Le Mutuz amuopoa Zari?

Le Mutuz amuopoa Zari?

wanabid waseme wahenga wamependana......alafu watu wauganda waaache ushamba mbona sisi atufatiliagi habar zao .
 
Mond alipatana na huyu mwanamke mwaka gani vile?
mbulula hakuwa kuwadi kweli? Nauliza tu
 
hehehhehheeee ZARI nae naye alipitiwa na kidole gumba cha mtoto mchanga????
 
Hizi hata bure akitaka anapata..... Aongee vizuri na hao jamaa wamejaa mjini
Au ukute pale jinsi ilivyo ndiyo katumia dawa ya kukuza machine........yani ukute pale ndiyo ana le bamiaaaa sio kibamia
 
Back
Top Bottom