Le Mutuz aenda kumsalimia Shose Sinare gerezani

Le Mutuz aenda kumsalimia Shose Sinare gerezani

Status
Not open for further replies.
teh teh teh teh hapa nimecheka saaana mtoto wa kufikia wa mkuuu wa mkoa daaah ! umeniacha hoi ww ni mbunifu saana kumbe Le MUtu Z.!
 
Wewe huna kampuni wala nini na huna cha busness patner na Devis Mosha bali unajipendekeza kwake upambe tu wala si zaidi , hizo Safari zitakuwa za kulazimisha au kuomba omba tu ili akuone una network mjini , huna nyumba wala nini hizo ni fix bado unakaa Kwa wazazi ushahidi upo .

- Utakuwa unajisema mwenyewe na wala sio healthy kubishana na mjinga kama wewe, jifunze kuwa mkweli tumia jina lako la kweli na picha yako kama mimi then utaaminika ok, hahahahahahahahaha

le Mutuz
 
Like a big bear........hibernating from real life

RELAXING+HOME+1+007.JPG

- Inaitwa relaxations ukichoka na kazi unapumzika hahahahahahahahhhaha Relaxing

le Mutuz
 
Ndoo ya nini...ameweka maji ya kuogea kwa siku hiyo?
Inatia huruma lakini
 
Wewe huna kampuni wala nini na huna cha busness patner na Devis Mosha bali unajipendekeza kwake upambe tu wala si zaidi , hizo Safari zitakuwa za kulazimisha au kuomba omba tu ili akuone una network mjini , huna nyumba wala nini hizo ni fix bado unakaa Kwa wazazi ushahidi upo .

- Hapa ni ofisini kwangu na nitakuletea sasa hivi picha nikiwa home kwangu, pole sana kama huna ofisi hapa mjini sio wote hatuna ni wewe tu hahahahaha, nipo ofisini now at Tancot House, Sokoine Drive Number 12, gorofa ya pili downtown posta mpya, now weka ofisi yako tuone mkuu hahahahah

le Mutuz
 
Wewe Kubwa jinga tu Sasa Kama Ulikuwa na nia ya kuwajulia hali Kwa nini hukwenda kimya kimya? Unajitangaza ili iweje ?

- Relaxations at my home Jamhuri Street downtown Dar hahahahaha, haya weka kwako tuone kama kweli una maisha mkuu maana hakuna binadam mwenye maisha anaweza kuhangaika na watu asiowajua lazima atakuwa ni mburulazzz with no life hahahahahahahahah U know

Ma nigga for real!
 
Kweli sasa naamini kwa nini watu wanamwita huyu jamaa kubwa jinga.

- hahahahahahaha sure ni afadhali kuwa kubwa jinga kuliko kuwa kama wewe dogo jinga, eti ofisi yako ipo wapi hapa mijini maana yangu hii hapa ipo hapa Sokoine Drive at Tancot House hahahaaha dogo jinga jina la bandia picha ya bandia ndio maana ya dogo jinga le mburulazzz hahahahahaha U know

le Mutuz
 
ukianzisha shombo na huyu jamaa unaweza kujiona choo akyamungu.yaaan unaweza kutoa kashfa alafu jamaa akakujibu simple kweli !!!aiseee kweli utu uzima dawa!
 
- Relaxations at my home Jamhuri Street downtown Dar hahahahaha, haya weka kwako tuone kama kweli una maisha mkuu maana hakuna binadam mwenye maisha anaweza kuhangaika na watu asiowajua lazima atakuwa ni mburulazzz with no life hahahahahahahahah U know

le Mutuz
Mind your grammer- Relaxing IN my home , you are inside your home! Hahaha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom