Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee aliyeruka stage ya adolescence/Teenager na sasa anairudia uzeeni
Huyo zari mmewe anamhurusu kupiga picha kakumbatiwa hivyo!!!?labda huo unene ndio wamedhania ana pesa bilionea wa totozzzzz
Huyo zari mmewe anamhurusu kupiga picha kakumbatiwa hivyo!!!?labda huo unene ndio wamedhania ana pesa bilionea wa totozzzzz
Mmh umbea wa kiingereza ata haunogagi
zari hana mume wewe..
walishaachana siku nyingi
haya maneno ya kuwa mnabeba kama yalivyo matokeo yake ndio haya....
hao waandishi wa habar wa uganda hawajui hata umbea vizur waje bongo uku tuwafundishe umbea maana hiko kipaji tumebarikiwa sana na uchawi