Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Sikujua kama wameachanaa na hua simfatiliiii kihivyooo kwan kuna ubaya mi kutokujua ni kawaida tu
wengine huwa unawafatilia...
Umewaonaaa eeeeee haunogii kabisaaaa
Sanaaaaaa .....
wajinga dunia nzima wanafanana hata mawazo yao.
Wamuulize bibi walivyomfanyia mama yake, hana hamu hadi kazimia chezeya wabongo weye
Binamu kile kitumbuaaaa balaa wanaume wana sheeedarrr sijui kitumbua cha naniii
hao wa UG hawajajua kuwa le mutuz ni anapenda kupiga picha na totoz
Na ule mnyonyo ka t@ko la kajala, kajimanua mwenyewe watu wajionee mambo, nasikia watu wanampigia simu mama wema kiama wanapanda dau tu nyie watu wana laana
Mmh binamu picha yenyew inatisha aya naanzaje sasa kucheza ngololo na minyama ile?, portable ndo habar ya mujini
Tatizo hunitag binamu maumbea.
He he muyeshimiwa bado kuonana.
Naogopaje sasa