Le Mutuz aenda kumsalimia Shose Sinare gerezani

Le Mutuz aenda kumsalimia Shose Sinare gerezani

Status
Not open for further replies.
Napenda Me Mutuz mpaka naumwaa jamaa yupoo Smart saaana hayaa Wanafikiii madongooo yenuu.hayoo haoo..You know the Le Tamkos!!!

- HAHAHAHAHAH wallahi nakupenda mpaka NAUMWAZZZ U know hahahahahahah

le SMELLY BUFFOOON aka LE MUTUZ NATION
 
Bro huyu jamaa hajielewi kabisaa yeye kila mtu anayempa madongo ya kweli anasema ni xwife wake yani anaona watu hawamjui kabisa kumbe ananulikana inside out tangu huko alikokulia ukonga kabla malecela hajamkubali kumuintroduce kwenye family si unajua hili ni bustard kid na mwanaharam hata umuweke kwenye chupa atatoa hata pua yake ajulikane yupo,wadogo zake wote wako over 50 lakini hili babu jinga linajifanya toto kubishana tu na wanawe mitandaoni,hebu angalia masifa yote ya big bufoon lemutuz lakini mama yake bado anakaa kwenye nyumba za tope tunduma huko haha halafu yeye anajidai anakula bata.View attachment 336573

- Huyo ni mama yangu mzazi proud of her cause kama sio yeye nisingekuwepo hapa Duniani, lets say anaishi kwenye matope lakini tizama ninampenda mpaka nimeeenda kumuona, pole yako wewe mama yako anakufukuza na mume wa mtu huoni ni laana unaishi nayo ndio maana unahangaika kama kuku anayetaka kutaga mayai, hahahahaha hahaahahahah

- Baba yangu umesahau alivyokuwa anaktaa kukaa hotelini anakuja kukaa nyumbani kwangu alikuwa anakufuata wewe? hahahahaha pole sana wewe unaisoma namba na subiri sasa siku nitakapofunga ndoa ndio utashika adabu maana kitakuwa kiama chako, maana so far unadhani ninaweza kukurudia hahahahaha laana ya mama inakutesa hiyo, na laana ya mbabu mtoto wa Mchungaji wa kwanza mbeya unaenda kubadili kuwa Muisilamu ili uwe mke wa pili, laaana hiyo mamama kizeeee hahahahahaha

le SMELLY BUFFOOOON aka LE MUTUZ NATION
 
- HAHAHAHA unajua uongo ukirudiwa sana bila kujibiwa unaweza kugeuka kuwa ukweli naomba nikjibu point zako kimsingi na very breifly:-

1. Mimi ni THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETWORK so I make my bread kwa kazi zangu katika Mitandao ya kijamii so sehemu ninaenda kikazi zaidi ndio maana ninapiga picha na kurusha kwenye Social Media pamoja na maelezo, kwa mfano nilipokuwa Lagos majuzi nilikuwa nimepelekwa kikazi na DSTV kuripoti Awards ambazo Lulu na Richie kutoka Tanzania walifanikiwa kupata zawadi hizo, katika siku tatu za kuripoti back I was able to reach viewers 19 Millioni which was a record, otherwise sijawahi kupiga picha na kuzibandika zisizokuwa na mlengo wa my business yaani Social Media.

2. Umri wangu naona mpaka leo unawatesa infact unamtesa hata my ex wife kila wakati anasema umri tofauti, naona wewe leo umeamua ku settle na 54, mara ya mwisho nilikuwa na umri kama wa Pinda hahahaha so nimeshazoea kila siku umri wangu unageuzwa geuzwa ni dalili za mnaonichukia kukosa hoja za msingi za kunichukia hahaha ninakuwa kama Trump yaani the more mnarusha your hate mnazidi kunipaisha juu zaidi hahahahaha and I love it!!

3. Super Bilionea Davis Mosha ni my Business Patner, sikujua kwamba kwenye kutafuta pesa kuna umri ukifikia hutakiwi kutafuta zaidi maana namjua Mzee Mengi toka nikiwa mtoto anatafuta pesa mpaka leo anaendelea kutafuta pesa, kumbe wewe ndiye unayeamua wabongo wakifikia umri kama wangu hawatakiwi kutafuta pesa tena au wakitafuta hawatakiwi kushirikiana na kina Diamond Platznumz maana ni wadogo kwa umri? hahahahahaha sijawahi kusikia this kind of theory isipokuwa utakuwa ni mburulazzz namba moja pole sana!!

4. Kuhusu maisha yangu ni kwamba ninaishi Jamhuri Street downtown ambapo nina 3bedrooms Apartment kwenye Jengo jipya la Palace na ninaishi hapa for the last 3 years, sasa nashangaa habari za kuishi kwa Wazazi zinatokea wapi? hahahaha na besides bado nina Shamba la eka tano na Nyumba kubwa ya vyumba vinne kule Kinyerezi niliyoijenga nikiwa Majuu, na pia hapa mjini ninamiliki kampuni yangu ya Social Media ninatoa ajira kwa Vijana 4 waliomaliza Vyuo Vikuu hapa nyumbani ninategemea kuipanua kampuni yangu by mwisho wa MWaka nitoe angalau ajira 10 zaidi kwenye kampuni yangu, so relax ok!!

- Kwa kumaliza ni kwamba in two days naruka kwenda Nairobi kwa mualiko wa kikazi wa Citizen TV ya Kenya ambayo mimi na Davis Mosha tunatarajiwa kuanza kufanya nao kazi once tukifungua our African Swahili Media Radio & TV by mwisho wa mwezi huu, nikurudi again nitaruka tena kwenda Joe'burg/South Africa again kwa mualiko wa kikazi wa Kampuni ya Pombe kali Glenfiddich Inc., na nikirudi nitaruka tena kwenda Dubai kwa jili ya Official Launch ya Clouds Media Cable Channel. Now hebu think again huyo unayemuongelea ni mimi kweli au somebody else? hahahahaha

- Ni kweli jana nilikwenda Rumande kuwaona Marafiki wangu like Mzee Kitilya na sioi na wengineo, in the process nikakutana na watu wengi sana ninaowafahamu pia nilifuatana na My business Patner Davis Mosha, we were able kutoa misaada mingi kwa watu mbali mbali tunaowafahamu ambao tulikutana nao huko Rumande, sidhani kama kwenda kumtembelea rafiki rumande ni tatizo.

- BY THE WAY KESHO NITAKUWA TIMES FM KUANZIA SAA KUMI NA MBILI ASUBUHI SO STAY TUNED MPAKA SAA TATU, KUONGELEA EVERYTHING SO SIKILIZA U KNOW

le Mutuz
good mr..
 
- HAHAHAHAHAH wallahi nakupenda mpaka NAUMWAZZZ U know hahahahahahah

le SMELLY BUFFOOON aka LE MUTUZ NATION
Smelly bufoon aliyemtelekeza mama yake kijijini tunduma kisa kichaa na watoto kwa sababu ya matunzo hivi huoni aibu hadi leo zaidi ya miaka 20 hako kakibanda chako hujakimaliza kwanini usimwambie boss wako Davis Mosha au hata ukaombe msaada kwa kina Ghalib wakusaidie kumalizia kujenga hahaha babu ovyoo.
Screenshot_2016-03-16-00-52-46-1.png
 
Smelly bufoon aliyemtelekeza mama yake kijijini tunduma kisa kichaa na watoto kwa sababu ya matunzo hivi huoni aibu hadi leo zaidi ya miaka 20 hako kakibanda chako hujakimaliza kwanini usimwambie boss wako Davis Mosha au hata ukaombe msaada kwa kina Ghalib wakusaidie kumalizia kujenga hahaha babu ovyoo.View attachment 336574

- HIYO nyumba ambayo ulitaka kuibadili title uichukue kwa siri mpaka nilipoenda Ardhi na kukuta madudu yako, kwanza ni yangu sio yako na pili siiihitaji najenga nyumba yangu mpya itakapokuwa tayari utaiona hapo nataka kubomoa hiyo nyumba libaki Shamba tu!!. hahahahaa ila the bottomline nyumba ni yangu sio yako haikuhusu hahahahahahahahahah

le SMELLY BUFFOOON aka LE MUTUZ NATION
 
- Huyo ni mama yangu mzazi proud of her cause kama sio yeye nisingekuwepo hapa Duniani, lets say anaishi kwenye matope lakini tizama ninampenda mpaka nimeeenda kumuona, pole yako wewe mama yako anakufukuza na mume wa mtu huoni ni laana unaishi nayo ndio maana unahangaika kama kuku anayetaka kutaga mayai, hahahahaha hahaahahahah

- Baba yangu umesahau alivyokuwa anaktaa kukaa hotelini anakuja kukaa nyumbani kwangu alikuwa anakufuata wewe? hahahahaha pole sana wewe unaisoma namba na subiri sasa siku nitakapofunga ndoa ndio utashika adabu maana kitakuwa kiama chako, maana so far unadhani ninaweza kukurudia hahahahaha laana ya mama inakutesa hiyo, na laana ya mbabu mtoto wa Mchungaji wa kwanza mbeya unaenda kubadili kuwa Muisilamu ili uwe mke wa pili, laaana hiyo mamama kizeeee hahahahahaha

le SMELLY BUFFOOOON aka LE MUTUZ NATION
uzuri wako le mutuz unajibu kwa kishindo..u know good bro..le mawazo yangu tu...
 
Na mama yako wa kambo nayr amefukuzwa kazi ya ukuu wa mkoa kwa uongo
- HIYO nyumba ambayo ulitaka kuibadili title uichukue kwa siri mpaka nilipoenda Ardhi na kukuta madudu yako, kwanza ni yangu sio yako na pili siiihitaji najenga nyumba yangu mpya itakapokuwa tayari utaiona hapo nataka kubomoa hiyo nyumba libaki Shamba tu!!. hahahahaa ila the bottomline nyumba ni yangu sio yako haikuhusu hahahahahahahahahah

le SMELLY BUFFOOON aka LE MUTUZ NATION
Hahaha pole sana na nakupa pole nyengine mama yako wa kambo amefukuzwa kazi kwa kudanganya sasa hivi ukuu wa mkoa hana tena poleni saaana kumbe uongo uko ndani ya ukoo wenu enhe hahaha.
 
Na mama yako wa kambo nayr amefukuzwa kazi ya ukuu wa mkoa kwa uongo

Hahaha pole sana na nakupa pole nyengine mama yako wa kambo amefukuzwa kazi kwa kudanganya sasa hivi ukuu wa mkoa hana tena poleni saaana kumbe uongo uko ndani ya ukoo wenu enhe hahaha.

- hahahahahahaha nipo ofisini kwangu ninajiajiri sijajiriwi na mtu hahahahahahaha pole sana mnaoajiriwa

le SMELLY BUFFOOON aka LE MUTUZ NATION
 
- HAHAHA hahahahahahah salute U know tupo pamoja, bi kizee alidhani maisha yangu yatasimama sasa anashangaa yanaendelea analia lia huku hahahahahahahahaha anaisoma namba U know hahahahaha

le Mutuz
Mkuu poleni sana familia ya Malechela kwa kuficha riport kwa Mama yako Anna Kilango!! Kumbe na yeye ni jipu.
 
nahisi kwa style hii hatutafika mwisho watz kuna vitu vingine muhimu tujadili lakin si kuendelea kumponda huyu le mutuz
 
hahahahahaaaaaaaa nabaki nacheka tu maana naona kila kukicha mnamsakama Le-mutuz sijui kawakosea nini jamani

katika hiyo african swahili radio // TV media mniwekee kipindi cha UFUNDAJI kwani mm ni mfundaji originalee hahahahaaa
 
Mkuu poleni sana familia ya Malechela kwa kuficha riport kwa Mama yako Anna Kilango!! Kumbe na yeye ni jipu.

- Ahsante sana ila mimi siajiriwi na mtu ninajiajiri mwenyewe, jana nimerudi Nairobi kikazi weekend hii naruka tena South Africa kikazi na nikirudi narudi Dubai tena kikazi, so pole sana ila mimi sijaajiriwa na mtu ninajiajiri mwenyewe na I hope tutajifunza umuhimu wa kujiajiri kuliko kutegemea kuajiriwa maana Sheria ni msumeno, pole sana mkuu hahahahahahaha

le Mutuz
 
Kaka lemutuz ni zoo inayotembea kwa hiyo lazima watu wamshangae na kumpigia makofi

- so ulikuwa umeolewa na zoo? Kuhangaika kwako kote kutafuta sympathy humu ni kwa sababu ya zoo? na wewe ni nini sasa kama sio zoo? hahahahahahahahaha

le SMELLY BUFFOOON hahahahahahaha
 
nahisi kwa style hii hatutafika mwisho watz kuna vitu vingine muhimu tujadili lakin si kuendelea kumponda huyu le mutuz

- boss usichelewa wananisaidia sana kuwa maarufu tizama hii thread imeshapitiwa na viewers 19,000 ndio maana ninazidi kuvuta pesa honestly I love this sasa ukisema hivi wataacha umaarufu wangu utapungua mkuu hahahahahahah

le Mutuz
 
- so ulikuwa umeolewa na zoo? Kuhangaika kwako kote kutafuta sympathy humu ni kwa sababu ya zoo? na wewe ni nini sasa kama sio zoo? hahahahahahahahaha

le SMELLY BUFFOOON hahahahahahaha
Hahaha hebu bwana chakubimbi zoo hebu fanya ukampe pole mama ako kama ile siku uliyompongeza haha she is realy in need of ur comfort haha magufuli kiboko anatumbua hadi mke wa waziri mkuu,pole bado unafikiria mimi ni xwife wako tuu huwezi kufikiria kama kweli mimi ni xwife wako na tumeishi muda mrefu hadi ulitaka kunywa sumu haha si ningekuwa nina siri zako nyingi tu ambazo zingekuwa zimeshalick kwenye mitandao ,mfano suala la umri wako lemutuz unalifanya siri sana ingekuwa kweli mimi ni xwife wako si ningekuwa tayari nimeshascreen shot hata copy ya passport yako or licence and other documents kuprove that u r over 55yrs haha,pls reason kabla ya kumtukana mama watoto wako.
 
Hii jukwaa my brother Lemutuz inakuwa jeee Na My X wakoo..au anataka umrudieee unajuaaa wanasemaga ukiona MTU.mliachanaga then Anakuongeleaa saana ujue Anakupenda..What the hell is this from this Woman..you know!!!!Unatoaaa Siriii Zoote tunazijuaaa unachekeshaaa Wewe mdada Muache Kaka yangu Alone
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom