Le Mutuz amuopoa Zari?

Le Mutuz amuopoa Zari?

Mtoto mkali kwa kila kitu kuanzia sura na shepu, Pesa anayo sio wengine wamekalia umbea tu vibarazani huku wanasubiri kuhongwa. Big up Zari!


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Binamu kile kitumbuaaaa balaa wanaume wana sheeedarrr sijui kitumbua cha naniii

Na ule mnyonyo ka t@ko la kajala, kajimanua mwenyewe watu wajionee mambo, nasikia watu wanampigia simu mama wema kiama wanapanda dau tu nyie watu wana laana
 
beware-notorious-bum-driller-on-the-loose.jpg
hao waandishi wa habar wa uganda hawajui hata umbea vizur waje bongo uku tuwafundishe umbea maana hiko kipaji tumebarikiwa sana na uchawi


mnacheza nyie, embu someni huo udaku wa uganda hapo kwenye picha..msipocheka nawarudishia hela ya bundle
 
Yani Le Mutuz akiiona hiyo,lazima akamuonyeshe Mzee malecela.Ughaibuini miaka 30 kapuku,bongo miaka 3 bilionea.
 
Na ule mnyonyo ka t@ko la kajala, kajimanua mwenyewe watu wajionee mambo, nasikia watu wanampigia simu mama wema kiama wanapanda dau tu nyie watu wana laana

Binamu nasikia naww ulpga simu kuuliziaaa dauuu nimekukamataaa
 
Yaani huku duniani kuna watu wameumbwa kuleta shida kwa kweli..
 
Tatizo hunitag binamu maumbea.
He he muyeshimiwa bado kuonana.
Naogopaje sasa

Eeh usiniambie binamu? Huyo muheshimiwa wako asije kuwa fekero had leo hamjaonana? Sasa na wewe kinachokuogopesha kitu gani
 
Back
Top Bottom