mamakibunju
JF-Expert Member
- Dec 28, 2013
- 1,009
- 221
Unakumbukumbu kweli mamakibunju maana tuliambiwa atakuja.
Hahahaha ndio namuuliza hapa..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakumbukumbu kweli mamakibunju maana tuliambiwa atakuja.
The fake bilionea hatakosa jibu kwenye swali lako.Hahahaha ndio namuuliza hapa..!
Zari ni Best Friend wa sinta kwa Mujibu wa sinta, sinta ni Hawara wa LE MUTUZ na pia sinta ana Mimba ya Lemutuz, Labda kila wakiwa pamoja wanapanga mipango ya baby shower ya sinta, Nina uhakika Le mutuz na minyanya pensi yake mtoto mkarez kama zari amuwezi ataishia kwa kina Sinta tu akizidi Sauda Mwilima ndio Level zake
Hii kali aisee, kupiga picha na mtu mnadate?
Nina uhakika Le mutuz na minyanya pensi yake mtoto mkarez kama zari amuwezi ataishia kwa kina Sinta tu akizidi Sauda Mwilima ndio Level zake
- I am le Big show big celebrity ndio maana humu kuna thread nyingi sana za kunihusu na wewe kuja kuchangia coz I am a big star hiyo tu inatosha, I was divorced 3 years ago so I am single and having fun with my life, okeeeee!! ha! ha!
Le Big Show
- This is wasap U know, I love it cause it is good for my online business I live for this maan!!
Le Mutuz
usidhani Sifa acha utoto kubwa jinga wewe miaka 50s una mambo ya shombo hivi!!!
zari hana mume wewe..
walishaachana siku nyingi
haya maneno ya kuwa mnabeba kama yalivyo matokeo yake ndio haya....
- Sawa sawa shombo ya mkataba mpya niliosaini leo wa Miilions ya TShillings kutangaza biashara ya JWT online call that shombo and I love it unafikiri ningekuwa maarufu online na kupata mikataba kama hiyo? Inaitwa akili ni nywele kwenye kusaini mkataba hawakuuliza umri kaka, wamenuliza kama nina account bank ya kupitishia malipo yao, ha1 ha?! ha1 wewe kalia miaka 50 kwanza umekosea nina miaka 65 okeeee! ha1 ha1 ha!
Le Mutuz
ha haa haa hapa pamenichekesha sana......mtoto unabaraaahaa weye!!! (eti ndo napaona leo.mwehh)
hhaaaaaa nimejikuta nacheka tena. najua unajua kwa nini nilisema hivyo.
hhaaaaaa nimejikuta nacheka tena. najua unajua kwa nini nilisema hivyo.
Shoga niwhatsapp
Hivi hii njemba kweli ni toto la kizazi kabisa wa mzee Samweli Malecela? Huwa ni km zilifyatuka flani hivi eehhhh...Kuna cku nilipishana nalo mitaa ya posta linaendesha Toyota Noah nyeusi mbovuuuu imeandikwa Le Mutuz kwa nyuma...linapiga music kwa sauti kubwa kweli kweli km Gari la matangazo, mchana wa saa8 watu wapo kazini...nikaambiwa jamaa wakanidokeza kuwa huyu ni mtoto wa waziri mkuu mstaafu mzee Malecela...dah kwangu na kwa watu wengine wengi tulishikwa na butwaa...Kubwa jinga W J Malecela