Nimemsoma ,nimemtafakari, na nimemuelewa ukiondoa chuki, tujifunze kukubali kile ambacho MTU anajielezea na ana kiishi.kuliko kumuelezea ww na kulazimisha ndio ANAVYOISHI.
Ameeleza wazi, yeye amekaa na kuishi MAREKANI kwa muda mreeeefu kuliko hapa TZ na wakati anatoka hapa BONGO alikuwa anapenda kuishi kama NIGGAZ wa kule USA na alipokuwa kule alifanikiwa kuyaishi maisha Yale KIUHALISIA.
Anatufundisha kuwa USA matangazo yote ya kibiashara kwa asilimia kubwa wanapenda kutumia WASICHANA WAREMBO kuweka picha zao. MF MTU anauza gari ataweka picha ya gari na msichana mrembo.
Hstuelewi nn au tunaweka chuki kwenye uhalisia tumpinge kwa hoja, anayo ofisi yake kweli nimesikiliza mahojiano ya Jirani zake wanakiri wabebezz wanafika kwa wingi kwenye ofisi za LE MUTUZ lkn kwa ajili ya shughuli za kikazi zenye faida kwa wao na LEMUTUZ.
Kwa uelewa Mdogo tu LE MUTUZ ana wapromote warembo ili watumike kibiashara. Maeneo mbalimbali.
Lkn ss mawazo yetu na kugandamiza akili tupo zaidi kwenye ngono. Tujiulize picha mbalimbali za warembo wakionekana kwenye bidhaa mbalimbali zinatoka wapi?
Au ukitaka kuweka tangazo la kibiashara lenye picha ya mrembo utaitoa wapi? Nakurahisishia nenda kwa LEMUTUZ katurahisishia. Tukiiachia fursa wageni wanaitumia na kutajirika.
Big up LEMUTUZ