Le Mutuz azidi kumvaa Juliana Shonza

Le Mutuz azidi kumvaa Juliana Shonza

Miaka ile wakati ukimwi unaingia maeneo ya kwetu huko Kaskazini Magharibi ulijulikana kama JULIANA.
 
Sawa Mkuu ila Wewe hakuna tatizo Kwako uzuri wa wakati huu uliopo ' Critical Minds ' hazitakiwi Tanzania bali zinatakiwa tu zile ' minds ' za ' Jipendekeze, Nisifu, Ninyenyekee na Nikuteue '.
Nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani kuwa critical wakati huu, kunahitaji mtu kuwa na guts, ila sikubaliani na wewe katika zile ' minds ' za ' Jipendekeze, Nisifu, Ninyenyekee na Nikuteue'.

Tanzania ni yetu sote, function of the media as a watchdogs for the society lazima iendelee, ila tufanye responsible journalism kwa kutumia constructive criticism, ambao ni ukosoaji wa kujenga, kwa nia ya kusaidia, na sio ukosoaji wa kubomoa, kudhalilisha, kujenga chuki na kuleta uchochezi.

P
 
Back
Top Bottom