Le Mutuz amuonyesha baby wake

Le Mutuz amuonyesha baby wake

Status
Not open for further replies.
Anaitwa Weirungu David... aka kabinti ni kadogo halafu kabangaizaji tu maskini kwenda kujibebesha majukumu kwa hilo libabu sijui lakosa vijana wa rika lake

Maskin anasikitisha huyo mrembo
 
Kuna kitu kinatusumbua watz
Kupenda kujiona uko perfect kuliko wengine.hivi kuna tatizo gani le bilionea kujiachia atakavyo?thats the life ameamua.hizi si zama za ujamaa..kila mtu anaishi maisha yake as far as hakuingilii haki yako! Guys hii sio era ya vijiji vya ujamaa,thats why huwezi kumchapa mtoto wa jirani yako.
 

Udaku Specially Imefanikiwa kupata Picha ya Baby ake Lemutuz , leo kupitia Instagram yake lemutuz_nation Mzee Mzima na Business Man wa Ukweli Lemtuz Amepost Picha Hiyo Hapo Juu na Kuandika Maneno haya Hapa Chini:




Kumbe haya mambo ata huku yapo!!!?
nilifikili fb tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom