Mzee aliyeruka stage ya adolescence/Teenager na sasa anairudia uzeeni
Mtoto mkali kwa kila kitu kuanzia sura na shepu, Pesa anayo sio wengine wamekalia umbea tu vibarazani huku wanasubiri kuhongwa. Big up Zari!
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Samahani hivi huyu Zari ni nani? Nani kabila gani naona watu wanamsifia sana
Mwnamuziki na mjasiriamali kutoka Uganda.kiufupi ni mrembo sana na mwanamuziki mwenye pesa kuliko mwanamzki yeyote wa KIKE east africa
hao wa UG hawajajua kuwa le mutuz ni anapenda kupiga picha na totoz
Zari ni Best Friend wa sinta kwa Mujibu wa sinta, sinta ni Hawara wa LE MUTUZ na pia sinta ana Mimba ya Lemutuz, Labda kila wakiwa pamoja wanapanga mipango ya baby shower ya sinta, Nina uhakika Le mutuz na minyanya pensi yake mtoto mkarez kama zari amuwezi ataishia kwa kina Sinta tu akizidi Sauda Mwilima ndio Level zake
- ha! HA! HA! HA! Ha LE MBURULAZZZZZ MBONA HUKUSEMA LEVEL YAKO? ha! ha1 ha! ha! by the way Super Zari anakuja tena next month so mtachonga mpaka mwisho wa Dunia, usyoyaweza tuachie tunaoyaweza kaa pembeni uchonge wembe ni ule ule tu kudadeki!!
Le Mutuz
Du bi shost umekuja kunisuta...kha Nimeadhirika mpaka nasutwa na mburula le mutuz...anyway mbona umepanick au kweli umetikisa nyavu za sinta Mzee wa manyanya pens, usipanick Tuambie tukusaidie zawadi za baby shower oooops nimesahau unakaribia kumuoa yule mbebs wa ukweli vp lkn vikao vya harusi na ma bilionea wenzako vimefikia wapi....
P.S super zali umuwezi najua ww ni mzee wa kushika pembe I Bet kuna kigogo utakuwa unamshikia mapembe...FULLSTOP.
- Kwenye maisha kuna wafanyishaji wa kweli na wapiga kelele ila huwa hatusikilizi mburulazzzz tunasonga mbelezzzz, wewe piga kelele zako za mlango sisi tunaendelea ndio kwanza nimerudi vacation wangu na mwendo ni ule ule tu hakuna kuangalia nyuma wewe ni le mburulazzz haya mambo huyawezi tuachie tunaoweza!!
- Ila umezungumzia sana level yangu lakini hukusema yako le mburulazzzz why? ha1 ha! au huna level? ha1 ha! ha!
Le Mutuz
I have got PHD in biomedical science from victoria University of Wellington! What about u sir? Usije kuwa walw wanaovaa majoho kwenye studio za wanaigeria na kupiga picha wana pretend kama wamegraduate, alafu wananadi elimu zao kwenye kila habari wanayoiongelea...
BY THE WAY HOW IS YOUR OTHER FAMILY IB USA, YOUR X, MBEBS WA UKWELI AND YOUR KIDS?
- I am le Big show big celebrity ndio maana humu kuna thread nyingi sana za kunihusu na wewe kuja kuchangia coz I am a big star hiyo tu inatosha, I was divorced 3 years ago so I am single and having fun with my life, okeeeee!! ha! ha!
Le Big Show
Wewe na celebrity mwenzio mbuta nanga mnaongoza kwa thread....!
Kujua Mapenzi ukubwani shida sana!- Kubali wangu wewe sio Celebrity na hata ukiandikwa hapa hakuna wa kukusoma, nenda humu uone zipo thread zangu ngapi wacha kelele za mlango, Zari huwezi kumsogelea maana wewe sio Celebrity sasa unalia nini? Mimi sio Mungu aliyekuumba huna talent hata moja kudadeki mnajaza tu Dunia yaani hata ukifa leo hakuna wa kukukumbuka ndio maana utaishia kulia lia tu hapa sisi tutaendelea kuandika historia mtuwangu kelele zako za ml;ango ni bure tupu ok!!
Le Big Show
- Kubali wangu wewe sio Celebrity na hata ukiandikwa hapa hakuna wa kukusoma, nenda humu uone zipo thread zangu ngapi wacha kelele za mlango, Zari huwezi kumsogelea maana wewe sio Celebrity sasa unalia nini? Mimi sio Mungu aliyekuumba huna talent hata moja kudadeki mnajaza tu Dunia yaani hata ukifa leo hakuna wa kukukumbuka ndio maana utaishia kulia lia tu hapa sisi tutaendelea kuandika historia mtuwangu kelele zako za ml;ango ni bure tupu ok!!
Le Big Show
- Kubali wangu wewe sio Celebrity na hata ukiandikwa hapa hakuna wa kukusoma, nenda humu uone zipo thread zangu ngapi wacha kelele za mlango, Zari huwezi kumsogelea maana wewe sio Celebrity sasa unalia nini? Mimi sio Mungu aliyekuumba huna talent hata moja kudadeki mnajaza tu Dunia yaani hata ukifa leo hakuna wa kukukumbuka ndio maana utaishia kulia lia tu hapa sisi tutaendelea kuandika historia mtuwangu kelele zako za ml;ango ni bure tupu ok!!
Le Big Show
Kujua Mapenzi ukubwani shida sana!
Najua mungu kakuumba wewe na talent ya kuvaa ma nyanya pensi na mbuta nanga ya kuvaa michupi chupi hadharani...CONGRATULATION FOR THAT BRUV...
P.S Kwa huyo takataka bombay zari unaona bahati kumsogelea je ungewasogelea kina ophray winfrey ma self made millionaire si tungekoma anyway
#KeepLickinZarisAss
kwa hiyo we zuzu ni celebrity