Le Mutuz amuopoa Zari?

Le Mutuz amuopoa Zari?

Huyo zari mmewe anamhurusu kupiga picha kakumbatiwa hivyo!!!?labda huo unene ndio wamedhania ana pesa bilionea wa totozzzzz

hao waandishi wa habar wa uganda hawajui hata umbea vizur waje bongo uku tuwafundishe umbea maana hiko kipaji tumebarikiwa sana na uchawi
 
Huyo zari mmewe anamhurusu kupiga picha kakumbatiwa hivyo!!!?labda huo unene ndio wamedhania ana pesa bilionea wa totozzzzz

zari hana mume wewe..
walishaachana siku nyingi

haya maneno ya kuwa mnabeba kama yalivyo matokeo yake ndio haya....
 
zari hana mume wewe..
walishaachana siku nyingi

haya maneno ya kuwa mnabeba kama yalivyo matokeo yake ndio haya....

Sikujua kama wameachanaa wewe

na hua simfatiliiii kihivyooo kwan kuna ubaya mi kutokujua ni kawaida tu..
 
Back
Top Bottom