut in ur page Le akili Kubwazzzz u know...u love it hahahahahaha
- HAHAHAHA unajua uongo ukirudiwa sana bila kujibiwa unaweza kugeuka kuwa ukweli naomba nikjibu point zako kimsingi na very breifly:-
1. Mimi ni THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETWORK so I make my bread kwa kazi zangu katika Mitandao ya kijamii so sehemu ninaenda kikazi zaidi ndio maana ninapiga picha na kurusha kwenye Social Media pamoja na maelezo, kwa mfano nilipokuwa Lagos majuzi nilikuwa nimepelekwa kikazi na DSTV kuripoti Awards ambazo Lulu na Richie kutoka Tanzania walifanikiwa kupata zawadi hizo, katika siku tatu za kuripoti back I was able to reach viewers 19 Millioni which was a record, otherwise sijawahi kupiga picha na kuzibandika zisizokuwa na mlengo wa my business yaani Social Media.
2. Umri wangu naona mpaka leo unawatesa infact unamtesa hata my ex wife kila wakati anasema umri tofauti, naona wewe leo umeamua ku settle na 54, mara ya mwisho nilikuwa na umri kama wa Pinda hahahaha so nimeshazoea kila siku umri wangu unageuzwa geuzwa ni dalili za mnaonichukia kukosa hoja za msingi za kunichukia hahaha ninakuwa kama Trump yaani the more mnarusha your hate mnazidi kunipaisha juu zaidi hahahahaha and I love it!!
3. Super Bilionea Davis Mosha ni my Business Patner, sikujua kwamba kwenye kutafuta pesa kuna umri ukifikia hutakiwi kutafuta zaidi maana namjua Mzee Mengi toka nikiwa mtoto anatafuta pesa mpaka leo anaendelea kutafuta pesa, kumbe wewe ndiye unayeamua wabongo wakifikia umri kama wangu hawatakiwi kutafuta pesa tena au wakitafuta hawatakiwi kushirikiana na kina Diamond Platznumz maana ni wadogo kwa umri? hahahahahaha sijawahi kusikia this kind of theory isipokuwa utakuwa ni mburulazzz namba moja pole sana!!
4. Kuhusu maisha yangu ni kwamba ninaishi Jamhuri Street downtown ambapo nina 3bedrooms Apartment kwenye Jengo jipya la Palace na ninaishi hapa for the last 3 years, sasa nashangaa habari za kuishi kwa Wazazi zinatokea wapi? hahahaha na besides bado nina Shamba la eka tano na Nyumba kubwa ya vyumba vinne kule Kinyerezi niliyoijenga nikiwa Majuu, na pia hapa mjini ninamiliki kampuni yangu ya Social Media ninatoa ajira kwa Vijana 4 waliomaliza Vyuo Vikuu hapa nyumbani ninategemea kuipanua kampuni yangu by mwisho wa MWaka nitoe angalau ajira 10 zaidi kwenye kampuni yangu, so relax ok!!
- Kwa kumaliza ni kwamba in two days naruka kwenda Nairobi kwa mualiko wa kikazi wa Citizen TV ya Kenya ambayo mimi na Davis Mosha tunatarajiwa kuanza kufanya nao kazi once tukifungua our African Swahili Media Radio & TV by mwisho wa mwezi huu, nikurudi again nitaruka tena kwenda Joe'burg/South Africa again kwa mualiko wa kikazi wa Kampuni ya Pombe kali Glenfiddich Inc., na nikirudi nitaruka tena kwenda Dubai kwa jili ya Official Launch ya Clouds Media Cable Channel. Now hebu think again huyo unayemuongelea ni mimi kweli au somebody else? hahahahaha
- Ni kweli jana nilikwenda Rumande kuwaona Marafiki wangu like Mzee Kitilya na sioi na wengineo, in the process nikakutana na watu wengi sana ninaowafahamu pia nilifuatana na My business Patner Davis Mosha, we were able kutoa misaada mingi kwa watu mbali mbali tunaowafahamu ambao tulikutana nao huko Rumande, sidhani kama kwenda kumtembelea rafiki rumande ni tatizo.
- BY THE WAY KESHO NITAKUWA TIMES FM KUANZIA SAA KUMI NA MBILI ASUBUHI SO STAY TUNED MPAKA SAA TATU, KUONGELEA EVERYTHING SO SIKILIZA U KNOW
le Mutuz
Noted Sir, The King of all Social Media!
Mkuu mimi binafsi nimeipenda hiyo namba 4.Watanzania wengi wana business lakini wanakuwa wagumu kuisaidia serikali na pia hususani tatizo Zima la ajira . Vijana wengi hawana ajira na ni graduate. Nimefuatilia huu uzi kwa makini pamoja na kwamba nimeona wapo watu wengine wanakubeza lakini,mimi sikufahamu nadhani wala wewe hunifahamu,wasije wakasema unanilipa ili nikufagilie lakini mimi nasema ukweli kilichopo moyoni. "Msema kweli ni mpenz wa Mungu" by Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania-Dr.JPM. Kaka u did the job men.big up sana kwa kuajiri graduate wanne na Mungu akubariki na akufanikishe mipango yako ili objective yako ya kuajiri graduates 10 watanzania iwe successfully.
Jamani watanzania tusimbeze huyu mjasiriamali mwenzetu,nadhani badala yake tumtie moyo azidi ku grow,remember "WHAT IS POISON TO YOU,IS MEDICINE TO THE OTHER PERSON"
Kikurajembe Original
The gademu Baba Swalehe,,,kwenye ubora wake
Lini hit song yako inatoka ya kumjibu NikiwaII? Hahahahahaha u know sina kaz na nimegraduet kwenye hizo safar zako fanya twende wote
Safar njema Le akili kubwazzzz wape hi warembo wote huko utakaopiga nao picha hahahahahaha u know u live ur gademu f...u.ck life Lembururaaaazzzz- Well, time is running so nawahi home kufunga vitu vya safari niwahi Airport ndege ya leo usiku U know, so guys thank U but will catch up nikirudi kabla ya kwenda South Africa nitapitia tena hapa U know SALUTE WATU WOTE!! NA SEE YAH SOON!!
le Mutuz
Acha naye huwezi lemutuz wewe ile number nyingine,jamaa huko very humble ukimwona live Ila ukipambana naye like this utachemka mkuu!,jamaa ana make money for this so it better you take you time kuliko kushindana naye Mimi huwa nasoma tu comment zake zinanichekesha sana!! OverYale yale uzee ukizidi unakuwa kama mtoto btw kuna stage flan ya maisha hakuipitia ngoja afanye uzeeni maana alikuwa mpishi wa mabaharia
Poa baba swaleheee umesomeka- ni THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETWORK kesho nitakuwa Nairobi kikazi so relax utaoata habari kamili U know!! si unajua ni Big Celebrity
le Mutuz
Shose bado ana tabasamu lile alokua nalo mahakamani?- hahahahahahahaha umri sawa na wa Pinda U know hahahahahaha
le Mutuz
Mzee Funza umeuaaaaa hahaaaaaKubwa jinga Le Mutuz hata likienda chooni kujisaidia hujipiga picha , linapenda picha kupita kiasi , miaka 54 bado linakaa Kwa wazazi huku likiendekeza Upambe Kwa Vijana ambao ni wadogo kwake kiumri , mfano Huyo Devis Mosha ni Mdogo kwake lakini akipata nafasi ya kukutana nae lazima aanike picha !
Ni wakati Le Mutuz ufanye mazoezi kupunguza mafuta mwilini Akili zikuludie maana mafuta yamezidi hadi Ubongo wote unaelea juu ya mafuta .
Amabacho huelewi ni kuwa watu tunakuja kuangalia uzi wako kama vile wanakijiji ambavyo huwa wanaenda kuangalia 'kakakuona' akionekana mahali maana ni kitu adimu, cha kushangaza, so hukifuata wakitegemea maajabu, kulingana na uzee wako na unayoyafanya huna tofauti na kakakuona wa mjini ndio maana kila unachofanya na kujibu ni maajabu kwa watu wengi- Majuu I am done nilienda kutafuta Elimu na maarifa sasa nayatumia hapa bongo kwa faida yangu, na hii hapa JF ni mojawapo ya my music ukiwa na akili nyingi kama mimi wajinga huwa wanakurupuka kukushambulia lakini unawatumia kwa manufaa yako as I do here, tizama hii thread imeshapitiwa na viewers 11,000 tayari ndio maana ya kuwachezesha watu wimbo wako!! ndio maana Wazungu wakiambiwa kurudi kwao wanalia machozi maana wabongo bado sana kazi majungu tu
le Mutuz
Kubwa jinga Le Mutuz hata likienda chooni kujisaidia hujipiga picha , linapenda picha kupita kiasi , miaka 54 bado linakaa Kwa wazazi huku likiendekeza Upambe Kwa Vijana ambao ni wadogo kwake kiumri , mfano Huyo Devis Mosha ni Mdogo kwake lakini akipata
nafasi ya kukutana nae lazima aanike picha !
Ni wakati Le Mutuz ufanye mazoezi kupunguza mafuta mwilini Akili zikuludie maana mafuta yamezidi hadi Ubongo wote unaelea juu ya mafuta .