William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Wewe kwa uwezo wako wa kufikiri hata ukidoubt uanasheria wa Masando siwezi kushangaa!
Kwani wewe babuuu pale K K security upo kitengo gani?Na kazi za ulinzi ulianza lini?mbona kimya kimya mzee?Ofisi imekuwaje tena?- Kumbe umechumbiwa unajisema mwenyewe bila hata kuulizwa kama kawaida, badala ya kusema hoja yako unaleta mambo yako ya kuchumbiwa mwanaume mzima hahahahahaha JF bwana yaani kuna watu wengi sana hapa duh!!
Le Mutuz
Kwani wewe babuuu pale K K security upo kitengo gani?Na kazi za ulinzi ulianza lini?mbona kimya kimya mzee?Ofisi imekuwaje tena?
Au wateja wamelaza baada ya kuona vijimeza viwili na kajikochi wakajuwa wewe mpigaji?
"Eti" Jitu zima linadondokwa na makamasi litataka tulipigie makofi "aibu"Na sasa umeingia cha kike mpaka uombe Pooo la sivyo utarudi marekani kwenda kuosha vinyesi vya vizeee.
Matola,umenielewa kumbeee!Ulimfungulia Babu uzi kuwa mambo anayofanya na umri wake ni tofauti,hapa unaona kuwa age aint shit but a number!Umemkubali Le baharia wazi wazi!Ooh Le Mutuz big Respect babu!
Big respect for him kwa kweli.... Hata angekuwa na 65 but he is struggling so hard to make the ends meet...
Angekuwa amerudi toka States akatulia tu nayo ingekuwa kesho.... Mi penda sana uhangaikaji wake....
- Yaaani nimeeenda majuu miaka 30, nimerudi na 3 Degree, nimejenga nyumba na shamba, nimetafuta apartments 2 moja Changombe na moja Posta mpya ninapoishi, nina kampuni yangu ya Media, sasa nina ofisi yangu mwenye hapa Posta mpya, soon ninafungua Radio na TV kwa kushirkiana na wawezekezaji, nipo bandarini na wawekezaji wengine kwenye ICD, jamani naomba kuuuliza walitaka nifanye nini hasa? hahahahahahaha hivi ni kweli Wabongo wote wenye m iaka 65 wana haya maendeleo?
- Halafu mind you kwamba nilipokuwa US nimelifanyia kazi shirika moja kwa miaka 25, so umri utakapofikia nina pensheni super sana toka kule sasa hawa wajinga wanacholilia sijaelewa hivi ni kweli wote , mnaoandika tunafanana maisha kweli? hahahahahaha
Le Mutuz
View attachment 220907
Kila ukionyesha misuli unapewa makavu
Nimekushauri kaa kimya hutaki
Utanikumbuka we mzeee oooh
Matola,umenielewa kumbeee!Ulimfungulia Babu uzi kuwa mambo anayofanya na umri wake ni tofauti,hapa unaona kuwa age aint shit but a number!Umemkubali Le baharia wazi wazi!Ooh Le Mutuz big Respect babu!
So una admitt kuwa ulikuwa wrong kumfungulia Le babu uzi!! CC nifah
Hahahahahaaaaa hahahaaaa hivi kumbe kuna ushindani wa LIKES eeeeh..... Aiseee ngoja niivest INSTAGRAM nijiongezee kipato
- hahahahahaha ngoja wakusikie wanaofanya hizo kazi uone kama hapakuwaka moto hapa hahahahahahahaha
Ngoja nichochee kuni.
Cc: @Nyani Ngabu
Le Mutuz
Ni ngumu sana kuielewa misimamo ya Matola, mimi sina Team bali nacomment kutokana na mada inavyowasilishwa jamvini.Your friend @ms. Lincoln is full of double standards...Leo yuko upande wa mh William.
Ni ngumu sana kuielewa misimamo ya Matola, mimi sina Team bali nacomment kutokana na mada inavyowasilishwa jamvini.
Msando ni mshamba fulani tu, yeye hapa ni member aje tupeane kumkoma Nyani giladi siyo kushindana like za ujinga wa Insta.
Asante sana kwa kuniita mpenzi.Serious nilikua sijui kabisa kama kuna huu uzi.Umenifurahisha hatariiii...
Pls,uwe unaniita tena,sawa mrembo Ms.Lincoln wangu eeh?
Ni ngumu sana kuielewa misimamo ya Matola, mimi sina Team bali nacomment kutokana na mada inavyowasilishwa jamvini.
Msando ni mshamba fulani tu, yeye hapa ni member aje tupeane kumkoma Nyani giladi siyo kushindana like za ujinga wa Insta.
Hahahahahaaaaa, sikujua kumbe likes za insta zinawafanya watu wajione wapo juu eeeeh.... Aiseee ni shida.... Ni kweli aisee ongea ukweli panapotakiwa sio kupindisha kwa kuwa tu una team fulani
Double standard mbaya sana,yeye alisema Le mutuz ana matendo ya kitoto ya kipuuzi,leo Msando anasema kitu kile kile,anageuka anamshambulia Msando,tuache team pembeni! The inference am drawing ni kuwa Matola hakuwa fair kwa Le baharia in the first place aliongozwa na emotions ambazo leo hazipo!!Your friend @ms. Lincoln is full of double standards...Leo yuko upande wa mh William.
Double standard mbaya sana,yeye alisema Le mutuz ana matendo ya kitoto ya kipuuzi,leo Msando anasema kitu kile kile,anageuka anamshambulia Msando,tuache team pembeni! The inference am drawing ni kuwa Matola hakuwa fair kwa Le baharia in the first place aliongozwa na emotions ambazo leo hazipo!!
Matola,umenielewa kumbeee!Ulimfungulia Babu uzi kuwa mambo anayofanya na umri wake ni tofauti,hapa unaona kuwa age aint shit but a number!Umemkubali Le baharia wazi wazi!Ooh Le Mutuz big Respect babu!
Does anything matter to you?Mie sijawazua ivi for you!Nimewazua ivi for other great thinkers...- Kwangu it does not matter it is another free promo good for my business, that is all haya mengine ni very un necessary
Le Mutuz