vipi kuhusu sintah amemtema?
Me naelewa basi ndugu yangu, me nasikiaga tu mchumba wangu ni lawyer daily
Uzee wote huo 54 bado anatafuta wachumba? Si atazaa wajukuu? Bora atafute ajuza akae nae ili wasipate watoto maana kwa 54 akizaa mtoto akiwa darasa la kwanza baba ana nyundo 60 ni kumpa shida tu mtoto!
Acha mambo ya shombo wewe unajitapa unazo halafu baby wako anakupa hela ya mafuta!!!!
we kima unatia aibu Sana wenzio Wa umri wako sahv wanaandaa maisha ya kustaafu na huku mitaani tunawapa heshima Kama wazee wabusara na washauri wetu we pakashume umekazana na mambo ya kijinga jinga Kama tutusa
badilika we babu unaboa sana
Mmh!! Na hao wakina january makamba, ridhiwani na mohamed dewji wangekuwa wana mashauzi kama ya huyu babu yangu apa sijui ingekuwaje, naona tungekufa na presha khaa!!
Uzee wote huo 54 bado anatafuta wachumba? Si atazaa wajukuu? Bora atafute ajuza akae nae ili wasipate watoto maana kwa 54 akizaa mtoto akiwa darasa la kwanza baba ana nyundo 60 ni kumpa shida tu mtoto!
Haijalishi mpwa hili tutusa linatia kinyaa hata wanaCCM wengine wanamdharau sana
Mzee John Malecela anajuta kuchepuka!
Hahaaha kibaigwa mbona mbali sana mkuu!
Babangu anajivunia kijana wake nina master na babangu hakuwa kiongozi sasa wewe babako akimuona mtoto wa mwinyi au watoto wa kawawa anajisikiaje ahahahahahahaha,ungezaliwa kwenye familia duni ungekuwaje,umeshindwa kutumia fursa ahahahahahahahahahah
na sisi wa dodoma uzee mwisho singida.
wanaomlaumu Mama Kikwete kwa ajili ya hiyo ziara, WAACHE UNAFIKI
Huyo dada sidhani kama ana akili nzuri....
Na hapo bado anatafuta. So u never know atampata lini hahaha, probably akishafika 60
- yale yale ya mlevi kuamini wengine wote ni walevi kama yeye, baba yako alichepuka nini Muandishi wa Habari wa Rais Lowassa mtarajiwa? hahahahah
- Wengine siwezi kuwajibu maana mmeandika nonsense ila it is good for me yaani publicity maana hii inaanza kwenda page 4 sasa kama mnacheza muziki wangu so lets go!!
Le Mutuz
na sisi wa dodoma uzee mwisho singida.
Una mambo kweli ur looking for publicity, the way people are taking about u ndo wanazidi kuku brand zaidi,lkn hawajui ngoja page zizidi kuongezeka tu!