Le Mutuz aenda kumsalimia Shose Sinare gerezani

Le Mutuz aenda kumsalimia Shose Sinare gerezani

Status
Not open for further replies.
DSC_0274.JPG
Jela isikie kwa mwenzio,we isikie hivyo hivyo.
 
- HAHAHAHA unajua uongo ukirudiwa sana bila kujibiwa unaweza kugeuka kuwa ukweli naomba nikjibu point zako kimsingi na very breifly:-

1. Mimi ni THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETWORK so I make my bread kwa kazi zangu katika Mitandao ya kijamii so sehemu ninaenda kikazi zaidi ndio maana ninapiga picha na kurusha kwenye Social Media pamoja na maelezo, kwa mfano nilipokuwa Lagos majuzi nilikuwa nimepelekwa kikazi na DSTV kuripoti Awards ambazo Lulu na Richie kutoka Tanzania walifanikiwa kupata zawadi hizo, katika siku tatu za kuripoti back I was able to reach viewers 19 Millioni which was a record, otherwise sijawahi kupiga picha na kuzibandika zisizokuwa na mlengo wa my business yaani Social Media.

2. Umri wangu naona mpaka leo unawatesa infact unamtesa hata my ex wife kila wakati anasema umri tofauti, naona wewe leo umeamua ku settle na 54, mara ya mwisho nilikuwa na umri kama wa Pinda hahahaha so nimeshazoea kila siku umri wangu unageuzwa geuzwa ni dalili za mnaonichukia kukosa hoja za msingi za kunichukia hahaha ninakuwa kama Trump yaani the more mnarusha your hate mnazidi kunipaisha juu zaidi hahahahaha and I love it!!

3. Super Bilionea Davis Mosha ni my Business Patner, sikujua kwamba kwenye kutafuta pesa kuna umri ukifikia hutakiwi kutafuta zaidi maana namjua Mzee Mengi toka nikiwa mtoto anatafuta pesa mpaka leo anaendelea kutafuta pesa, kumbe wewe ndiye unayeamua wabongo wakifikia umri kama wangu hawatakiwi kutafuta pesa tena au wakitafuta hawatakiwi kushirikiana na kina Diamond Platznumz maana ni wadogo kwa umri? hahahahahaha sijawahi kusikia this kind of theory isipokuwa utakuwa ni mburulazzz namba moja pole sana!!

4. Kuhusu maisha yangu ni kwamba ninaishi Jamhuri Street downtown ambapo nina 3bedrooms Apartment kwenye Jengo jipya la Palace na ninaishi hapa for the last 3 years, sasa nashangaa habari za kuishi kwa Wazazi zinatokea wapi? hahahaha na besides bado nina Shamba la eka tano na Nyumba kubwa ya vyumba vinne kule Kinyerezi niliyoijenga nikiwa Majuu, na pia hapa mjini ninamiliki kampuni yangu ya Social Media ninatoa ajira kwa Vijana 4 waliomaliza Vyuo Vikuu hapa nyumbani ninategemea kuipanua kampuni yangu by mwisho wa MWaka nitoe angalau ajira 10 zaidi kwenye kampuni yangu, so relax ok!!

- Kwa kumaliza ni kwamba in two days naruka kwenda Nairobi kwa mualiko wa kikazi wa Citizen TV ya Kenya ambayo mimi na Davis Mosha tunatarajiwa kuanza kufanya nao kazi once tukifungua our African Swahili Media Radio & TV by mwisho wa mwezi huu, nikurudi again nitaruka tena kwenda Joe'burg/South Africa again kwa mualiko wa kikazi wa Kampuni ya Pombe kali Glenfiddich Inc., na nikirudi nitaruka tena kwenda Dubai kwa jili ya Official Launch ya Clouds Media Cable Channel. Now hebu think again huyo unayemuongelea ni mimi kweli au somebody else? hahahahaha

- Ni kweli jana nilikwenda Rumande kuwaona Marafiki wangu like Mzee Kitilya na sioi na wengineo, in the process nikakutana na watu wengi sana ninaowafahamu pia nilifuatana na My business Patner Davis Mosha, we were able kutoa misaada mingi kwa watu mbali mbali tunaowafahamu ambao tulikutana nao huko Rumande, sidhani kama kwenda kumtembelea rafiki rumande ni tatizo.

- BY THE WAY KESHO NITAKUWA TIMES FM KUANZIA SAA KUMI NA MBILI ASUBUHI SO STAY TUNED MPAKA SAA TATU, KUONGELEA EVERYTHING SO SIKILIZA U KNOW

le Mutuz
You're humbled you know ha ha haaaaa.
 
Hili bufoon ni la kuonewa huruma tu yani yeye mwenyewe anajiona mjanja na umri wake over 55 yrs ana act kama teenager kumbe watu wanamshangaa kama wanavyoenda kushangaa sokwe kwenye zoo,yeye ndie mtoto mkubwa kushinda wote wa malecela,imagine ndugu yake Doctor Mwele ana miaka 50 na mdogo wake mwengine pia sichela ana over 50yrs sasa huyu babu yeye anakataa umri wake si ujonga na utaahira huo,angalia picha hapo chini anajitahidi kivaa kama mtoto yani anashindana hadi na style ya mwanae wa kiume mwenye miaka 18 haha nadhani pia anamuonea kwanini mtoto wake mdogo kushinda yeye haha.
CYMERA_20160409_193917.jpg
CYMERA_20160409_193917.jpg
 
Napenda Me Mutuz mpaka naumwaa jamaa yupoo Smart saaana hayaa Wanafikiii madongooo yenuu.hayoo haoo..You know the Le Tamkos!!!
 
Le mtumboz
Hilo likaptula,raba na mshati kauka nivaee(ushatonyesha picha nyingi umelivaa)
zinakufanya uonekane. soooo
RIDICULOUS
 
Hili bufoon ni la kuonewa huruma tu yani yeye mwenyewe anajiona mjanja na umri wake over 55 yrs ana act kama teenager kumbe watu wanamshangaa kama wanavyoenda kushangaa sokwe kwenye zoo,yeye ndie mtoto mkubwa kushinda wote wa malecela,imagine ndugu yake Doctor Mwele ana miaka 50 na mdogo wake mwengine pia sichela ana over 50yrs sasa huyu babu yeye anakataa umri wake si ujonga na utaahira huo,angalia picha hapo chini anajitahidi kivaa kama mtoto yani anashindana hadi na style ya mwanae wa kiume mwenye miaka 18 haha nadhani pia anamuonea kwanini mtoto wake mdogo kushinda yeye haha.View attachment 336097 View attachment 336097

- HAHAHAHAH hahahah hiyo picha nilikuwa Nairobi nimerudi jana jioni na Jumapili naruka tena to South Africa kikazi zaidi, wewe endelea kunifuatilia maisha yangu mpaka utakoma mimi naendelea na my life wala sina habari na maisha yako, ulikataa ndoa mwenyewe kwa ujinga wako wa kudanganywa na marafiki vipofu kama wewe, sasa unalia lia nini huku JF hahahaha sasa unadhani utapata mwanaume huku JF? hahahahaha

- Tizama Mwanamke miaka 52, watoto 2, kizazi huni tena ulitoa nani anakuoa kwenye hii Dunia? hahahahahaha pole sana ngoja nakuletea sasa hivi picha yngu jana na mchumba wangu ujipime kaaa hapo hapo nakuletea sasa hivi hahahahahaha

le BUFOOON SUPER MUTUZ HAHAHAHAHAHAHAHAHAHA!!
 
Napenda Me Mutuz mpaka naumwaa jamaa yupoo Smart saaana hayaa Wanafikiii madongooo yenuu.hayoo haoo..You know the Le Tamkos!!!

- HAHAHA hahahahahahah salute U know tupo pamoja, bi kizee alidhani maisha yangu yatasimama sasa anashangaa yanaendelea analia lia huku hahahahahahahahaha anaisoma namba U know hahahahaha

le Mutuz
 
Haha
- HAHAHAHAH hahahah hiyo picha nilikuwa Nairobi nimerudi jana jioni na Jumapili naruka tena to South Africa kikazi zaidi, wewe endelea kunifuatilia maisha yangu mpaka utakoma mimi naendelea na my life wala sina habari na maisha yako, ulikataa ndoa mwenyewe kwa ujinga wako wa kudanganywa na marafiki vipofu kama wewe, sasa unalia lia nini huku JF hahahaha sasa unadhani utapata mwanaume huku JF? hahahahaha

- Tizama Mwanamke miaka 52, watoto 2, kizazi huni tena ulitoa nani anakuoa kwenye hii Dunia? hahahahahaha pole sana ngoja nakuletea sasa hivi picha yngu jana na mchumba wangu ujipime kaaa hapo hapo nakuletea sasa hivi hahahahahaha

le BUFOOON SUPER MUTUZ HAHAHAHAHAHAHAHAHAHA!!
Hahaha the big empty headed bufoon nilijua tu lazima kiherehere chako kitakufanya ujibu tu umpe mipasho xwife kwa kutumia jina lana langu haha seriously u old wrinkly empty head big creature when r u gonna grow up,58yrs still acting like a teeneger man or maybe ur mind still stuck in ur adolecence yrs haha pole babu gojo our own walking zoo.
 
- Last night at Escape One with my fiancee Super Model Nasra, umeona bi kizeee hahahahaa jipime hapo wapi unafit hahahahaha, halafu hizi chini ilikuwa batazzz za Nairobi na wabebezzz U know hahahahahah WAFWAZZZ Wallahi hahahaha

- Downtown Nairobi, hapo nilienda kuwaona Orch. Mangelepa na my Kenyan Baby Super Khadija at Club Bistro

- hahahahaha huyu my another Kenyan Baby Super Nicole hizo zote batazzz za Nairobi, hahahaha eti kwa nini unajihangaisha kuweka picha na mtoto badala ya yule mume wa Mariam Komanya le Mariooo hahahahaha, nilikwambia utaisoma namba maishaa yako yote yaliyobaki Waswahili wanasema "MKATAA PEMA PABAYA PANAMUITA" hahahahaha, now look Mama Bi kizee Miaka 52, watoto 2, huna kikazi ulitoa now niambie nani anakuoa? hahahahahaha

- Mimi huniwezi nilikuleta Marekani na nikakuachia na huku ninaendelea na maisha kwa sababu nilikuwa na akili ya kwenda USA wewe ukiwa huna, nikakupeleka huko mpaka na ndugu zako hizi ndio shukurani zako za punda za kunitukana kwenye mitandao ya kijamii, lakini umepiga mwaba maana wewe sio MUNGU kama ulivyodhani hahahaha ulikuwa na makosa ndio maana Mungu anakuadhibu sasa maana Mama kizee kama wewe kuhangaika kwenye JF kumlilia Mwanaume uliymkataa mwenyewe kwa ujinga wako inasikitisha sana,

- hahahahahaha haya kwanza umesema nina miaka 55, halafu sasa nina miaka 58 hahahahaha ni dalili za kuchanganyikiwa hizo hahahahahah wewe mwaka jana ulikuwa na miaka 51, sasa una miaka 52 unaolewa na nani hapa duniani? hahahahahaha utaendelea kunisoma na kunifuatilia kwenye mitandao Jumapili naruka tena South Africa, nikirudi Dubai tena hahahahahaha utakuwa na kihoro mwanamke mburulazzzz

- Lako linatakiwa kuwa fundisho kwa Wanawake wote wajinga kama wewe kwamba usicheze na ndoa cause utaishia kujichezea mwenyewe hahahaha, narudia tena wewe ni NEEMA NGWILULUPI nashangaa unahangaika kujifanya sio wadanganye wengine humu ila sio mimi hahahaha pole sana ila my life goes on si unaona mwenyewe hahahahahaha

LE BUFFOOOON hahahahahah LE MUTUZ NATION THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETWORK!!
 
@W.J.Malecela wewe na mke wako wote ni immature

- HAHAHAHAH sawa sawa wewe ni matured kwa kutukana watu na majina ya bandia na picha ya bandia kwa kweli wewe ni matured sana hahahahahahaha,

- I am man ukinichokoza nitakujibu tu ila siwezi kukucha uidanganye dunia na uzushi hapana, hahahahahaha enjoy it boss, UNGEKUWA MATURED UNGEMWAMBIA ALIPOANZA TU, ILA UMESUBIRI ANAPIUGWA VIBOKO NDIO UNALIA LIA MATURITY HAHAHAHAA HUKUONA ALIPOANZA HAHAHAHA

le BUFFOOON aka LE MUTUZ NATION
 
sihitaji kuona mlipoanza

wewe na mzazi mwenzio mnapaswa kuheshimiana at least kwa manufaa ya mtoto wenu

Hasa kwa mwanaume unatakiwa kuwa na Limits....Sio lazima ukiwa Provoked na mwanamke na wewe ufanye hivyo hivyo ama alivyofanya yeye....

Mwanaume unapaswa kuwa na hekima,busara na mwono wa mbali...zaidi unapaswa kuwa Kiongozi

sioni busara yoyote katika wewe kumwanika mzazi mwenzio kiasi hicho...pia na yeye kukuanika kiasi hicho....Ndio maana nasema hiyo ni "Imaturity"

Willy...Mimi siwezi kushindana na wewe katika kupamba maneno kwenye social media...I know you are very good at it....Najaribu tu kutoa maoni yangu kwako wewe kama baba na kama mwanaume mwenzangu

Thanks
 
- Last night at Escape One with my fiancee Super Model Nasra, umeona bi kizeee hahahahaa jipime hapo wapi unafit hahahahaha, halafu hizi chini ilikuwa batazzz za Nairobi na wabebezzz U know hahahahahah WAFWAZZZ Wallahi hahahaha

- Downtown Nairobi, hapo nilienda kuwaona Orch. Mangelepa na my Kenyan Baby Super Khadija at Club Bistro

- hahahahaha huyu my another Kenyan Baby Super Nicole hizo zote batazzz za Nairobi, hahahaha eti kwa nini unajihangaisha kuweka picha na mtoto badala ya yule mume wa Mariam Komanya le Mariooo hahahahaha, nilikwambia utaisoma namba maishaa yako yote yaliyobaki Waswahili wanasema "MKATAA PEMA PABAYA PANAMUITA" hahahahaha, now look Mama Bi kizee Miaka 52, watoto 2, huna kikazi ulitoa now niambie nani anakuoa? hahahahahaha

- Mimi huniwezi nilikuleta Marekani na nikakuachia na huku ninaendelea na maisha kwa sababu nilikuwa na akili ya kwenda USA wewe ukiwa huna, nikakupeleka huko mpaka na ndugu zako hizi ndio shukurani zako za punda za kunitukana kwenye mitandao ya kijamii, lakini umepiga mwaba maana wewe sio MUNGU kama ulivyodhani hahahaha ulikuwa na makosa ndio maana Mungu anakuadhibu sasa maana Mama kizee kama wewe kuhangaika kwenye JF kumlilia Mwanaume uliymkataa mwenyewe kwa ujinga wako inasikitisha sana,

- hahahahahaha haya kwanza umesema nina miaka 55, halafu sasa nina miaka 58 hahahahaha ni dalili za kuchanganyikiwa hizo hahahahahah wewe mwaka jana ulikuwa na miaka 51, sasa una miaka 52 unaolewa na nani hapa duniani? hahahahahaha utaendelea kunisoma na kunifuatilia kwenye mitandao Jumapili naruka tena South Africa, nikirudi Dubai tena hahahahahaha utakuwa na kihoro mwanamke mburulazzzz

- Lako linatakiwa kuwa fundisho kwa Wanawake wote wajinga kama wewe kwamba usicheze na ndoa cause utaishia kujichezea mwenyewe hahahaha, narudia tena wewe ni NEEMA NGWILULUPI nashangaa unahangaika kujifanya sio wadanganye wengine humu ila sio mimi hahahaha pole sana ila my life goes on si unaona mwenyewe hahahahahaha

LE BUFFOOOON hahahahahah LE MUTUZ NATION THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETWORK!!
Tatizo lako wewe big smelly bufoon huko kwenye makalio yako kuna wadudu wanakuwasha tangu ulivyoharibiwa na wenzako kwenye zile meli za Sinota,hivi si ulisema hujibu tena wewe haha imekuaje au wadudu wanakuwasha si ndio enhe mtu mzima hovyo,nadhani una donge kubwa sana la kuumizwa na neema yani hadi ukitekenywa kidogo tu na wanaumr wenzako basi unamtaja neema pls grow up the big smelly bufoon haha hebu angalia hapo chini unavyojidhalilisha mbele ya vitoto vidogo kushinda hata binti yako Leona
Screenshot_2016-03-11-14-00-40.png
 
sihitaji kuona mlipoanza

wewe na mzazi mwenzio mnapaswa kuheshimiana at least kwa manufaa ya mtoto wenu

Hasa kwa mwanaume unatakiwa kuwa na Limits....Sio lazima ukiwa Provoked na mwanamke na wewe ufanye hivyo hivyo ama alivyofanya yeye....

Mwanaume unapaswa kuwa na hekima,busara na mwono wa mbali...zaidi unapaswa kuwa Kiongozi

sioni busara yoyote katika wewe kumwanika mzazi mwenzio kiasi hicho...pia na yeye kukuanika kiasi hicho....Ndio maana nasema hiyo ni "Imaturity"

Willy...Mimi siwezi kushindana na wewe katika kupamba maneno kwenye social media...I know you are very good at it....Najaribu tu kutoa maoni yangu kwako wewe kama baba na kama mwanaume mwenzangu

Thanks

- Well, kama ulivyosema ungekuwa matured ungeanza kumpa hizo lecture toka jana alipoanza mimi sikuwepo, nimerudi bongo leo ni wajibu wangu kumjibu yoyote yule anapotaka kunichafua kwa uzushi cause uongo kama wa huyu mama kizee usipojibiwa unageuka kuwa ukweli, pole sana ila sijawahi kusikia kwamba unakuwa mwanaume wa kweli ukinyamaza huku unachafuliwa na mwanamke hapana, pleaese badilisha channel tu cause huyu mama kizee akiandika ujinga wake nitamjibu ila siwezi kumruhusu kunichafua na uongo nakushauri badili channel tu!!

le Mutuz
 
Tatizo lako wewe big smelly bufoon huko kwenye makalio yako kuna wadudu wanakuwasha tangu ulivyoharibiwa na wenzako kwenye zile meli za Sinota,hivi si ulisema hujibu tena wewe haha imekuaje au wadudu wanakuwasha si ndio enhe mtu mzima hovyo,nadhani una donge kubwa sana la kuumizwa na neema yani hadi ukitekenywa kidogo tu na wanaumr wenzako basi unamtaja neema pls grow up the big smelly bufoon haha hebu angalia hapo chini unavyojidhalilisha mbele ya vitoto vidogo kushinda hata binti yako LeonaView attachment 336568

- hahahahahahah my life goes on na huyu ndiye my fiancee anaitwa Super Model Nasra, hahahahahaha naona unaanza kujisema unavyotekenywa tekenywa hahahahahahaha pole sana hii picha ni jana at Escape One Beach Club hahahahah wewe utaisoma tu namba kama bado unaisoma now hahahahahah

LE SMELLY BUFFOOOOON aka LE MUTUZ NATION
 
sihitaji kuona mlipoanza

wewe na mzazi mwenzio mnapaswa kuheshimiana at least kwa manufaa ya mtoto wenu

Hasa kwa mwanaume unatakiwa kuwa na Limits....Sio lazima ukiwa Provoked na mwanamke na wewe ufanye hivyo hivyo ama alivyofanya yeye....

Mwanaume unapaswa kuwa na hekima,busara na mwono wa mbali...zaidi unapaswa kuwa Kiongozi

sioni busara yoyote katika wewe kumwanika mzazi mwenzio kiasi hicho...pia na yeye kukuanika kiasi hicho....Ndio maana nasema hiyo ni "Imaturity"

Willy...Mimi siwezi kushindana na wewe katika kupamba maneno kwenye social media...I know you are very good at it....Najaribu tu kutoa maoni yangu kwako wewe kama baba na kama mwanaume mwenzangu

Thanks
Bro huyu jamaa hajielewi kabisaa yeye kila mtu anayempa madongo ya kweli anasema ni xwife wake yani anaona watu hawamjui kabisa kumbe ananulikana inside out tangu huko alikokulia ukonga kabla malecela hajamkubali kumuintroduce kwenye family si unajua hili ni bustard kid na mwanaharam hata umuweke kwenye chupa atatoa hata pua yake ajulikane yupo,wadogo zake wote wako over 50 lakini hili babu jinga linajifanya toto kubishana tu na wanawe mitandaoni,hebu angalia masifa yote ya big bufoon lemutuz lakini mama yake bado anakaa kwenye nyumba za tope tunduma huko haha halafu yeye anajidai anakula bata.
IMG_20160316_165828.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom