Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Mi mwenyew niliona hiyo habar nkajua kashaoa kumbe bado? Na mke mwenyew mtarajiwa ndo huyo au kashamkimbia??
Nahisi ndo huyu super babes msomi tena mwanasheria
saluti kwako .. ingawa kwanini huyu mchizi akifanya kitu chochote watu wanamind sana .. au kwasababu mtoto wa mheshimiwa ..
Kwani ndio huyu? Mbona hawafanani na huyo aliyefanyiwa vikao?
saluti kwako .. ingawa kwanini huyu mchizi akifanya kitu chochote watu wanamind sana .. au kwasababu mtoto wa mheshimiwa ..
saluti kwako .. ingawa kwanini huyu mchizi akifanya kitu chochote watu wanamind sana .. au kwasababu mtoto wa mheshimiwa ..
Awa uzao wao ulipigwa laana na mzee mchonga... Hapo alipo ana mpk cheti cha mirembe.
Babangu anajivunia kijana wake nina master na babangu hakuwa kiongozi sasa wewe babako akimuona mtoto wa mwinyi au watoto wa kawawa anajisikiaje ahahahahahahaha,ungezaliwa kwenye familia duni ungekuwaje,umeshindwa kutumia fursa ahahahahahahahahahah- Hasara anayo baba yako kuza mtoto anayeingia kwenye mtandao kwa majina ya bandia na kutukana watu asiowajua na wenye elimu kuliko wewe for that baba yako lazima anaumwa kwa huzuni U know!!
Le Mutuz
- Salute man that wasap U know umemuona my baby U know hahahahahahaha I love it!!, afu amerudi Chuo kufanya Masters eti hapa wangapi wanazo au ni balaha bla bala tu hapa hahahaha
Le Mutuz
Acha mambo ya shombo wewe unajitapa unazo halafu baby wako anakupa hela ya mafuta!!!!
we kima unatia aibu Sana wenzio Wa umri wako sahv wanaandaa maisha ya kustaafu na huku mitaani tunawapa heshima Kama wazee wabusara na washauri wetu we pakashume umekazana na mambo ya kijinga jinga Kama tutusa
badilika we babu unaboa sana
inashangaza sana huyu jamaa hana tofauti na kina diva,sintah,mbuta nanga na mange kimambi, tofauti zao ni jinsia tu na umri, maana yeye ni mzee sana kufanya huu upuuzi, anamuaibisha mzee wake tu, au mzee wake ndo kashatoa kafara maana huyu mtu sio bure ipo namna apa
Acha mambo ya shombo wewe unajitapa unazo halafu baby wako anakupa hela ya mafuta!!!!
we kima unatia aibu Sana wenzio Wa umri wako sahv wanaandaa maisha ya kustaafu na huku mitaani tunawapa heshima Kama wazee wabusara na washauri wetu we pakashume umekazana na mambo ya kijinga jinga Kama tutusa
badilika we babu unaboa sana
Hilo tutusa tu wenzie Wa umri wake washajukuu yeye anahainga na bebs kinyaa tupu hapo
Mpwa wangu huyo ni mwana CCM mwenzio ujue!!!!
Ana amini bado dogo na anaamini ipo siku atatusua kama Davis Mosha.
Haijalishi mpwa hili tutusa linatia kinyaa hata wanaCCM wengine wanamdharau sana
Anaboa sana yeye mwenyewe anajiona bado mtoto,mbona sijasikia watoto wa Msuya,Mwinyi,Mkapa,Sumaye,Lowassa,Nyerere, Ali Juma,Shein,Karume ,Warioba,Sokoine,Salim Ahmed Salim wana tabia za kama huyu mtoto wa Malecela.
Mzee John Malecela anajuta kuchepuka!