Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.
Lemutuz, hawezi kujilinganisha na msando, lemutuz 56yrs ulipashwa kuwa mbali sana, 56 yrs ndio unalingishia umepata ofisi posta? grow up! Lemutuz anamzidi baba yangu miaka minne. Mi nimekuwa na ofisi na kampuni nikiwa na 26yrs. we ndo unakuja kutupigia kelele now? AIBU.

- hahahahaha miaka 56 sijafika ila kwa mtu mwenye miaka 26 kushindana na mimi kwenye Social Media inanipa faraja sana kwamba ninazo akili sana maana hakuna MWanasheria kama unayemsema anayeweza kupoteza muda na mjinga mzee na asiye na akili hahahahahaha I am humbled!1

Le Mutuz
 
Kwa hiyo hapo ndo ulikuwa u naangalia usalama wa huyo msanii au?

- Alikuwa ana perfom nikamsubiri alipomaliza nikamsaidia kuondoka, lakini siamini kwamba ni tatizo ina maana hii show imetayarishwa na mtoto wa shule, mwenye Club ni mtoto wa shule, na Wasanii ni watoto wa Shule, si huyu jamaa yako ndiye Mwanasheria wa hawa wasanii wa hii show au nimekosea kama mimi kwenda pale ni tatizo yeye kuwasimamia kisheria ni sawa? Sijaelewa hahahahahaha

Le Mutuz
 
kwani wewe ni baunsa mzee acha uongo sema ulikwenda kula bata kama waliokuzunguka..hii ni nchi huru mzee kwanini udanganye kwa starehe yako mwenyewe

- Lets say nilienda kula bataz kosa langu lilikuwa ni nini ina maana watayarishaji wa hii show wnataka wanafunzi tu wa shule? au hahahahahaha hawa ndio wanasheria wa kuvizia dhahabu chafu Mererani hahahahaha

Le Mutuz
 
- Alikuwa ana perfom nikamsubiri alipomaliza nikamsaidia kuondoka, lakini siamini kwamba ni tatizo ina maana hii show imetayarishwa na mtoto wa shule, mwenye Club ni mtoto wa shule, na Wasanii ni watoto wa Shule, si huyu jamaa yako ndiye Mwanasheria wa hawa wasanii wa hii show au nimekosea kama mimi kwenda pale ni tatizo yeye kuwasimamia kisheria ni sawa? Sijaelewa hahahahahaha

Le Mutuz

Licha ya mimi kukupinga ukija na hoja zisizo na msingi lakini kwa hili Msando bush lawyer anabugi na anauvamia mji kwa pupa sana na hata kimaadili ukimfikisha kwenye chama chao cha Tanganyika Law society sidhani kama Learned brothers watafurahishwa na kitendo cha huyu wakil wa Insta.

Cc: EMT
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli 56 hajafika ni 54 na kitu. Ha ha ha ha

- hahahahahaha ninawatesa mpaka hamna pa kutokea mnalilia umri hahahahahaha yaaani Mwanasheria wa Dunia the best thing he can do ku debate na mimi ni picha nipo kwenye muziki hana hoja serious? hahahahahaha this is serious imagine huyu jamaa anakusimamia kwenye sheria si unafungwa tu hahahahahahahah

Le Mutuz
 
Licha ya mimi kukupinga ukija na hoja zisizo na msingi lakini kwa hili Msando bush lawyer anabugi na anauvamia mji kwa pupa sana na hata kimaadili ukimfikisha kwenye chama chao cha Tanganyika Law society sidhani kama Learned brothers watafurahishwa na kitendo cha huyu wakil wa Insta.

Cc: EMT

- Well huko kote mbali mimi siamini kama jamaa ni MWanasheria kweli kama kina Mkono, na wote tunaowajua hapa mjini kuja kubishana kwenye Instagram, I mean bado siamini tena anabishana na mimi hahahahahahaha siamini U know

Le Mutuz
 
- hahahahaha miaka 56 sijafika ila kwa mtu mwenye miaka 26 kushindana na mimi kwenye Social Media inanipa faraja sana kwamba ninazo akili sana maana hakuna MWanasheria kama unayemsema anayeweza kupoteza muda na mjinga mzee na asiye na akili hahahahahaha I am humbled!1

Le Mutuz

Hawahawa ukiwakuta kwenye thread za Diamond kwa nini anadate na Zari mwanamke ambaye ni sawa na mama yake watakujibu age just a number ila akija Le baharia age ndio inamata? Ade gamisu.
 
- HAHAHAHAHAH mpaka sasa siamini kwamba mimi Le Mutuz Nation Big Show ninaweza kumkosesha usingizi Mwanasheria kama huyu mtu yaani ninazidi kumshukuru kwa kunipa promo kwamba mimi na yeye hatuko mbali sana kwa akili hahahaha mimi nilidhani yeye yupo mbele yangu kiakili maana nawajua Wanasheria wengi hapa mjini kwamba wana akili sana sasa huyu ni binadam wa kwanza Mwanasheria kunihakikishia kwamba nina akili kama level yake, sina zaidi ila kumchukuru sana ingawa siku hiyo nilikwenda just because nilikuwa Escape One, Msanii mmoja akanipigia kwamba anahitaji nije hapo Mbalamwezi nimsaidie maana alikuwa na wasi wasi na usalama wake that is all lakini kama ninamkosesha usingizi MWanasheria wa Dunia kama yeye basi I am humbled sana!!

Le Mutuz

acah uongo ulijibu kwamba una hang out na hao teenagers wenzako sababu wanatengeneza asilimia kubwa ya wapiga kura, hiloooooo
 
Hahahahahaaaaa Kufwaaaaa for mee... Le gadem mburulaz in le mutuz mutuz_nation voice

- hahahahahaha unajua watu wote wanaomjua kwa karibu wanasema anatafuta sana umaarufu ndio maana amejificha kwa Wasanii, so I am like anatafuta umaarufu kwangu mbona ananipa mimi umaarufu kuliko yeye maana ameihakikishia Dunia kwamba nina akili kubwa ya mpaka yeye kukosa usingizi kwa sababu yangu, for that I am humbled sana!!

Le Mutuz
 
- HAHAHAHAHAH mpaka sasa siamini kwamba mimi Le Mutuz Nation Big Show ninaweza kumkosesha usingizi Mwanasheria kama huyu mtu yaani ninazidi kumshukuru kwa kunipa promo kwamba mimi na yeye hatuko mbali sana kwa akili hahahaha mimi nilidhani yeye yupo mbele yangu kiakili maana nawajua Wanasheria wengi hapa mjini kwamba wana akili sana sasa huyu ni binadam wa kwanza Mwanasheria kunihakikishia kwamba nina akili kama level yake, sina zaidi ila kumchukuru sana ingawa siku hiyo nilikwenda just because nilikuwa Escape One, Msanii mmoja akanipigia kwamba anahitaji nije hapo Mbalamwezi nimsaidie maana alikuwa na wasi wasi na usalama wake that is all lakini kama ninamkosesha usingizi MWanasheria wa Dunia kama yeye basi I am humbled sana!!

Le Mutuz

Aisee we Mutuz ebu niambie upo kitengo gani cha polisi au kampuni gani ya ulinzi?
Maana naona umejinadi ulienda kumpa eskoti msanii 🙈 aisee we ni ----- kweli
Maana naona kila ukijitetea ubwege wako unazidi kula chat,acha hizo we mzee
Huu ni muda wako wa kukomaa na hako kaofisi kako la sivyo katayumba then utajikuta unachumbiwa.umri wako wenyewe ushaenda kiswele acha utoto we kikongwe sasa
Na uongo wako ndio unakuponza na ujuwaji wa kishwaiin wakati hujuwi.Kaaa kimya babuuuu vitukuu wanakutegemea oooh!
Usiponisikia utazidi kupote!
 
Hawahawa ukiwakuta kwenye thread za Diamond kwa nini anadate na Zari mwanamke ambaye ni sawa na mama yake watakujibu age just a number ila akija Le baharia age ndio inamata? Ade gamisu.

Matola,umenielewa kumbeee!Ulimfungulia Babu uzi kuwa mambo anayofanya na umri wake ni tofauti,hapa unaona kuwa age aint shit but a number!Umemkubali Le baharia wazi wazi!Ooh Le Mutuz big Respect babu!
 
Last edited by a moderator:
acah uongo ulijibu kwamba una hang out na hao teenagers wenzako sababu wanatengeneza asilimia kubwa ya wapiga kura, hiloooooo

- It is part of it ila nilidhani kwa Mwanasheria kama yeye angekuja na big point kuliko party ya Wasanii anaowasimamia yeye mwenyewe kisheria hapo ndipo sipati picha ha Uanasheria wake kama ni wa kweli au ni wale wale Wanasheria wetu uchwara!1

Le Mutuz
 
Aisee we Mutuz ebu niambie upo kitengo gani cha polisi au kampuni gani ya ulinzi?
Maana naona umejinadi ulienda kumpa eskoti msanii  aisee we ni ----- kweli
Maana naona kila ukijitetea ubwege wako unazidi kula chat acha hizo we mzee
Huu ni muda wako wa kukomaa na hako kaofisi kako la sivyo katayumba then utajikuta unachumbiwa umri wako wenyewe ushaenda kiswele acha utoto we kikongwe sasa
Na uongo wako ndio unakuponza na ujuwaji wa kishwaiin wakati hujuwi kaaaa kimya babuuuu vitukuu wanakutegemea oooh!
Usiponisikia utazidi kupote!

- Kumbe umechumbiwa unajisema mwenyewe bila hata kuulizwa kama kawaida, badala ya kusema hoja yako unaleta mambo yako ya kuchumbiwa mwanaume mzima hahahahahaha JF bwana yaani kuna watu wengi sana hapa duh!!

Le Mutuz
 
- It is part of it ila nilidhani kwa Mwanasheria kama yeye angekuja na big point kuliko party ya Wasanii anaowasimamia yeye mwenyewe kisheria hapo ndipo sipati picha ha Uanasheria wake kama ni wa kweli au ni wale wale Wanasheria wetu uchwara!1

Le Mutuz
Wewe kwa uwezo wako wa kufikiri hata ukidoubt uanasheria wa Masando siwezi kushangaa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom