Le Mutuz aenda kumsalimia Shose Sinare gerezani

Status
Not open for further replies.
Hii jukwaa my brother Lemutuz inakuwa jeee Na My X wakoo..au anataka umrudieee unajuaaa wanasemaga ukiona MTU.mliachanaga then Anakuongeleaa saana ujue Anakupenda..What the hell is this from this Woman..you know!!!!Unatoaaa Siriii Zoote tunazijuaaa unachekeshaaa Wewe mdada Muache Kaka yangu Alone
Hahaha huyu walking zoo amechanganyikiwa tu mimj wala sio xwife wake ila tunafahamiana vizuri sana lakini anaamua tu kumdhalilisha xwife sijui kwanini.
 
hayaaa sasa
 
Attachments

  • 1460386068144.jpg
    1460386068144.jpg
    46 KB · Views: 118
Hahaaa le mutuz jeshi la mtu mmoko, akianza zile u know wote mnae msema lazima mkae bench!
 
- Well, kama ulivyosema ungekuwa matured ungeanza kumpa hizo lecture toka jana alipoanza mimi sikuwepo, nimerudi bongo leo ni wajibu wangu kumjibu yoyote yule anapotaka kunichafua kwa uzushi cause uongo kama wa huyu mama kizee usipojibiwa unageuka kuwa ukweli, pole sana ila sijawahi kusikia kwamba unakuwa mwanaume wa kweli ukinyamaza huku unachafuliwa na mwanamke hapana, pleaese badilisha channel tu cause huyu mama kizee akiandika ujinga wake nitamjibu ila siwezi kumruhusu kunichafua na uongo nakushauri badili channel tu!!

le Mutuz
Hivi ukiwa nairobi Jf haipatikani? Kweli wewe ni sheeeda
 
Hahaha huyu walking zoo amechanganyikiwa tu mimj wala sio xwife wake ila tunafahamiana vizuri sana lakini anaamua tu kumdhalilisha xwife sijui kwanini.
-

- NEEMA NGWILULUPI hahaahahah ndio tunafahamiana maana ulikuwa mke wangu na mama wa watoto wangu 2, unajidhalilisha mwenyewe cause huwezi kumdhalilisha mwanaume kama huamini tizama mbebezz niliyekuwa naye jana usiku halafu jiulize hajasoma upuuzi wako jumu mbona bado wananipenda? hahahahahaha

- About last night at the Double Tree Hilton Hotel MAsaki, batazzzz batannnn kama kawa hahahahaha, sasa mbona hawa kina dada hawakusikilizi kilio chako maana toka umeanza kulia lia wangekuwa wanakuamini wangenikimbia lakini tizama ndio kwanza wanamiminika hahahahahahaha WAFWAZZZ U know!!

le SMELLY BUFFOOOON
 
Hivi ukiwa nairobi Jf haipatikani? Kweli wewe ni sheeeda

- Una maana niende Nairobi kikazi ninakaaa Intercontinental Hotel chumba USD $ 250 per night, niache kufanya mambo yaliyonipeleka nianze kuhangaika na huyu mburulazzz hahahaha huyu ninamjibu nikiwa hapa bongo tena ofisini kwangu kama sina kazi sometimes U know

le Mutuz
 
Kubwa jinga Le Mutuz hata likienda chooni kujisaidia hujipiga picha , linapenda picha kupita kiasi , miaka 54 bado linakaa Kwa wazazi huku likiendekeza Upambe Kwa Vijana ambao ni wadogo kwake kiumri , mfano Huyo Devis Mosha ni Mdogo kwake lakini akipata nafasi ya kukutana nae lazima aanike picha !

Ni wakati Le Mutuz ufanye mazoezi kupunguza mafuta mwilini Akili zikuludie maana mafuta yamezidi hadi Ubongo wote unaelea juu ya mafuta .

Umekosea mkuu huyu jamaa anakaribia 59 yrs
 
"Le mutuz au baba leona na Agapeo, mzee wa misifa, mpigwa kibuti na neema ngululupi, mzee wa misifa, kuwadi na kaka mtamu uliyejificha salam kaka ama baada ya salam ile michango ya kumuuguza yule kichaa wako pale
tunduma uliyopewa na mabilionea umsitiri yule kikongwe na kibaridi na atleast umnunulie nguo lakini umeshindwa badala yake umemaliza pesa zote kwenye kula tu na kale ka kibanda kako vilevile tu na yule mama lemutuz bado anashindia matambara ya deki ambako kwa kina neema hata mbwa havai, kama kweli umeitengeza ile nyumba tunaomba upige picha japo kidogo watu waone na ukishindwa mimi nitatuma watu waipige picha kile kibanda matope chenu na jinsi yule mama alivyo vaa nguo za kifukara ili watu waone masifa yako ya kijinga kumbe hauna lolote mtu mzima ovyo kuishi mjini kwa kuwasifia matajiri tu haha, na kwa taarifa yako hawa wake wa matajiri unaowakuwadia wanakufanyia mpango utafutiwe watu wakule mtungo au wakubake vizuri na mapicha juu ili iwe funzo uache kuharibu ndoa za watu dume zima ovyo, huoni aibu unamkuwadia hadi katoto kadogo kama lulu halafu bado unakwenda kula pilau kwa mke wa seki, ndio maana mke wa Davis kakupiga marufuku kwenda nyumbani kwake na pale bureau de change kwa ukuwadi wako, juzi umekwenda pale container mikocheni watoto wanakucheka hadi unataka kupiga picha na dada yake Radhia yule Rabia akakutolea nje kwa sababu kaogopa kwenda kuuzwa, umeshindwa kuka hadi umesubiri Ridhiwani aje akununulie kuku na kwa uchoyo ukaenda kula pembeni haha, mtoto Ridhiwani anaendeshwa na driver ndani ya v8 wewe babu zima na degree tatu za uongo hata english ya maana huijui unatembelea daladala le noah halafu bado unajisifu, eti una nyumba na shamba kinyerezi mshukuru mama neema kwenda kulinunua kijumba zaidi ya miaka 20 hakiishi tu na masifa yote hadi unakaa kwenye kijumba cha ndege cha msajili kodi sh elfu 50000 kwa mwezi na bado unajisifu, haki kaofisi unachojisifu nacho ni kichochoro tu ulichopewa kwa muda ujishikize na kodi hulipi na mchechu sababu ya conection ya baba yako na bado unapiga kelele haha.Kama unataka nieendelee kukuchamba baba Leona useme babu jinga."
"Huyu baba Leona au lemutuz ana matatizo sana kufikiria vitu ambavyo havipo hasa vikiwa vya ukweli, unafikiri neema na u busy wote pale UN atakuwa na time na kubishana na mtu aliyempiga kibuti mwenyewe jamani, mtu ambaye miaka zaidi ya 25 ya maidha yake US alikuwa ni mfanyakazi wa gari la taka haha, mtu ambaye baada ya kuchoka kulazwa kwenye sofa sitting room ndio akaamua kukimbilia kwenye kiservant quarter cha baba yake pale seaview haha, mtu ambaye baada ya miaka 3o ya kukaa ulaya bado anakaa kwenye kijumba cha msajili cha chumba kimoja na kodi haizidi hata sh50000 haha, kwa taarifa yako lemutuz mimi naishi hapa hapa bongo na ni mtu wa karibu yako sana ila najua mambo yako mengi personal na wala sina uhusiano wa kindugu na xwife wako so acha kumpakazia uongo, kama Neema unamuita kibibi cha miaka hamsini na wrwe na yeye umempita miaka kumi inamaana kwa simple mathematics tayari umegota 60yrs haha, unakumbuka ulianza kupanda meli za sinota kuanzia 1970 na kitu ambapo ulikuwa na zaidi ya miaka 20 inaonyesha jinsi gani ulivyokuwa kikongwe haha, na kukuthibitishia nakujua vizuri unakumbuka ulivyogombana na wachina melini hadi wakataka kukushusha Singapore lakini wasingapore wakawakatalia wachina ukaenda kushushwa Thailand na ukaleta vurugu hadi wakakulipa pesa zako haha bisha kama ni uongo nilete mambo mengine.Neema anaenjoy life New york ndani ya UN na huku watoto wakimuita yeye ndio baba na mama yao kwa jinsi wanavyompenda na kuweza kumpeleka Agapeo college bila msaada wako wewe kazi kubishana tu na watoto, unakumbuka watoto walivyokukataa walivyokuja bongo hadi ujalia kwenye gari lako pale ukonga haha na bado watakuliza sana sababu wameshakutoa kwenye maisha yao, bora uoe tu machangudoa yako ya escape one wakuzalie watoto wa uzeeni kama mengi haha, siku hizi hao masuper billionaires wako hawakualiki majumbani mwao sababu washatambua kama wewe kuwadi number moja wa wanaume zao kama mke wa Davis mosha asivyokupenda na kwake kakupiga marufuku kukanyaga basi hata mke wa chicago pia hakupendi pamoja na wa marehem seki ambaye ndio anaongoza kwa kukulaumu kwa wewe kumkuwadia mune wake kwa lulu haha, kuwa makini hawa wake za watu ni watoto wa mjini na wana hela chafu so sasa wanaorganize watu wa kukupiga mtungo ili iwe fundisho kwa babu mzee kama wewe kuliwa tigo na vijana wadogo itakuwa aibu yako ya milelele haha babu pole yako utasutwa na majivu."
 
- Una maana niende Nairobi kikazi ninakaaa Intercontinental Hotel chumba USD $ 250 per night, niache kufanya mambo yaliyonipeleka nianze kuhangaika na huyu mburulazzz hahahaha huyu ninamjibu nikiwa hapa bongo tena ofisini kwangu kama sina kazi sometimes U know

le Mutuz
Hahaha hili babu jinga Smelly Buffoon kwa misifa tuu eti limelala intercontinental room 250 ntakunya hapa na mvumi,umekaa kwenye chumba basic na umelipiwa na Davis Mosha kwa dollar mia tu na tena ya complimentary yani bure tu haha kama unabisha tuoneshe receipts kama hutajichekesha hapa kama vile ukitenkenywa na chicago na wale waarabu wa changombe,mtumbo mkubwa kama tembo haha uongo umezidi hadi magufuli anawatumbua na bado wewe ndio big jipuu unafaa utumbuliwe bila ganzi.
 
Pamoja na Dunia nzima jana kushuhudia Mama yake Le Mutuz Nation akiutumbuliwa jipu na Rais Magufuli jana kwa kumuondoa Ukuu wa Mkoa wa Shinyanga baada ya siku 28 tu toka ampe kazi hiyo, Super Star huyo jana alionekana kwenye Hoteli ya Kifahari na kitalii ya Double Tree Hilton Hotel Masaki akila bata na wasichana wa kileo kama kawaida yake. Le Mutuz Nation alipopigiwa simu na kuulizwa kulikoni alijibu kwamba haongei mambo ya siasa kwenye starehe akawataka waandishi wa habari kumtafuta kesho yake na leo alipopokea simu alisema tu "Nipo busy najitayarisha na safari ya South Africa labda nikirudi niulizeni ila kwa sasa nipo busy sana U know!"

Kwenye Instagram ya Mfalme wa Social Media Tanzania aliandika "Hanging out with my baby Lisa visiting from London/UK at the Double Tree Hilton Hotel"

- Hizi zilikuwa ni batazzz za jana usiku na wabebezz at Double Tree Hilton Hotel, maisha yanaendelea na sasa ni safari ya South Africa pole sana, hahahahahahahaha wewe utakufa na kihoro pole sana hahahahahaha, Jipime huyu wa juu wa wa chini yupi unafanana natye bibi kizee miaka 52, watoto 2, divorced na huna kikazi tena nani anakuoa hapa Duniani? hahahahaha

- LE SMELLY BUFFOOON

"Le mutuz au baba leona na Agapeo, mzee wa misifa, mpigwa kibuti na neema ngululupi, mzee wa misifa, kuwadi na kaka mtamu uliyejificha salam kaka ama baada ya salam ile michango ya kumuuguza yule kichaa wako pale
tunduma uliyopewa na mabilionea umsitiri yule kikongwe na kibaridi na atleast umnunulie nguo lakini umeshindwa badala yake umemaliza pesa zote kwenye kula tu na kale ka kibanda kako vilevile tu na yule mama lemutuz bado anashindia matambara ya deki ambako kwa kina neema hata mbwa havai, kama kweli umeitengeza ile nyumba tunaomba upige picha japo kidogo watu waone na ukishindwa mimi nitatuma watu waipige picha kile kibanda matope chenu na jinsi yule mama alivyo vaa nguo za kifukara ili watu waone masifa yako ya kijinga kumbe hauna lolote mtu mzima ovyo kuishi mjini kwa kuwasifia matajiri tu haha, na kwa taarifa yako hawa wake wa matajiri unaowakuwadia wanakufanyia mpango utafutiwe watu wakule mtungo au wakubake vizuri na mapicha juu ili iwe funzo uache kuharibu ndoa za watu dume zima ovyo, huoni aibu unamkuwadia hadi katoto kadogo kama lulu halafu bado unakwenda kula pilau kwa mke wa seki, ndio maana mke wa Davis kakupiga marufuku kwenda nyumbani kwake na pale bureau de change kwa ukuwadi wako, juzi umekwenda pale container mikocheni watoto wanakucheka hadi unataka kupiga picha na dada yake Radhia yule Rabia akakutolea nje kwa sababu kaogopa kwenda kuuzwa, umeshindwa kuka hadi umesubiri Ridhiwani aje akununulie kuku na kwa uchoyo ukaenda kula pembeni haha, mtoto Ridhiwani anaendeshwa na driver ndani ya v8 wewe babu zima na degree tatu za uongo hata english ya maana huijui unatembelea daladala le noah halafu bado unajisifu, eti una nyumba na shamba kinyerezi mshukuru mama neema kwenda kulinunua kijumba zaidi ya miaka 20 hakiishi tu na masifa yote hadi unakaa kwenye kijumba cha ndege cha msajili kodi sh elfu 50000 kwa mwezi na bado unajisifu, haki kaofisi unachojisifu nacho ni kichochoro tu ulichopewa kwa muda ujishikize na kodi hulipi na mchechu sababu ya conection ya baba yako na bado unapiga kelele haha.Kama unataka nieendelee kukuchamba baba Leona useme babu jinga."
"Huyu baba Leona au lemutuz ana matatizo sana kufikiria vitu ambavyo havipo hasa vikiwa vya ukweli, unafikiri neema na u busy wote pale UN atakuwa na time na kubishana na mtu aliyempiga kibuti mwenyewe jamani, mtu ambaye miaka zaidi ya 25 ya maidha yake US alikuwa ni mfanyakazi wa gari la taka haha, mtu ambaye baada ya kuchoka kulazwa kwenye sofa sitting room ndio akaamua kukimbilia kwenye kiservant quarter cha baba yake pale seaview haha, mtu ambaye baada ya miaka 3o ya kukaa ulaya bado anakaa kwenye kijumba cha msajili cha chumba kimoja na kodi haizidi hata sh50000 haha, kwa taarifa yako lemutuz mimi naishi hapa hapa bongo na ni mtu wa karibu yako sana ila najua mambo yako mengi personal na wala sina uhusiano wa kindugu na xwife wako so acha kumpakazia uongo, kama Neema unamuita kibibi cha miaka hamsini na wrwe na yeye umempita miaka kumi inamaana kwa simple mathematics tayari umegota 60yrs haha, unakumbuka ulianza kupanda meli za sinota kuanzia 1970 na kitu ambapo ulikuwa na zaidi ya miaka 20 inaonyesha jinsi gani ulivyokuwa kikongwe haha, na kukuthibitishia nakujua vizuri unakumbuka ulivyogombana na wachina melini hadi wakataka kukushusha Singapore lakini wasingapore wakawakatalia wachina ukaenda kushushwa Thailand na ukaleta vurugu hadi wakakulipa pesa zako haha bisha kama ni uongo nilete mambo mengine.Neema anaenjoy life New york ndani ya UN na huku watoto wakimuita yeye ndio baba na mama yao kwa jinsi wanavyompenda na kuweza kumpeleka Agapeo college bila msaada wako wewe kazi kubishana tu na watoto, unakumbuka watoto walivyokukataa walivyokuja bongo hadi ujalia kwenye gari lako pale ukonga haha na bado watakuliza sana sababu wameshakutoa kwenye maisha yao, bora uoe tu machangudoa yako ya escape one wakuzalie watoto wa uzeeni kama mengi haha, siku hizi hao masuper billionaires wako hawakualiki majumbani mwao sababu washatambua kama wewe kuwadi number moja wa wanaume zao kama mke wa Davis mosha asivyokupenda na kwake kakupiga marufuku kukanyaga basi hata mke wa chicago pia hakupendi pamoja na wa marehem seki ambaye ndio anaongoza kwa kukulaumu kwa wewe kumkuwadia mune wake kwa lulu haha, kuwa makini hawa wake za watu ni watoto wa mjini na wana hela chafu so sasa wanaorganize watu wa kukupiga mtungo ili iwe fundisho kwa babu mzee kama wewe kuliwa tigo na vijana wadogo itakuwa aibu yako ya milelele haha babu pole yako utasutwa na majivu."
 
Hahaha hili babu jinga Smelly Buffoon kwa misifa tuu eti limelala intercontinental room 250 ntakunya hapa na mvumi,umekaa kwenye chumba basic na umelipiwa na Davis Mosha kwa dollar mia tu na tena ya complimentary yani bure tu haha kama unabisha tuoneshe receipts kama hutajichekesha hapa kama vile ukitenkenywa na chicago na wale waarabu wa changombe,mtumbo mkubwa kama tembo haha uongo umezidi hadi magufuli anawatumbua na bado wewe ndio big jipuu unafaa utumbuliwe bila ganzi.

Pamoja na Dunia nzima jana kushuhudia Mama yake Le Mutuz Nation akiutumbuliwa jipu na Rais Magufuli jana kwa kumuondoa Ukuu wa Mkoa wa Shinyanga baada ya siku 28 tu toka ampe kazi hiyo, Super Star huyo jana alionekana kwenye Hoteli ya Kifahari na kitalii ya Double Tree Hilton Hotel Masaki akila bata na wasichana wa kileo kama kawaida yake. Le Mutuz Nation alipopigiwa simu na kuulizwa kulikoni alijibu kwamba haongei mambo ya siasa kwenye starehe akawataka waandishi wa habari kumtafuta kesho yake na leo alipopokea simu alisema tu "Nipo busy najitayarisha na safari ya South Africa labda nikirudi niulizeni ila kwa sasa nipo busy sana U know!"

Kwenye Instagram ya Mfalme wa Social Media Tanzania aliandika "Hanging out with my baby Lisa visiting from London/UK at the Double Tree Hilton Hotel"

- hahahahahahahaha wafwa jipime bibi kizee nani unafanana naye hapo kati ya hao wabebezz wa ukweli last night hiyo at the Double Tree Hilton Hotel, nimekuambia weka picha yako na huyo mume wa mtu watu waone hapa kama una ubavu hahahahahahaha

le SMELLY BUFFOOOON hahahaa
 
Le big smelly buffoon with a very shrinking manhood hebu kamfute machozi huyu mama ako wa kambo manake inakuwa aibu kulia kote huku kisa ukuu wa mkoa tu haha
Screenshot_2016-04-11-18-47-06-1.png
 
- Ahsante sana ila mimi siajiriwi na mtu ninajiajiri mwenyewe, jana nimerudi Nairobi kikazi weekend hii naruka tena South Africa kikazi na nikirudi narudi Dubai tena kikazi, so pole sana ila mimi sijaajiriwa na mtu ninajiajiri mwenyewe na I hope tutajifunza umuhimu wa kujiajiri kuliko kutegemea kuajiriwa maana Sheria ni msumeno, pole sana mkuu hahahahahahaha

le Mutuz
Sasa bwana kung fu PANDA kwanini hukumshauri mapema mama wa kambo na yeye akajiajiri au mkajiajiri wote hapo ofisini kwako huoni ungeepusha fedheha ya kutumbuliwa jipu!?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom