Le Mutuz aenda kumsalimia Shose Sinare gerezani

Le Mutuz aenda kumsalimia Shose Sinare gerezani

Status
Not open for further replies.
Mtoto wa kufikia wa mkuu wa mkoa William Malechela alienda kumsalimia mtuhumiwa wa wizi wa fedha za umma na kumkuta akiwa na hali mbaya ameomba watu waende kuwajulia hali. Bwana William aliambatana na mfanyabiashara maarufu bwana Mosha. Pia alipita kusalimia watuhumiwa wengine walioko mahabusu kwa makosa mbali mbali, hongera kaka kwa moyo wa Upendo. siku ingine tujulishe tuambatane manake huko panatisha unaweza ingia ukang'ang'aniwa.

Hakwenda kuona wafungwa alienda kuona marafiki zake " yafaa nini kuwasaidia walio nacho maana hata wezi huwajali wezi wenzao" ningemuelewa kama angefanya ziara ya hiari
 
Like a big bear........hibernating from real life

RELAXING+HOME+1+007.JPG
hii ndio apartment ya Jamuhuri St..mbona viti vimechoka mbaya..vichafu
 
Kazi kubwa ya lemutuz ni ukuwadi tu na ndiyo inamuweka twn
 




- hahahahahahaha sure ni afadhali kuwa kubwa jinga kuliko kuwa kama wewe dogo jinga, eti ofisi yako ipo wapi hapa mijini maana yangu hii hapa ipo hapa Sokoine Drive at Tancot House hahahaaha dogo jinga jina la bandia picha ya bandia ndio maana ya dogo jinga le mburulazzz hahahahahaha U know

le Mutuz


Si unaona jinsi unavyo jidhalilisha? Nikuonyeshe ofisi yangu ili iweje, unataka uniletee machangu niwashike mkono? Mimi siyo kuwadi and don't need them changuz kuniweka mjini. Dude, you need to grow the fu.ck up. You are almost 60 years old and still act childish, what are your mother fucking priorities in life at 60 years old?
 
Watu ambao hawan hasira hamtawaweza na ndio watu ambao wanafanikiwa easily.. Naona watu walikuwa wanamrushia le mutuz madongo ila kaja kayajibu yote livee!!! Ha ha le mutuz naona watu wamebadilika wamekuwa wafuasi wake sasa ..
 
Hilo jitu hata ccm wenyewe hawalitaki tena kwenye vikao vyao maana wanajua halikawii kutupia picha hata Kama watakubaliana ni kikao cha Siri
hivi lina cheo gani ccm?
 
Siku lemutuz akijibu kuhusu umri wake wa ukweli basi Magufuli atamteua Lowassa kuwa waziri mkuu hahahaa kikongwe mdananda.


- Hii ni leo hahahahaha jipime bibi kizee nani unafanana naye hapo? hahahahaha batazzz batannn hapo ni ofisini kwangu few minutes ago, ona mtoto dogo dogo Lawyer sio Secretary hahahahahaha Miaka 51 watoto 2 Divorced na huzai tena nani anakuoa? hahahaha utaendelea kuliwa vihela vyako mbuzi tu na Serengeti wa bongo hahahahahah

le Mutuz
 
Mind your grammer- Relaxing IN my home , you are inside your home! Hahaha


- Ohhhh hahahaha nilidhani unaleta picha ya home kwako tulinganishe na kwangu kumbe yamekuwa hayo tena? hahahahahahahah hapo ni the Living room ninapoishi sasa hivi vipi na wewe utaleta picha au unaishi Chumba kimoja Koma Koma? hahahahaha

le Mutuz
 
Nyumba aliyoijenga kinyerezi toka akiwa majuu aijaisha mpaka leo. Sasa ni gofu tu, makazi ya wacheza kamari

- Ile nyumba ni yangu ulitaka kuibadili jina ukashindwa nimekuja mwenyewe kwenye kutafuta hati yake nikakuta madudu yako, hati ninayo ni yangu siihitaji tena nimeanza kujenga upya ikiisha utaiona na utajua ni wapi, ile nyumba Kineyerezi ni yangu haikuhusu okay! hahahahahahaha nyumba ni yangu na nimeamua siitaki hahahahahahah

le Mutuz
 
Kubwa jinga Le Mutuz hata likienda chooni kujisaidia hujipiga picha , linapenda picha kupita kiasi , miaka 54 bado linakaa Kwa wazazi huku likiendekeza Upambe Kwa Vijana ambao ni wadogo kwake kiumri , mfano Huyo Devis Mosha ni Mdogo kwake lakini akipata nafasi ya kukutana nae lazima aanike picha !

Ni wakati Le Mutuz ufanye mazoezi kupunguza mafuta mwilini Akili zikuludie maana mafuta yamezidi hadi Ubongo wote unaelea juu ya mafuta .
Haaaaa haaaa haaaa u made my day
 
Haaaaa haaaa haaaa u made my day

- So far page 6 Viewers 10,000 ndio maana ya Big Celebrity yaani Super Star I love it unajua hakuna bad Publicity na Social Media is my Business so no matter what you guys are just dancing to my tunes hahahahahahahaha

le Mutuz
 
- So far page 6 Viewers 10,000 ndio maana ya Big Celebrity yaani Super Star I love it unajua hakuna bad Publicity na Social Media is my Business so no matter what you guys are just dancing to my tunes hahahahahahahaha

le Mutuz
Yeah bro make em money , Big super star if you were in state you could have been driving Lamborgin but with Noah life is good and a lot of followers what mo do you need bro , keep hustling bro
 
Yeah bro make em money , Big super star if you were in state you could have been driving Lamborgin but with Noah life is good and a lot of followers what mo do you need bro , keep hustling bro

- Kesho Nairobi, nikirudi South Africa and then Dubai kufanya kazi za Social Media U know, ninapoendesha my SUPER NOAH nawaona wananchi kibao wasiokuwa na magari ninataka kuamini unalo hahahaha maana wakiitwa wenye magari ninaenda kama huna sijui itakuwaje hahahahahahahaha

le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom