Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Rent kwani hujajenga?
Acha basi kumchokozaa hutapewa kadi ya mwaliko wa harusiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rent kwani hujajenga?
mkuu looo nimechekaa sanaaaa huyu mzeeee ni shidaaaa
Hhhhhhhaaaaaaaaa
Le baharia hajuagi kununa jamani. Ye anacheka tu hata umkwazaje. Ndo maana anaonekana kijana daily u know taratibuuuuuz tu mtamuelewa
Binamu hili povu hili mi nguo zitatakata kabisaaa nikifuliaa,unamchukulia sirias lemutuz oooohhhhh c'mon
Nomaaaaa aiseee angekua wa kupanikii angeshakufa aiseee
Nini ilikua shida mpka wakamatwe c timu y madam hiyo
Aliwatukana kina lemutuz
watu wengine bhana... kwanini mnataka maisha mnayoish nyinyi au style ya maisha ya baba zenu na wajomba zenu ndiyo iwe ndo staili ya kila mtu? Kama Le Mutuz ameamua kuishi maisha ya 20's hayo ni maisha yake na kama wewe kijana wa miaka 30 unaishi kama mbabu wa miaka 60, nayo ni maisha yako na usitake kila mmoja aishi kama vile mnavyoishi nyinyi au mnavyopenda aishi! As far as sijawahi kumuoa Le Mutuz amepiga picha akiwa na chupi peke yake kisha akaiweka kwenye instagram then ningewaelewa lakini kwavile tu life style yake na mambo yake ni ya 20's guys kwangu hilo si tatizo coz' ni maisha yake ambayo kamwe hayawezi kuwa yenu na yenu kamwe hayawezi kuwa yake! Why should anyone care if I always talk nonsense? Kama unadhani someone is stupid, always act and talk nonsense, then ignore him/her and move own with your own life that you believe is perfect!
hahahahahh,ila lemutuz hana noma na mtu kwa kweli,Mungu ampe maisha marefuShati la Le Mutuzi linatosha kufunika starlet.
hahahahahh,ila lemutuz hana noma na mtu kwa kweli,Mungu ampe maisha marefu
You're very right... and what I like more about dude, he's himself doing what he believes he's right! Jamaa jinsi anavyoshambuliwa hapa JF lakini bado hajakoma kuwa friendly and fun... ingawaje kuna watu wanasema ni yeye ndie anaanza kutukana, lakini matusi ya Le Mutuz ni chini ya 5% kwa ukali as compared to yale anayopewa yeye! By the way, kama ni matusi, tusi lake kuu ni "mburullaz" na kweli wengi anaowaita mburullaz ni mburullaz!hahahahahh,ila lemutuz hana noma na mtu kwa kweli,Mungu ampe maisha marefu
Hahahahahahahaha...uwiiiiii hiii post yako imeniua leo...karudishe tu we bado mtoto
Usichekee...haya ni maajabu ya dunia, we mtu kazaliwa enzi ya mkoloni huko halafu bado yupo Umoja wa vijana...si hatari hii.