Pole weye!! unae amini wa ndani kisiasa!! kumbe dingi kapigiwa na house boy!! kunako nguzo zizini faster tu kitu!!..tena wenzenu wajanja anajifanya anasuuza vyombo kuumbe kuna kajamaa kwenye makuti! kanamaliza mchezo!
Nimekuta earlier kafuta, alimsema nani ndio anamtuma Mange kuandika Instagram?
Huyu babu ndio nimegundua kichwani hana akili ni mwehu...umri wake sio wakujibu utumbo mtandaoni istoshe mambo ya familia asingejibu akae kimya tu kwani anapungukiwa na nini,jamaa ni kubwa jinga kabisaAlimsema Mdogo wake Mwele Ceche, Anamtishia Cece atatolewa kwenye urithi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwa Kua cece na Marehemu walikua wanamtuma Mange awatukane
Mange watu wote aliowakutana ametumwa na Marehemu, Mange akili zake zinamtuma kutukana
Watoto wa Nje ni shida lizee la 69+++ anacha kufanya kazi anawaza urithi wa Mali zilizotafutwa na mke wa ndoa Mzee Malechela
Analia kwa nini hakutajwa kwa risala, atajwe kama nani asubili baba yake atatajwa wale walijitaja mwele amezaliwa wa ngapi kwenye Tumbo la baba Yao na mama yao
View attachment 2133094
Alimsema Mdogo wake Mwele Ceche, Anamtishia Cece atatolewa kwenye urithi 🤣🤣🤣🤣🤣kwa Kua cece na Marehemu walikua wanamtuma Mange awatukane
Mange watu wote aliowakutana ametumwa na Marehemu, Mange akili zake zinamtuma kutukana
Watoto wa Nje ni shida lizee la 69+++ anacha kufanya kazi anawaza urithi wa Mali zilizotafutwa na mke wa ndoa Mzee Malechela
Analia kwa nini hakutajwa kwa risala, atajwe kama nani asubili baba yake atatajwa wale walijitaja mwele amezaliwa wa ngapi kwenye Tumbo la baba Yao na mama yao
View attachment 2133094
tena ni prof janabi😂 ambaye alikuwa doc wa mkwere na jiweLemutuz ana daktari wake.
😂ila huyu dingi ni "komedian" sasa hayo yote ya dk3 ni ya nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tena ni prof janabi[emoji23] ambaye alikuwa doc wa mkwere na jiwe
acheni porojo za JF,watoto tu wa Mengi wanagombea urithi sembuse Le mutuz!!! hiyo ni haki yake hata kama amefanya hivoAlimsema Mdogo wake Mwele Ceche, Anamtishia Cece atatolewa kwenye urithi 🤣🤣🤣🤣🤣kwa Kua cece na Marehemu walikua wanamtuma Mange awatukane
Mange watu wote aliowakutana ametumwa na Marehemu, Mange akili zake zinamtuma kutukana
Watoto wa Nje ni shida lizee la 69+++ anacha kufanya kazi anawaza urithi wa Mali zilizotafutwa na mke wa ndoa Mzee Malechela
Analia kwa nini hakutajwa kwa risala, atajwe kama nani asubili baba yake atatajwa wale walijitaja mwele amezaliwa wa ngapi kwenye Tumbo la baba Yao na mama yao
View attachment 2133094
Si mange moumbafu Yule watanzania wanamuamini kwa uongo wake na umbea wake mpk jinaume zima linadownlod app. Ya umbea kmmk zakeHata mimi nilishangaa sana kumuona pale kwenye mjengo wake wa kifahari karibia na mnazi mmoja wakati shughuli ikiendelea.
Ila to be honest anaonekana kabisa ni mgonjwa.
Watu tubadilike San kupitia kwa lemutuz [emoji3]Daaah tabia za kiafrika sana hizi yaani kwa kua kuna msiba basi asile chakula 5 star??? akila nyumbani au 5 star hotel does it make any difference?? Does it make him looks better ???Ndio maana wazungu uwaga hawataki longo longo kwenye misiba wanatoa tangazo kabisa "Let us grieve in private". Hata angekula kwa mama ntilie au nyumbani huyu ndugu yake asingefufuka....! RIP Dr. Mwele.
Kama kweli wamemdharau lebabz bas hat na mm siendiKwa kweli walimdharau lemutuz .Lemutuz ni mtoto wa kwanza wa Mzee malecela ila wale watoto wa mama malecela wa kwanza Walikuwa Wanasema kaka etu mkubwa ataongea ghafla William haonekani it’s was weird .Yule seche ndio kimbelembele my sister my sister .baba ao mwemyewe kaoa mke mwingine .
Kumbe Kuna upupu umefanyika kumdhakilisha ze super branda hapn haikubaliki mwele Kama ameusikaa kumsalilisha lemutu amekozeaumeongea ukweli ambao wengi wameukwepa,sio vizuri kumsema marehemu lakini yule marehemu alikuwa hajitambui licha ya elimu yake kubwa, le mutuz walimdharirisha sana afu mbaya zaidi walimtegeshea mwanamke bora ingekuwa yule mwanamke ka record ile video bila kutumwa
Lembebez ni wa kutegeshewa mwanamke, hacheni kumbebesha Marehemu mzigo wa dhambi zisizo zakeumeongea ukweli ambao wengi wameukwepa,sio vizuri kumsema marehemu lakini yule marehemu alikuwa hajitambui licha ya elimu yake kubwa, le mutuz walimdharirisha sana afu mbaya zaidi walimtegeshea mwanamke bora ingekuwa yule mwanamke ka record ile video bila kutumwa
acheni porojo za JF,watoto tu wa Mengi wanagombea urithi sembuse Le mutuz!!! hiyo ni haki yake hata kama amefanya hivo
mimi hata nije kuwa na pesa nyingi kiasi gani ila urithi nachukua sio kwa kuutumia ila kwa sababu ni haki yangu
Le mutuz msimsimange ki hivo bana jamaa anakula milo yote kila siku, anavaa na anasukuma Le Noaz so amepambana na maisha kiasi fulani,watu wangapi mpaka wamestafu serikalini hawana chochote
Le super brand alifuatwa na demu akaona demu kazimika na swaga za dauni tauni yu no,kumbe demu yupo kwenye mission katumwa na mange,demu kampa le super brand game kama yote,wakati Le kitumbo anatoka bafuni ndio demu aka record ile clipLembebez ni wa kutegeshewa mwanamke, hacheni kumbebesha Marehemu mzigo wa dhambi zisizo zake
Lembebez anavyojiona kidume kwa kupost ana kiss na mabebez ategeshewe na Nani na hili iweje
Le super brand alifuatwa na demu akaona demu kazimika na swaga za dauni tauni yu no,kumbe demu yupo kwenye mission katumwa na mange,demu kampa le super brand game kama yote,wakati Le kitumbo anatoka bafuni ndio demu aka record ile clip
Chawa"Mfanyabiashara huyo maarufu bongo na mwanamitindo..."
Naomba kujua anafanya biashara zipi mpaka awe maarufu kwa hizo. Na mitindo anafanyia wapi