Le Mutuz amuopoa Zari?


Kwanini umesema sauda mwilima? ina maana jamaa ameshakula mzigo hapo? funguka mkuu.
 
le mutuz bhana........huwa nikisoma comments zake na nikilinganisha na umri wake nashindwa kabisa kumuelewa,kifupi le mutuz ana ujinga ujinga mwingi tu ila sio m.p.u.m.b.a.v.u
 
- I am le Big show big celebrity ndio maana humu kuna thread nyingi sana za kunihusu na wewe kuja kuchangia coz I am a big star hiyo tu inatosha, I was divorced 3 years ago so I am single and having fun with my life, okeeeee!! ha! ha!

Le Big Show

Mkuu ni kweli una degree ya kuvulia kambale?
 
W. J. Malecela mburula, mungu wako ZARI alikuja kwenye instagram party au uliambulia watoto wa mbwa wenzako
 
Last edited by a moderator:
usidhani Sifa acha utoto kubwa jinga wewe miaka 50s una mambo ya shombo hivi!!!

- Sawa sawa shombo ya mkataba mpya niliosaini leo wa Miilions ya TShillings kutangaza biashara ya JWT online call that shombo and I love it unafikiri ningekuwa maarufu online na kupata mikataba kama hiyo? Inaitwa akili ni nywele kwenye kusaini mkataba hawakuuliza umri kaka, wamenuliza kama nina account bank ya kupitishia malipo yao, ha1 ha?! ha1 wewe kalia miaka 50 kwanza umekosea nina miaka 65 okeeee! ha1 ha1 ha!

Le Mutuz
 

Acha utoto kubwa jinga wewe umri kubwa kazi kushinda na vitoto

Bora ukabebe boksi USA unamzalilisha mzee Malecela.
 
Hivi hii njemba kweli ni toto la kizazi kabisa wa mzee Samweli Malecela? Huwa ni km zilifyatuka flani hivi eehhhh...Kuna cku nilipishana nalo mitaa ya posta linaendesha Toyota Noah nyeusi mbovuuuu imeandikwa Le Mutuz kwa nyuma...linapiga music kwa sauti kubwa kweli kweli km Gari la matangazo, mchana wa saa8 watu wapo kazini...nikaambiwa jamaa wakanidokeza kuwa huyu ni mtoto wa waziri mkuu mstaafu mzee Malecela...dah kwangu na kwa watu wengine wengi tulishikwa na butwaa...Kubwa jinga W J Malecela
 

atakuja sasa hivi kukujibu..teh teh le mutuz ananifurahisha sana
 

- Uwezo wako wa kufikiri na kuelewa licha ya kuona ni mdogo sana, nyuma ya gari kumeandikwa Email adress ya blog yangu, that is where my bread comes from kwa hiyo anaposoma mwenye akili anaona adresss ya blog na anaingia utafiiti wa sayansi unaonyesha wanaingia watu 20 wapya kwenye blog yangu kila siku kutokana na kusoma nyuma ya gari,

- Leo nimesaiini mkataba mkubwa na JWT kwa ajili ya online business, binafsi napenda music so ninasikiliza muziki kwenye gari langu muziki unatokea kwenye big machine kiasi kwamba hata iweje ni lazima usikie vibration zake hata likiwa limefungwa vioo kama ninavyokuwa all the time nakula kiyoyozi, kila mtu ana hobby yake mimi ni muziki na nilikuwa napiga muziki na wewe una yako,

- Waziri Mkuu Mstaafu ni baba yangu eti bongo tuna sheria ya kutukataza tusisikilize muziki kwenye magari yetu kisa ni mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu? ha! ha! ha! ha!, mimi na wewe nani hapa ana akili na nani hana mkuu? ha! ha! ha!

Le Big Show
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…